Habari za Kazi,
Mimi ni mwanaume mwenye umri 40+. Natafuta Mchumba baadae aje kuwa mke, nahitaji sana watoto kwa sasa.
Tafadhali naomba binti ambaye yuko tayari kuwa na mimi aje PM, umri usizidi 38, awe mcha Mungu kiasi au sana ni sawa tu, awe mfanyakazi na awe tayari kuja kuishi Dar kama...
Habari za wakati huu wakuu,
Mimi najitokeza kutafuta mchumba (binti) mwenye asili ya Mishamo, Katumba au Ulyankulu.
SIFA ZAKE
★ Umri 20-26.
★Awe mweupe kiasi (asiwe mweusi wala mweupe sana).
★Awe mrefu kiasi (asiwe mrefu sana wala mfupi sana).
★Awe na mwili wa kawaida, asiwe mnene sana
★Awe...
Hello! Mimi Ni kijana mtanzania Elimu shahada ya kwanza katika sayansi (Kemia) umri Miaka 28 nimejiajiri.
NATAFUTA mwanamke ambae atakua mchumba na Kisha kuwa mke.. dini awe mkristo na mcha Mungu.
Elimu angalau awe diploma..
Awe tayari kuishi mkoani Mbeya... asiwe na mtoto.... awe...
Naitwa Alex, Elimu yangu ni Degree pia ni mwajiriwa natafuta Mchumba yaani mwanamke wa kuoa.
SIFA
Awe na elimu kuanzia Diploma na kuendelea.
Awe mweupe au maji ya kunde.
Asiye kunywa pombe.
Awe mwenye hofu na Mungu.
Awe hajazaa na Kama amezaa asiwe na zaidi ya mtoto mmoja.
Awe mrefu au mfupi Ni...
Mimi ni mwanaume umri wangu ni miaka 27, natafte mwanamke ambaye ni mcha Mungu seriously na ameokoka, akiwa wa miaka 20-24 itapendeza sana. Kwa sasa nipo ruvuma ila nyumbani ni moshi. Naomba tukutane PM
Mimi ni Mwanaume miaka 28 mkazi wa Dar es Salaam natafuta mchumba
Mimi ni mtumishi wa serikali, mwanamke awe mkazi wa Dar umri 25 kushuka chini asiwe na mtoto elimu yake kidato cha nne na kuendelea awe mkristo
Awe mweusi,mweupe vyovyote ...
Awe mchangamfu [emoji1]
Karibu PM kama uko interested
Assalamu alaykum Wana jamiiforums
Bila kupoteza muda, baada ya kupitia mengi katika maisha ya uhusiano sasa naona ni muda muafaka kwangu kurudi katika maisha ya kutafuta mke.
Sifa.
1. Asiwe katika mahusiano
2. Dini: Awe muislamu, mchamungu, mwenye kuvaa hijab ya kisheria na mfanya ibada.
3...
Natafuta mchumba kike awe tajiri.
Sifa zangu;
1. Mimi ni black kidogo.
2. Elimu yangu certificate ya Tehama.
3. Kazi yangu ya Wakala (usajili wa sim cards) wa Airtel, Vodacom Tanzania, Halotel Tanzania, Ttcl Tanzania na Tigo Tanzania.
Sifa zake huyo msichana;
1. Awe tajiri Boss lady.
2. Umri...
Mimi bado nikijana, nina miaka 25
elimu yangu ni darasa la saba
ninajishugulisha na biashara (maduka) Tanzania na Zambia, ninatafuta mchumba awe na vigezo hivi
miaka 18/24,
Awe na hofu ya mungu
dini mkristo na awe na uhitaji kama wangu (ndoa)
kuhusu elimu (yoyote)
asiwe single mother...
Sifa zangu ni mrefu wastani, rangi ni maji ya kunde, mkisto nasali Anglican, mpole na mwaminifu, umri 25.
Natafuta mchumba awe mkristo kama ni dini nyingine tutaongea, awe urefu wa wastani akiwa mfupi sio mbaya, rangi yoyote, mwenye heshima, na mwaminifu, umri awe kuanzia 18-25.
Mimi ni mwanaume wa miaka 38, ninatafuta mke wangu/mwenza wangu wa maisha.
Muonekano wangu.
Urefu- Mrefu Kiasi cm 173
Rangi- Mweusi.
-Sio mnene wa sio mwembamba (umbo la kawaida)
Elimu yangu- degree 2
Kazi- Mtumishi (Taasis ya Serikali)
Sifa za ninae Mtafuta.
Rangi- Yoyote.
Miaka - Kuanzia 25...
Sifa zake:
1. Awe na hofu ya Mungu.
2. Awe tayari kupima HIV.
3. Asiwe mfupi, Rangi yeyote ile, maana mimi mwenyewe ni mrefu
4. Awe na elimu ya kuanzia kidato cha nne, sita, hata chuo kikuu.
5. Ajue kupika, aisiyependa uchafu na awe anajua kupika kila aina ya chakula kuanzia maandazi n.k.
6...
Natafuta mchumba wa kike, awe mweupe wa saizi, asiwe mnene sana wala asiwe kajichubua.
Awe mrefu, elimu kuanzia kidato cha nne hadi chuo, umri asipungue miaka 20 wala asizidi miaka 25, asiwe tegemezi.
Sichagui dini, ila nitafurahi kama atakuwa ni mwenye kujisitiri.
Umri wangu ni miaka 28...
Uwe mrembo mwenye msimamo, unajitambua na mchapakazi, sichagui kabila mm nipo Dar, mfanyakazi wa serikali taasisi ni siri yangu tuonane pm tutambuane mm ni half maji ya kunde,urefu Sm 177 mwanamke awe mweupe au maji ya kunde
Nipo serious
Nahtaj mwalimu kwani atakua mama,mlezi,na mwalimu kwa...
Habari wadau.
Natafuta mchumba wa kike tukielewana awe mke.
Masharti ni awe na asset net worth 150m.
Age awe 32 kushuka chini. Asizidi 32.
Nimesema asset awe nazo sababu sitaki mnyonyaji.. mahusiano ama ndoa iwe na win win pande zote.
Binafsi ninamiliki asset net worth 300m. Sasa mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.