natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. dennoo_appliances

    JamiiForums Tanzania Natafuta watu tu-analyze protein data ambazo zipo kwenye uniprot kwa lengo la kujipatia kipato

    Nina startup natafuta watu wanaojua ku-calculate molecular mechanics kwa kutumia LAMMPS, thermodynamics na Quantum mechanics lengo ni ku-analyze protein ili kujua quantitative functions at molecular level in terms of;- Strain energy Heat of formation Dipole moment Vibrational frequencies...
  2. Surya

    JamiiForums Tanzania Natafuta tafsiri ya Ndoto hii

    Naombeni tafsiri ya Ndoto hii. somo rahis kwangu skuli ilikua ni Mathematics. "Nimeota nafanya mtihani wa Math, Mwanzo napokea mtihani niliona mrahis na una maswali 10. Cha ajabu nilipoanza kufanya huo mtihani, kila swala nililo anza nalo kufanya lilikua gumu balaaa.. hadi ndoto kuisha.
  3. mwanahabari93

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kujitolea Tanga

    Habari zenu natumaini wote ni wazima na ambao sio wazima mungu awabariki na kuwatia nguvu mrudi kwenye hali zenu za kawaida. Kama kichwa cha habari kinavyosema mimi ni kijana nina degree ya human resource management nilikuwa naitafuta sehemu ya kujitolea katika mkoa wa Tanga yeyote mwenye...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mdau wa kushirikiana kilimo cha vitunguu

    Hbr kwenu wadau. Kama heading inavyosomeka hapo juu m ni mkulima nipo Dar ila mwaka huu Kuna changamoto nimepitia kiasi cha kupoteza mtaji wa kilimo. Sasa natafuta mtu mwenye mtaji tushirikiane kwenye kilimo cha vitunguu. Nitakuwa tayari kwa mashart yeyote utakayotaka. Asanteni
  5. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mfamasia kwa ajili ya Usimamizi wa Pharmacy

    Kama nilivyoeleza hapo juu. Nahitaji Pharmacist mwenye (degree holder). Eneo La Kazi ni Zanzibar.
  6. Next Elon Musk

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi IT na Graphic Design

    Habari wadau, mimi ni kijana wa kitanznia umri wa miaka 21, naishi Dar es salaam. Nina elimu ya stashahada; natafuta kazi kama graphic designer. Nina uzoefu wa miaka miwili nina uzoefu wa designing pia computer skills, marketing, communication skills niko flexible kwenda popote na naahidi...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya ufundi wa mifumo ya maji safi na taka majumbani (plumbing)

    Mimi ni muhitimu was kidato cha sita masomo ya sanaa, kwa sasa najishughilisha na ufundi wa maji safi na taka majumbani (plumbing) ujuzi niliojifunza mtaani na mpaka sasa nina uzoefu wa miaka miwili. Napatikana mkoa wa Kilimanjaro wilaya ya Hai ila popote nafika. Ikiwa wahitaji huduma yangu...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Natafuta mbegu za maboga kiasi cha tani moja

    Natafuta mbegu za maboga kiasi cha tani moja Kwa mwenye nazo au anajua napoweza kupata msaada tafadhali
  9. emmarki

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi/kibarua part time au full time katika maeneo ya Arusha/Moshi

    Njaa kali, majukumu mengi na umri unasogea hata mtaji wa kuanzisha biashara ndogo imeshindikana. Mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe ni kweli lakini kila ninachopata kidogo kinaenda kwenye majukumu ya kulea familia. (mkataba wangu wa kazi umeisha). Nina uzoefu kwenye sales and customer...
  10. Boutafrica

    JamiiForums Tanzania Natafuta Karatasi za kaki

    Habari wakuu, Nilikuwa natafuta mtu/kampuni inayosupply karatasi zile za kaki zinafanana na mfuko wa karatasi au bahasha. Wapi zinapatikana au mwenye mawasiliano msaada tafadhali.
  11. ShangyJ

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, elimu yangu ni form six

    Habari zenu Wana JF natafuta kazi ya kuuza duka, usafi maofisini au viwandani Elimu: kidato Cha sita Jinsa: Mwanamke Umri; 25 Mahali: Mwanza
  12. W

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina elimu ya Kidato cha Nne na Certificate ya Secretarial Courses

    Habari Wapendwa, Mimi ni kijana wa kike Nina umri wa miaka 35, Elimu yangu kidato cha nne na Nina certificate ya secretarial. Natafuta kazi kati ya hizi:- Secretary Stationary Reception Costumer care Nina uzoefu wa kazi kwa miaka 10 katika computer full na stationary service. Nimewahi kufanya...
  13. Vaselictor

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi/ajira nina Diploma ya Communication

    Habari, Mimi ni binti wa miaka 24 Nahitaji kazi za online Ninaishi Dar es Salaam, Mbezi Mwisho Secretary, Customer service Nina Diploma ya Communication Pia Ninajua kuzungumza English Pia najua kutumia computer na ku-correct grammar kwenye documents yoyote
  14. Lameckjr

    JamiiForums Tanzania Natafuta ngozi za Ng'ombe/sundry cow hide

    Habari wadau!! Mimi mfanyabiashara (exporters) nina mteja wangu, anahitaji ngozi ya ng'ombe/sundry cow hide Kama cntr 4 ×40ft Kama mnajua wauzaji hapa Tanzania, pls naomba mnielekeze 0768464901
  15. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta alierejeshwa upya kazini

    Wadau habari za siku nyingi, mimi ni miongoni mwa wadau wanaotarajia kurejeshea kazini upya. Nimepambana vya kutosha ishu ni kwamba mpaka sasa sijapata jibu la mwisho ukiangalia ni miaka zaidi ya minne mpaka sasa ishu yangu naambiea iko kitengo cha usalama Utumishi je ni mpaka lini au ni Mambo...
  16. Kiev

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    Hbr Jf, Natafuta binti mrembo wa kuoa, awe na sifa zifuatazo: Awe ameamua kutulia na kuanzisha familia Awe mrembo wa sura Asiwe mlevi Umri usizidi miaka 28 Elimu ya chuo na kuendelea Asiwe na mtoto Sifa zangu: Mkristo Nina umri wa miaka 35 Situmii kilevi chochote Nimeajiriwa, kipato cha...
  17. Nuno esparito santo

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi za viwandani msaada anaejua

    Habari yako, Nakuja hapa kuomba msaada kwa yeyote yule mwenye kujua ni kiwanda kipi ndani ya Dar au pwani kinachopokea kibarua naomba anifahamishe maana natafuta kazi kwenye kiwanda chochote kile kinachopokea kibarua. Life langu kwa Sasa nahemea mipila kwa anaejua msaada Wana jf. Asante sana.
  18. Taured

    JamiiForums Tanzania Wife Material akuje!

    Nahitaji mdada aliye siriasi kabisa na mahitaji ya kuwa mke wa mtu: Sifa zangu: Miaka 40 Elimu : shahada ya kwanza Dini : mkristo ( mkatoliki) Kazi : mtumishi wa umma pia mjasiriamali Location : Dar Es salaam Mchumba awe angalau na sifa hizi 1. Awe mkristo ispokuwa msabatho 2. Umri kuanzia...
  19. Triple G

    JamiiForums Tanzania Natafuta Jengo kwa ajili ya kufanya Hospital

    Habari! Natafuta Jengo kwa ajili ya kufanya/Kukodi hospital kama kuna madalali au watu wenye connection humu karibuni!! Mkoa wa Dar es salaam Vigezo! Gorofa 3 au 2 au 1 vyumba 25 na kuendelea Parking space Panafikika kwa urahisi Iwe sehem ambayo watu wa class zote wataweza kupata huduma Isiwe...
  20. Waibi fredy

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi/ sehemu ya kujitolea

    Habari za wapendwa. Mimi ni kijana wa kitanzania ninaishi Dar jinsia (me), elimu (shahada ya teknolojia na mawasiliano) nimekuja humu ndani kutafuta connection yoyote ya Kazi/au sehemu ya kujitolea kwenye taasisi yoyote iliyo na uhitaji wa mtu mwenye fani yangu. Nipo tayari kujitolea sehemu...
Back
Top Bottom