Habar zenu ndugu!!
Mimi ni kijana wa miaka 23 Nina Diploma ya land survey nilikuwa naomba kama kuna kampuni yoyote inayojihusisha na shughuli za land survey nahitaji kupata mahali hata pa kujitolea.
Namba yangu 0699239068
Naitwa Ayoub, Natafuta gari ya hesabu kwa ajili ya Bolt na Uber. Ninazo account zote za kuendesha tax online (Uber, Bolt, Paisha, Little, Moovn etc)
Nipo tayari kwa kazi nachohitaji ni gari tu.
Mawasiliano 0767553726
Habari wana forum,
Naitwa Lucy ni mtaalam wa mambo ya salon, shughuli zangu huwa nafanyia mtaani nafwata wateja au wao wananifwata kwa huduma ya ususi
Leo niko hapa kutafuta mtu ambaye atakuwa tayari either kunisapoti kwa kuwekeza au kunifadhili au hata kushare naye...
Hali ya ajira ni ngumu...
Nmemaliza chuo tangu 2020
Nina diploma ya Music production.
Ni kijana wa miaka 23
Na weza kucheza baadhi ya Instrument Keyboard, guiter Acoustic, solo guiter, Bass guiter pia ni Mwalimu mzuri kwa watu wenye interest ya Kujifunza.
Naweza kufundisha Watoto kwa wenye uhitaji wa kujifunza...
Habari wanaJamvi,
Natumaini siku yenu inaendelea vizuri.
Kama ilivyotajwa hapo juu, natafuta anayeshughulika na BioGas hapa Bongo. Nahitaji sana.
Asanteni.
Hello,
Natafuta mtu mwenye uzoefu wa kufanya marketing katika sekta ya Utalii!! position based in Arusha!
Uaminifu katika kazi uwe wa kiwango cha juu!!
Njoo inbox
Habarini wadau kama mada inavyojieleza hapo juu. Natafuta chainsaw used.
1.Aina ni HUSGVARNA(272) 2.20 Inches
Kwa mtu aliyetayari naomba tuwasiliane
NB.
Iwe kwenye hali nzuri isiwe imechoka.
Ndugu zangu, kwanza poleni na kazi... Naomba mwenye contact au anayejua kampuni inayotafuta mkalimani wa Kichina, naomba unitafute WhatsApp +861572153760.
Zinahitajika haraka, mbegu za Vibuyu (Calabash Seeds) siyo Maboga, nasisitiza Kibuyu, hivyo kwa yeyote mwenye nazo au anayemfahamu aliyenazo awasiliane na What's App/Simu +255622 642620.
Ushauri, mawazo au maelekezo kuhusu upatikanaji wake pia unapolelewa.
Mim kijana wa kitanzania ambaye natafuta ajira yoyote ile ambayo ni halali kabisa
Nina uzoefu na kuendesha magari na pikipiki, nina uzoefu wa kuuza duka.
Kwa yoyote yule alie tayari naomba tuwasiliane kupitia namba 0719 01 3003 au 0622 94 1452 au barua pepe mohamedhabibu075@gmail.com
Naomba kazi yoyote itakayo niweka mjini wakati nikihangaikia mambo yangu ya kuwa employed kulingana na professional yangu. Niko dar es salaam, 0767908931 namba yangu
Habari wana jamii,
Poleni na majukumu ya hapa na pale. Kwa jina naitwa kelvin nina umri wa miaka 25 naishi mbeya sae-Tanesco
Natafuta kazi ya udereva katika campany yoyote inayojishughulisha na udereva wa IT nina lesen ya class E nimesoma mafunzo ya udereva VETA na pia ninaujuzi wa ufundi...
Habari Wana JF.
Naitwa parson,
Nina umri wa miaka 35,
pombe na sigara situmii,
Kazi mjasiriamali (mdogomdogo) mwenye malengo makubwa.
Sifa ya mke nimtakaye.
Umri kuanzia 30-36
Kabila -lolote
Dini- yeyote
Rangi -Natural (asiwe wadukani)
Elimu- kuanzia kidato Cha nne mpaka chuo kikuu.
N:B Eva...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.