natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Natafuta Shamba Mapinga

    WanaJamii, Natafuta shamba la eka 2 au 3 maeneo ya Mapinga au Kerege. Mwenye nalo au connection tafadhali niDM. Lire Karima na line ya même na pare na uhakika wa maji ya kwa kuchimba kisima kirefu (borehole). Dr Riwa.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mbeya na Rukwa: Natafuta wanunuzi wa alizeti

    Ninauza alizeti zipo mkoa wa mbeya mjini na Rukwa bondeni. Mawasiliano ni 0769902875 Karibuni sana, bei ni maelewano. Nb: Alizeti ni ya mwaka huu imetoka shambani.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta wanunuzi wa mbegu za alizeti

    Habarini wadau ninauza mbegu za alizeti safi kabisa, zina mafuta mengi. Zipo Mbeya Mjini na bonde la Rukwa. MAWASILIANO ni 0769902875, Bei ni nzuri na bei ni maelewano Nb: Mbegu ni mpya za mwaka huu zimetoka shambani
  4. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya udereva wa magari madogo, security na house work

    Nina umri wa miaka 20 mkazi wa Dar es Salaam ninatafuta kazi kati ya hizo tajwa hapo juu na uzoefu wa kuendesha magari wa miaka 2 pia nakazi za nyumbani. Elimu yangu ni form four level pia na driving certificate ya magari madogo
  5. JamiiForums Tanzania Natafuta mke tajiri

    Naatafuta mke awe tajiri; ~ Nina miaka 30 ~ Sina mtoto ~ Nipo mkoani ~ Sina Mali ~ Nimejiajiri MKe nimtakaye; ~ Awe tajiri ~ Umri 30 kushuka chino ~ Elimu yoyote ~ Usiwe na mtoto (kama unaye awe mmoja tu) ~ Uwe tayari kuja popote au unitumie nauli popote duniani nitakuja ~ Uwe mweupe au mweusi...
  6. JamiiForums Tanzania Natafuta Mume

    Habari wana JF? Natafuta mume awe na sifa: -Mcha Mungu Mkristo(Mkatoliki) -Umri 35-45 -Amejiajiri/Kuajiriwa -Elimu angalau degree moja na kuendelea -Muelewa awe na moyo wa upendo na huruma na mwenye kujua maana ya familia Kuhusu mimi -Umri 31years, -Kabila Mwiraqw(Manyara) -Nina degree moja...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba elimu kuhusu biashara ya online

    Habarini naomba mnisaidie kuniambia kuhusu online Bussiness kwasababu Natafuta kazi ya online.
  8. JamiiForums Tanzania Natafuta Part time job (Excel data analysis and visualization and creating dashboard)

    Habari wakuu. Naimani wote mko salama na majukumu yanakwenda. Ninatafuta Kazi ya muda mfupi/mrefu ya kufanya data analysis and visualization na creating of dashboard kwakutumia Excel. Kama utahitaji niwepo kwenye data collection pia nipo tayari. Natanguliza shukrani na kuwatakia siku njema
  9. JamiiForums Tanzania Gari inahitajika Land Cruiser Gx 105 mwaka 2002 mpaka 2007

    Iwe ya diesel. Manual gear. Engine 1hz. Rangi nyeupe. Iwe katika hali nzuri both Engine na transmission bila kusahau body. Budget Mil 20
  10. JamiiForums Tanzania Nilichogundua shida maofisini kwenye utoaji wa huduma hazipo kwa Mabosi, zipo kwa wasaidizi

    Husika na mada hapo juu tunawaomba MA-PS (Baadhi), huko MAOFISINI mtuhudumie kwa upendo na kwa haraka, nimefanya utafiti kidogo nimegundua kumbe mabosi wana moyo wa kutuhudumia Ila wanakwamishwa na masekretari wao. Mfano; 1. Ps unamsalimia hakujibu kwa makusudi. 2. Ps anakataa usionane na boss...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Acha nijaribu bahati yangu huenda Mungu atanisaidia. Natafuta mwanamke wa kufanya nae Maisha

    Habari wana JF! Mimi sio mgeni humu jukwaani ila nimekuja na ID mpya kwasababu ID yangu inafahamika na watu kadhaa. Ninatafuta mke mwenye sifa zifuatazo. UMRI: Miaka 18-26 ELIMU: Kuanzia kidato cha nne DINI: Mkristo. Asiwe na mtoto, awe mwembamba, mwenye hofu ya Mungu, asiyependa kuwa mama wa...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta wateja wa flakes /chenga au mchele wa plastic

    Habari wadau !! Kwanza nitoe shukrani kwa ushirikiano wenu hatimaye nimetimiza agenda yangu ya kufungua kiwanda cha kuchakat plastics na kazi zimeanza haraka sana ila nimepata pigo kwenye swala la kuuza hizi flakes nina tani 10 za flakes nimeenda tazata pale wameniambia kwa sasa hwanunui...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Natafuta master ya 100,000/= Hadi 120,000/=(Dar es Salaam)

    Wadau hongereni na majukumu. Natafuta master bedroom ya hio bei. Location kuanzia Kimara mwisho - Ubungo. Isiwe mbali na Morogoro road. Angalau umbali uwe dakika 10 tu. Msaada tafadhali
  14. JamiiForums Tanzania Natafuta mafuta ya samaki au Pamba

    Habari Wapendwa, Natafuta chimbo la mafuta ya samaki au mafuta ya pamba anajua tafadhari nijuze.
  15. JamiiForums Tanzania Wana JF naombeni kazi ya customer care

    Jina: Bety Laizer Jinsia: Mwanamke Umri: 33 years old Elimu: Diploma ya Afisa Masoko Makazi: Arusha , Tanzania Uzoefu: Miaka 8 Email yangu ni tourismnewworldwide@gmail.com ,
  16. JamiiForums Tanzania Natafuta sukari Kali ya unga ya viwandani kwa ajili ya utengenezaji wa juice

    Wadau naomba mwenye kufahamu wanapouza sukari Kali ya unga ya kutengenezea juice anifahamishe kwani Ninashida nayo. Sukari hiyo hutumika kutengenezea soda coca cola, pia naomba msaaada kwa mwenye kufahamu wanapouza Rangi ya ukwaju.
  17. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya halali

    Habari wana JF, Mimi ni kijana Mwenye umri wa miaka 24, Naitwa Isack Mussa. Ni muhitimu wa chuo kikuu (UDSM) course BCOMM HRM. Nimehitimu 2021 mpaka sasa sijafanikiwa kupata ajira. Nipo hapa kama familia kuomba msaada wa yeyote atakae weza fanikisha Mimi kupata ajira au kazi ya kuniingizia...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Wauzaji wa vifaa tiba (medical equipment) Tanzania

    Habari, Hill Medical Equipment ni kampuni inayo jihusisha na uuzaji na usambazaji wa vifaa tiba(medical equipment) katika mikoa yote ndani ya tanzania. Pia hill medical equipment tunauza vifaa tiba vyenye ubora wa hali ya juu kwa bei elekezi ya serikali. Tunakalibisha taasisi, hospitali...
  19. JamiiForums Tanzania Natafuta hizi bidhaa

    Nawasalimu ndugu zangu wanajukwaa. Poleni kwa majukumu, naomba kufahamishwa ni wapi nitapata hizi taa kwa Dar es Salaam.
  20. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta softwares

    Naomba kama kuna mtu anaweza nisaidia softwares OS na designing softwares Naomba sana wakuu 0744210614
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…