Natafuta Mpishi wa Chapati

sas2017

Member
Jun 28, 2017
9
5
Natafuta Mpishi Wa Vitafunio.

Awe anaweza kupika Chapati Kuanzia Kilo 10.

Kazi katika Mgahawa ambao upo Dar es Salaam, Maeneo ya Bomba Mbili, Njia ya kutoka Mombasa, Ukonga.

Pia mahitaji Mpishi anayejua kupika Supu na Nyama Choma.

Nikiridhika na Mapishi yako, naweza kukupa mpaka Alfu 20 kwa Siku.

Tuwasiliane kwa namba 0683977008.
 
be specific,, usiseme naweza kukupa mpk 20K,, SEMA nitakulipa elfu 20 kwa siku.
Hapana inategemea Mpishi kama atakidhi vigezo vyote.

Kwa Mfano, Mpishi Wa Chapati awe anapika Chapati Nzuri, na kwa kiwango tunachokubaliana na Mapishi ni asubuhi na jioni.
 
Nampa nambaako chef mmoja anaitwa Eric anakupgia soon anafaa kulipwa hiyo 20k sababu anajua mpk anajua tena.

Sent from my STK-L21 using JamiiForums mobile app
 
Natafuta Mpishi Wa Vitafunio.

Awe anaweza kupika Chapati Kuanzia Kilo 10.

Kazi katika Mgahawa ambao upo Dar es Salaam, Maeneo ya Bomba Mbili, Njia ya kutoka Mombasa, Ukonga.

Pia mahitaji Mpishi anayejua kupika Supu na Nyama Choma.

Nikiridhika na Mapishi yako, naweza kukupa mpaka Alfu 20 kwa Siku.

Tuwasiliane kwa namba 0683977008.
Usiporidhika utamlipa shilingi ngapi?
 
Usiporidhika ndio hutomlipa kabisa?
Hahahaha, hapana nitamjaribu kwanzo kabla hatujaingia Makubaliano, na hii inafanyika popote kabla ya Mtu kupewa kazi anajaribiwa kwanza, akifaulu ndio tutaingia Makubaliano ya Malipo. Na akishindwa ndio kashindwa, sitaendelea nae.
 
Bado Natafuta mpishi wa Chapati na Vitafunio vyengine kama Half Cake, Sambusa, Egg Chop, Kababu, Sharifu, Bajia, Maandazi, Donat, etc.
Pia nahitaji Mpishi wa Supu/Nyama Choma.

Niliowapata wanaishi mbali na Biashara ilipo.
 
Ukitaka wa kuchemsha viazi, mihogo na magimbi nipo hapa
 
Hapana inategemea Mpishi kama atakidhi vigezo vyote.

Kwa Mfano, Mpishi Wa Chapati awe anapika Chapati Nzuri, na kwa kiwango tunachokubaliana na Mapishi ni asubuhi na jioni.
Wangapi hapo?
Wakati mwingine muwe na huruma na wenzenu basi.
Hivi unazijua kilo 10 za chapati wewe? Hapo ameamka saa ngapi? Then na jioni. Kila siku ya Mungu! Ungesema wapishi 3 sawa.
 
Back
Top Bottom