natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Natafuta Watu 'Serious' niwape 'Strategies' na waunde Chama 'Strong' cha Upinzani Tanzania kwani vilivyopo sasa viko ICU vinasubiri Kufa na Kuzikwa tu

    Kwa Wanasiasa mlio na utayari jikusanyeni na mkikamilika mnitaarifu haraka ili tuanze Kazi na nitakuwa nawaelekezeni kutokea hapa hapa JamiiForums tu na sitohitaji Kuonana nanyi. Nakipenda sana Chama Cha CCM na Rais Samia ila GENTAMYCINE napenda kuona CCM na Rais Samia 'wakihenyeshwa' 24/7 na...
  2. Giftitz

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote

    Habari ndugu zangu naitwa John nipo Kibaha Natafuta kazi yeyote iwe ya kuuza duka aina yeyote kazi ya house boy nitafanya. Msaada wenu wakubwa😔
  3. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote. Nina elimu ya kidato cha sita

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 natafuta kazi yoyote ile nina elimu ya kidato cha sita wenye ufaulu mkubwa. Nilikua nasoma chuo ila nikasimamisha mwaka 2019 kutokana na hali ya kifedha ilionikwamisha Nina experience ya kazi sales and marketing kwa miaka mitatu katika kampuni tofauti...
  4. Investaa

    JamiiForums Tanzania Natafuta walimu tufanye project!

    Habari wasomi. Kama title inavyojieleza hapo juu, nahitaji walimu wa masomo yote ya O-LEVEL & A-LEVEL pamoja na CPA kama wapo. Kwa walimu wa secondary kazi yao kubwa watakuwa wana solve past paper za necta na mock pamoja na kuweka notes. Kwa baadae nafikiri tunaweza kuanza ku solve pia...
  5. JOTO LA MOTO

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mtu anayeweza kunikopesha kwa kuweka dhamana ya camera

    Mimi ni Mjasiriamali, sasa kuna shughuli zimekwama kidogo nahitaji kama shilngi 70000 (elfu sabini). Dhamana yangu ni camera aina ya cannon iliyo katika hali nzuri na inafanya kazi ikiwa na lensi zake mbili, mic na charger. Nitakopa kwa muda wa siku 15 au 20 tu kwa riba tutakayokubaliana. Nipo...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Avocado oil press machine

    Salama humu ndani! natafuta mashine ya kukamulia mafuta ya parachichi yenye uwezo wa kuzalisha kati ya 10 na 20KG kwa siku.
  7. Jay3xclusive

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi yoyote ya halali, nina Cheti cha Kidato cha Nne

    Natanguliza salamu, Naitwa Juma Nina umri wa miaka 19 ninaishi Mwanza, Natafuta kazi yoyote ya halali nina cheti cha kidato cha nne. Naweza kutumia computer vizuri Ninaujuzi wa Web design Naweza kufanya kazi ya duka Naombeni msaada wwnu Guys natafuta kazi nipo Mwanza Tanzania , Yoyote...
  8. Daren

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya halali, niko Arusha

    Habari ndugu zangu. Mimi ni kijana (ME) nina umri wa miaka 20. Ninaishi mkoa wa Arusha. Nina shida sana hali ngumu ya maisha Hadi naanza kuta tamaa . Nimeona niweke wazi tu huenda kuna mtu humu atanisaidia kupata kazi yoyote ile ya halali. Natanguliza shukrani
  9. Equation x

    JamiiForums Tanzania Warembo wa Kiarabu, wanapatikana wapi?

    Nimejaribu kuzunguka mtaa kwa mtaa, zaidi ya miezi 3, ili nipate mchepuko wa kiarabu; lakini bado sijafanikiwa. Naimani, nikipata mrembo wa umbo namba 8, wa Kiarabu; akili yangu itatulia na kufanya mambo mengi ya msingi. Wakuu, wanapatikana wapi hawa warembo wa Kiarabu?
  10. Mustapha007

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi kwenye stationery

    Naitwa Mustapha Rajabu. Nina umri wa miaka 28 naishia Dar Es Salaam maeneo ya Tabata Bima. Ninao uzoefu wa kutosha kwa kazi hiyo, nimefanya kazi ya stationery kwa zaidi ya miaka 5 hivyo ninao uzoefu mkubwa katika utendaji wa kazi hiyo. Ninao uwezo wa kutumia Computer vizuri na kuchapa document...
  11. Somaiyo

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Spacio new model

    Kama kuna mdau anayo spacio new model number D yoyote, iwe kwenye hali nzuri, offer m7 kamili. Mahali: Mwanza
  12. Rangooo

    JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi sahihi wa kuanza nae mahusiano imara na bora

  13. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba awe mke. Masharti awe na asset net worth 150m

    Habari wadau. Natafuta mchumba wa kike tukielewana awe mke. Masharti ni awe na asset net worth 150m. Age awe 32 kushuka chini. Asizidi 32. Nimesema asset awe nazo sababu sitaki mnyonyaji.. mahusiano ama ndoa iwe na win win pande zote. Binafsi ninamiliki asset net worth 300m. Sasa mtu...
  14. BUGALEE005

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kujitolea GIS and Land Surveying

    Habar zenu ndugu!! Mimi ni kijana wa miaka 23 Nina Diploma ya land survey nilikuwa naomba kama kuna kampuni yoyote inayojihusisha na shughuli za land survey nahitaji kupata mahali hata pa kujitolea. Namba yangu 0699239068
  15. chawa wa mama

    JamiiForums Tanzania Natafuta mayai ya kwale

    Ndugu zangu natafuta mayai ya kwale ambayo yanafaa kutotolesha. karibu mwenye taarifa yoyote
  16. ziggibro

    JamiiForums Tanzania Dereva - Natafuta gari ya hesabu (Bolt & Uber)

    Naitwa Ayoub, Natafuta gari ya hesabu kwa ajili ya Bolt na Uber. Ninazo account zote za kuendesha tax online (Uber, Bolt, Paisha, Little, Moovn etc) Nipo tayari kwa kazi nachohitaji ni gari tu. Mawasiliano 0767553726
  17. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Natafuta vifaranga vya uhakika vya kuku aina ya Croila nipo Mbeya

    Ndugu, naulizia ni wapi nitapata Croila kwa uhakika nipo wilaya ya Kyela mbeya. Ahsanteni
  18. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kufungua naye saluni - Mfadhili/Mwekezaji

    Habari wana forum, Naitwa Lucy ni mtaalam wa mambo ya salon, shughuli zangu huwa nafanyia mtaani nafwata wateja au wao wananifwata kwa huduma ya ususi Leo niko hapa kutafuta mtu ambaye atakuwa tayari either kunisapoti kwa kuwekeza au kunifadhili au hata kushare naye... Hali ya ajira ni ngumu...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kuuza pharmacy au duka la dawa

    Mimi ni kijana mwenye diploma ya pharmacy natafuta kazi ya pharmacy au duka la dawa naishi dar
  20. Peter Acoustic

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina Diploma ya Music Production

    Nmemaliza chuo tangu 2020 Nina diploma ya Music production. Ni kijana wa miaka 23 Na weza kucheza baadhi ya Instrument Keyboard, guiter Acoustic, solo guiter, Bass guiter pia ni Mwalimu mzuri kwa watu wenye interest ya Kujifunza. Naweza kufundisha Watoto kwa wenye uhitaji wa kujifunza...
Back
Top Bottom