natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mr mussa

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya mauzo au masoko kwa malipo ya commission

    Habari! Naitwa Musa, umri ni miaka 24 ni graduate wa information technology katika level ya degree. biashara inahitaji wateja ili kuweza kupata faida na kuendesha biashara, Hivyo basi kama kuna kampuni au biashara binafsi inahitaji kuweza kuongeza mauzo yake kwa kupata wateja basi tunaweza...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote hata ya kuwa counter bar

    Habaro wanajamiiForums. Nina bachelor ya sociology natafuta kazi yoyote hata ya kuwa counter bar ili niweze kulea watoto Tafadhali Kama una connection, nipo Mbeya nisaidie
  3. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta dawa ndogo za meno

    Natafuta dawa ndogo sana za meno kwa Dar kwa muuzaji wa Jumla. Ni kwa ajili ya matumizi ya hoteli.
  4. V

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Habari WanaJF, Ni kijana wa miaka 24 nakaa tabata-bima Dar-es-Salaam. Ni mhitimu wa kozi ya ualimu katika chuo Cha mtakatifu Augustine SAUT-MWANZA level ya bachelor degree Natafuta kazi ya kuuza bar hasa kitengo Cha counter au kuuza duka la vifaa vya umeme,nguo,simu,vipodozi,vitu vya...
  5. stevhinoz

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi: Nina Uzoefu Miaka 10 + Ujuzi Maeneo Zaidi Ya 17

    Habari za majukumu ndugu zangu! Nawasilisha hapa ombi kwa yoyote ataeguswa na kunisaidia kupata kazi. Nimefanya kazi kwa miaka 10 katika maeneo tofauti mpaka mwaka 2020 ndio ilikuwa mara yangu ya mwisho kupata ajira. Kilichotokea ni kwamba mradi niliokuwa nafanya kazi ulifika mwisho na shirika...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Fedha na mali nimepata, sasa natafuta mke (mchumba)

    Baada ya kumaliza chuo vipaumbele vyangu vilikuwa ni fedha na mali bahati nzuri nimetafuta na nimezipata kwa sasa nina uwezo wa kutunza familia kwa asilimia mia moja hivyo Napenda kuwatangazia wasichana wenye uhitaji wa kuolewa kwamba natafuta mke naomba tuwasiliane ili tukikubaliana na...
  7. Nkoka

    JamiiForums Tanzania Uber driver natafuta gari

    Mimi ni dereva nina uzoefu mkubwa wa kutosha natafuta gari nifanyie kazi ya Uber/bolt Gari ndogo. Hesabu au mkataba vyote sawa Kwa yeyote Alie nayo Napatikana Temeke Mawasiliano: 0717285828
  8. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mke / Mchumba ( MUISLAM TU)

    Habari zenu ndugu, Mimi mwanaume wa miaka 33 natafuta mwanamke wa kuoa . Sifa za mwanamke/ mchumba nimtakaye Awe muislam na mwenye hofu ya Mungu Awe na miaka kuanzia 20 na kuendelea hadi miaka 30 iwe mwisho Awe anajitambua Awe na elimu angalau Diploma na kuendelea Mwisho awe tayari kuolewa...
  9. Charz juma

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali

    Habari wakuu, Kwa majina naitwa charz juma, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 19 natafuta kazi yoyote lakini hiwe halali
  10. KUKULU- KAKALA

    JamiiForums Tanzania Natafuta kijana ambaye ana uwezo wa kufanya kazi ya barbershop aliyepo Mbeya mjini

    Habari zenu wakuu, Natafta kijana ambaye anauwezo wa kufanya kazi ya barbershop aliyepo Mbeya mjini kwajili ya kazi ya kunyoa. Natanguliza shukrani Mawasiliano 0655087675
  11. B

    JamiiForums Tanzania Nina mtaji wa Milioni 4 natafuta banda/frame ya uwakala

    Kama kichwa cha mada mie mdau nimebangaiza kitaa nina 4m hapa nataka nifanye biashara ya uwakala wa pesa kwa simu na mabank, natafuta frame ya kufanyia biashara hiyo iliyopo maeneo yalochangamka iwe Kinondoni, Mwananyamala, Kigogo nk. Nikiipata nianze kufuatilia lines za miamala na leseni ya...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta eneo Beach

    Nawasalimu wanaforum wenzangu, Kama kuna eneo la Beach kuanzia heka 2 kwenda mbele, mkoa wa Pwani, Tanga ama Zanzibar bei za kawaida kwa sisi waswahili tafadhali tuwasiliane, WhatsApp +255675308774
  13. Mdudu Mende

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kujifunza naye uchawi

    Natafuta mtu wa kujifunza naye uchawi Sifa Awe mwanamke Awe anajua kusoma na kuandika kiingereza(Tutatumia vitabu vya kizungu kujifunza) Awe ndani ya Dar es Salaam Awe na umri wa kufanya maamuzi binafsi preferably 25+ Akiwa na elimu kuanzia Bachelor itakuwa poa zaidi Hit my inbox
  14. Refrector

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi Marekani

    Habari wakuu, Mimi ni msichana wa kitanzania ninaomba mwenye ndugu au hata mtu wa karibu ambaye anahitaji mfanyakazi iwe ni baby sister au hata house girl MAREKANI aniunganishe, Mimi nipo pia naongea Kiswahili na Kiingereza vizuri, maisha magumu sana jamani ,pia ajira ngumu sana kupata...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kununua kampuni ya huduma ya chakula na vinywaji

    Wapedwa wadau napenda niwataarifu kuwa natafuta mtu mwenye mtaji wake wa kutosha company ya catering services ambayo inapatikana hapa DSM, imasajiriwa tangu mwaka 2017 mpka sasa ipo sokoni na inafanya kazi Ina vifaa vyote vinavyohitajika katika kazi hii pamoja na ofisi pamoja na wafanya kazi...
  16. Mr_Plan

    JamiiForums Tanzania NATAFUTA KIJANA ANAYEJUA COMPUTER

    Habari Wana JF,hivi karibuni Tumefungua Online Media ambayo bado ni changa...inayojihusisha na mambo ya Burudani hivo Tunaitaji Kijana anayeweza kuendesha Akaunti zetu za Online kama 1.Youtube 2.Website 3.Instagram page 4.facebook page Pia Ajue program za Editing angalau...
  17. Kiziwanda chema

    JamiiForums Tanzania Single room needed Maeneo ya Tabata shule hadi Segerea

    Habari madalali wa Bongo, na wenye nyumba. Nahitaji chumba cha kupanga cha bei Rahisi, Bei isizidi 50 na please sina hela ya miezi sita. Ningependa maeneo ya kuanzia Tabata Shule hadi Segerea. Sehemu nyingine naweza kuja endapo bei ni pungufu na Mazingira mazuri ya eneo la makazi. Nb; Nina...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote, nimemaliza degree ya Bachelor of Environmental science and management

    Ninaitwa Louis M Fussi Nina umri was miaka 24, Nimemaliza degree ya Bachelor of Environmental science and management kutoka chuo kikuu SUA. Ninaomba nafasi ya kazi, kujitolea ili niweze kuepukana na vishawishi vya mtaani. Kuachana na degree pia nina leseni ya udereva. Namba za simu 0712730570
  19. sanalii

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi umeme tukanunue wote vifaa original, malipo 50,000 to 100,000

    Fundi wangu nilimuamin ila naona ameamua kunizidishia bei ya vifaa, na hakuzidisha elfu mbili au tatu, vipo alivyozidisha hadi asilimia nyingi. Mfano kifaa cha 15,000 ameandika 35,000 huu ni upigaji mkubwa sana, Mimi sina uzoefu wa vifaa vya umeme nahofia kuuziwa fake
  20. KAJOBO

    JamiiForums Tanzania Natafuta girlfriend

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nahitaji mwenye nia ya dhati ya kuolewa sina vigezo ving ila kwa aliyetayarit uwasiliane inbox au atumie namb +255755772556
Back
Top Bottom