Habari wapendwa .
Rejea kichwa cha habari apo juu .
Natafuta kazi ngazi ya Diploma
Nina experience katika :-
Computer application ì
Computer troubleshooting.
Simple LAN configuration.
Retail POS ( vend and shopify)
Cashier
Salesman
Marketing
Balloon decoration ( husaidia kuongeza wateja na...
Wakuu habari, nataka kujua kama kuna mtaalamu wa kunifundisha namna ya kutengeneza forex robot (automated trading system) kwa kutumia MQL script language hata kwa malipo
Ni programu ambayo inasaidia ku trade automatically, ukishaitengeneza na kuweke vigezo vyako vya ku trade, unaijaribisha...
Kama ni madawa, sasa naona yane expire. Huyu mama wa watoto wawili, mkubwa ana 27 na mdogo 24, sijui ilikuwaje nikajikuta tu mikononi mwake, tangu siku hiyo nikajikuta nampenda kichizi.
Nikahama ghetto naye akahama kwao na watoto wake tukapanga nyumba. Mwanamke kanizidi miaka 8.
Sasa nataka...
Mimi ni mfanya biashara wa mambo ya utalii katika malazi na ushauri wa biashara katika mambo yanayo husiana na uwekezaji katika biashara ya utalii. Nina uzoefu mkubwa katika biashara hii na ni msomi wa ngazi ya stashahada na shahada ya utalii na utawala wa biashara. Nimeyumba katika biashara...
Habarini wana JF, Mimi ni moja kati ya vijana ambao tumebahatika Kumaliza chuo mwaka huu 2021/2022 sina budi kumshukuru Mungu kwa hilo. Nimesoma Bsc. Human Nutrition, chuo kikuu cha Sokoine cha kilimo (SUA). Shahada hiyo imejikita kwenye masuala yafuatayo;
1. Nutritional Assessment and...
Kama kichwa Cha habari kisemavyo Kuna projects nafanya inahusika na biological database, natafuta mtu aliyesoma computer science na anakaa Dar asiwe na kazi sababu mda mwingi atakua kwenye hii project
Vigezo
Awe amemaliza chuo mwaka jana
Awe na uwezo wa kufanya presentation bila uoga au...
Ndugu wanajamvi, mimi nimejiajiri ktk tasnia ya ufundi ( mechanical Engineer) nimefanya ktk tasnia hii kwa miaka 10 sasa, kwa sasa nataka kushea changamoto na mtu mwingine mwenye nia ya dhati katika biashara,
Maoni yangu nipate mtu ambae ana elimu ya ufundi katika kusimamia mafundi/ kazi au...
Nimefungua hii thread niko serios sina utani hata point 1,sitojibu comment ya mtu yeyote zaidi ya PM tu kwa wale watakao kuwa serious na watakaokuwa tayari.
Mimi ni kijana wa 32yrs nimeshakua na mpenzi si mara ya kwanza kuwa na mpenzi,nina mtoto 1 yuko kwa mama yake (nampenda kusiko tamkika)...
Habari wapendwa I hope ni wazima wa afya, naitwa Kelvin Dickson natokea Dar es Saalam natafuta kazi ya PC maintanance and Networking ambapo nimefanikiwa kupata certificate veta kipawa naweza fanya kazi zifuatazo kama:
Windows installation
Computer Repair and Maintainance
Network Installation...
Habari wanajukwaa naamini humu kuna watu wa aina Tofauti Tofauti na wengine wamepata kazi zao kupitia hili jukwaa.
Hivyo nakuja mbele yenu kuomba Nafasi au Connection itakayonisaidia Kuweza kupata Ajira ...
Elimu yangu NI BACHELOR DEGREE IN INFORMATION TECHNOLOGY.
nimespecialize kwenye...
Habari wataalam,
Ninatafuta binti wa kusaidia kutoa huduma ya kutoa dawa kwenye duka la dawa muhimu ambalo liko Dar wilaya ya Ubungo.
Sifa za muombaji lazima awe amepitia mafunzo ya ADDO na awena cheti.
Tuwasiliane inbox kwa wahitaji.
Habari za wakti huu;
Kwa jina naitwa Libera Niko Arusha ni binti wa miaka 22.Ninafanya biashara ya kuuza website na bidhaa nyingine za kidigitali.Mwanzoni nilikuwa nafanya shughuli ndogo ndogo lakini nikapata mwalimu akanifundisha jinsi ya kutengenza website kwa kutumia wordpress.Kwa sasa...
Mimi ni binti wa miaka 22 natafuta kazi part time job, ambayo nitaifanya baada ya kumaliza vipindi vyangu vya chuo na ambayo nitaifanya weekend, Mimi ni mkazi wa Dar es Salaam na chuo changu Kiko dar es salaam posta.
Tafadhali wanajamiiforums nisaidieni
Habari za humu wana JamiiForum,
Naitwa David (23), mkazi wa Arusha kwasasa Dar es salaam, kimara
Nimhitimu wa diploma kwenye biashara na utawala.
Dhumuni la kuandaa post hii kama nilivyoeleza kwenye kichwa cha habari hapo juu nahitaji kazi yoyote halali (kuuza duka la nguo, vyombo, vifaa vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.