natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Natafuta duka la dawa la kununua

    Habari zenu, Naitaji duka la dawa la kununua. Likiwa Dar es Salaam itafaa zaidi Mawasiliano; 0747182280
  2. JamiiForums Tanzania Natafuta wimbo huu wa mnanda

    Nadhani ni wa Omar Omar kuna kipande anasema "Kumbee yuko yuropaaa anatwanga na kupepetaaa katika harakati za kutafuta maishaaa vijana tutimkeeee
  3. JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya internship kwenye NGOs ama Serikalini

    Habari wanaJF! Mimi ni kijana, mwenye umri wa miaka 24. Nimehitimu 2021 shahada ya Usimamizi wa Mifumo ya Afya (Bachelor's Degree in Health Systems Management) ya chuo kikuu Mzumbe. Kwasasa natafuta mahali pa kujifunza zaidi kwa vitendo. Interest yangu ni kwenye NGOs lakini hata nikipata...
  4. JamiiForums Tanzania Natafuta muwekezaji

    Habari za muda huu wana JF, hongereni kwa mapambano ya kila siku kuifanya dunia kuwa bora na salama. Mimi ni kijana wa kitanzania mkazi wa Dar es Salaam elimu yangu ni kidato cha sita. Awali kabisa napenda ieleweke kwamba dhumuni ni kukuza na kuiboresha biashara (sitasema biashara yenyewe hapa...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Habari ya muda tena? Jamani niliona ni vyema nikapita tena apa nitangaze tena. Ninatafuta ajiri jijini Arusha iwe full time ama part time nipo. Nina skill katika matumizi ya computer, nina experience ya sales and sales representative, account, marketing na ninaweza kuwa personal assistant.
  6. JamiiForums Tanzania Natafuta blog na youtube channel patner ambaye tutasaidiana kukuza na kuweka contect baada ya mwezi kuna mafanikio nitaongeza na kukupa 50% ya mapato

    Habari mimi ndugu yenu Binadamu Mtakatifu ni mmiliki wa channeli ya youtube na blogu hasa kilicho nileta hapa ni kuwa kazi hii ni ngumu kuifanya pekeyangu pia bado visitors ni wachache sana hivyo kama wewe ni kujana na ungependa kushirikiana na mimi njooo PM kuhusu nitakulipa nini hapa ninacho...
  7. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nina 180,000,000. Natafuta kiwanja kilichopimwa (Surveyed plot) jijini Dar

    Wakuu, Niliandika hapa Novemba 2020 (ref Natafuta Kiwanja cha kujenga jijini Dar. Nina Sh. Milioni 40 ) nikitafuta kiwanja na wakati huo nilikuwa na 40m tu. Viwanja vingi nilivyopelekwa ilibidi nirudi kujipinda nitafute pesa zaidi ili nipate kiwanja ninachotaka hasa. Kwa sasa bajeti yangu ni...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta kati ya ekari 1-5 huko Bagamoyo

    Habari wakuu, tafadhali natafuta shamba ya ekari kati ya 1 hadi 5 maeneo ya Bagamoyo, natanguliza shukrani
  9. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Team kwa ajili ya tourism event

    Habari wadau, Kuna kijana mwezetu anawazo la kufanya tukio la kitalii,, linahitaji watu takribani watano (5) wa kujitolea kuratibu na kuandaa event hii, watajitoa kwa hali na mali na kulipana baada ya kufanikisha event. Interested?...... contact 0719225113
  10. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya udereva either kwenye kampuni au mtu binafsi

    Naitwa Gabriel minde natokea dar es salaam Nina uzoefu na kazi ya udereva natafuta kazi ya udereva leseni yangu class A,A2,B,D,E,F Nina uzoefu na hii kazi nipo tayari kufanya kazi kwenye kampuni au mtu binafsi, naombeni kazi wakuu namba yangu hii apa 0689090019 nipo tayari kufanya kazi
  11. JamiiForums Tanzania Natafuta madini aina ya Lead

    Wana JF nahitaji haraka madini aina ya Lead Mwenye kujua yanapopatikana , au Kama mtu anayo naomba , Asante
  12. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina elimu ya Kidato cha Nne

    Habari zenu wana JF, Mimi ni kijana,nimemaliza kidato cha nne mwaka 2021. Elimu yangu ni ya kidato cha nne na matokeo yametoka nimepata div.1.7; A-tisa na B-moja ya Bible knowledge pekee. Nimesoma masomo sayansi shule ya wavulana Marian iliyopo Pwani, Bagamoyo na nimeomba kujiunga chuo cha...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Habari ndugu zangu, Mimi ni mwanaume mchapakazi na muaminifu .Nina uzoefu miaka mitano hasa katika sekta binafsi kwenye kazi ya uhasibu haswa kwenye mambo ya kodi n.k. Nina uzoefu sana kwenye kazi zifuatazo: ●Preparation of payrolls ●cash management, ●Monthly filing of Vat Returns. ●Paye and...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi jamani

    Mimi ni binti nimesoma procurement na baadae nikasoma business management. Niko Arusha tafafhali kama kuna mtu ana kazi yake ama anamjua mtu anaetaka mfanyakazi usisite kunitaarifu. ARUSHA.
  15. JamiiForums Tanzania Je, hii ramani imekamilika?

    Habari nyingi wakuu.. Katika ujenzi ambao nataka nianze Inshaallah baada ya kumaliza mambo mengine sasa nimechorowe ramani hii hapa kutokana na nyumba yangu nataka iwe hivi. Hivyo basi wakuu humu kuna magwiji wa haya mambo ya ramani pamoja na ujenzi wake.Naomba kufahamu kutoka kwenu je hii...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta Ajira

    Jaman wapendwa ....natafuta kazi Niko mwanza ....duka ,supermarket, hata kweny makampuni ... Kwa mawasiliano 0629982752... Ntafanya mkoa wowote
  17. G

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote. Nimesomea mifugo na kilimo

    Heri ya mwaka mpya wakuu,Naitwa Geofrey wa Moro,kwa heshima na tahadhima kwa yeyote mwenye mapenzi mema aniunganishe na kazi yoyote,nina uzoefu wa kutibu na kuhudumia mifugo,kilimo,compyuta n.k mawasilianao 0689339355. MUNGU AKUBARIKI
  18. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta machine mpya ya kutengeneza juice ya miwa

    Habari ya mwaka mpya wakuu, mwaka wa 2022. nawatakia kila la heri yote, sasa natafuta machine ya kutengeneza juice ya miwa, machine mpya, ni wapi naweza inunua au ni wapi naweza enda kuangiza moja, nasikia hata VETA wanauda machine aa hizo, naomba ushauri wenu waku, natangulia shukrani zangu
  19. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta supplier wa Miwa wa uhakika

    Salaam! Wakuu natafuta connections ya muuzaji miwa malipo cash kwa bei ya jumla Tafadhali sihitaji Dalali nataka connections na mkulima mwenyewe
  20. JamiiForums Tanzania Natafuta health laboratory assistant

    Habari wana JF, natafuta health laboratory assistant kwa ajili ya maabara yangu iliyopo Wilaya ya Nzega Tabora!! Napatikana kwa namba 0621357066
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…