natafuta mchumba

  1. Unique Flower

    Mimi natafuta mchumba nipo serious

    Kweli na tafuta mchumba serious nimekuwa mtu mzima nahitaji familia Vigezo serious awe handsome wa kiasi . Awe 32 -40 Awe hajawahi kupata mtoto kokote. Awe anafanya kazi kaajiriwa . Elimu Anizidi mimi na Diploma . Awe mweupe au maji yakunde awe mrefu wastani. Asiwe mzubavu awe anachangamkia...
  2. R

    Natafuta Mchumba 'Mwanamke ' - anayeishi Mbeya

    Kichwa cha habari chahusika. Natafuta mwanamke ambaye anahitaji kuwa na mwanaume for long term relationship ili kujenga familia pamoja. Sifa za mwanamke nimtakaye: 1. Awe anaishi mkoani Mbeya. 2. AWE TAYARI KUPIMA HIV 3. Awe na umri kuanzia 20 hadi 35. 4. Elimu yake kuanzia kidato cha nne na...
  3. J

    Natafuta mpenzi mtu mzima

    Akiwa na mtoto au watoto amezaa ni vizuri. Akiwa aliachika katika ndoa na angalau alipewa taraka itapendeza zaidi. Asiwe chini ya miaka 35 na asifike 55. Dini yake yoyote aendelee nayo. Mi situmii pombe na yeye ajitathimini. Awe ni mnene wa shep au awe na mzigo. Awe anaishi Dar au jirani...
  4. rkid49

    Natafuta mchumba baadaye awe mke

    Habari za majukumu Nimejitokeza hapa kwenu kwa lengo la kutafuta mchumba then baadae awe mke Sifa zangu: Rangi: mweusi Kimo: mrefu Miaka: 28 elimu: degree Location: mbeya Awe atleast na sifa hizi: Rangi: mweupe/ maji ya kunde Kimo: asiwe mfupi miaka: isizidi 30 Elimu: kuanzia sekondari Kwa...
  5. Tumainiely Moshi

    Natafuta mchumba wa kike kuanza nae mahusiano

    Naitwa Junior Mkazi wa DSM nina miaka 27 natafuta mchumba wa kike wa kuanzisha nae mahusiano ya kudumu SIFA: 1.Awe na umri kuanzia miaka 19-25 2.Awe mweupe au maji ya kunde 3.Asiwe mnene sana wala mwembamba sana 4.Dini yeyote 5.Kabila lolote 6.Awe na nidham pamoja na maadili mema 7.akiwa...
  6. kekule benzene

    Natafuta mchumba (mwanamke) muislamu

    Wasalaam wakuu!! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, natafuta mwanamke ambaye atakuja kuwa mke wangu Wasifu wangu *Umri -26 *Elimu -Bachelor degree * Dini - muislam *Rangi- Mweusi(pure) *Urefu-Wastani *Makazi- DSM NB Kama kuna kitu cha ziada nitaweka nikikumbushwa (Nikiulizwa) SIFA ZA...
  7. Tumainiely Moshi

    Natafuta Mchumba Wa kike

    Natafuta mchumba wa kike umri kuanzia miaka 21-27 awe dar es salaam tukikubaliana tuje kuishi Pamoja Sifa; 1.Awe mweupe au maji ya kunde 2.asiwe mwembamba Sana wala mnene Sana 3.kama atakuwa ameajiriwa itapendeza KWA yeyote aliye tayari tuwasiliane santosdavid554@yahoo.com
  8. dennoo_appliances

    Natafuta mchumba

    Mim Nina sifa zifuatazo Jinsi Mwanamme Umri miaka 29 Dini mkristo Elimu Bachelor degree Kazi Nimeajiriwa Makazi Dar es salaam Mhusika awe na sifa zifuatazo Jinsia Mwanamke Miaka chini ya 25 Dini mkristo Elimu Bachelor degree yeyote Makazi Dar es salaam Ambaye atakua interest anifuate pm
  9. du rugendo s.h

    Mchumba

    Natafuta mchumba wa kitanzania,awe kati ya umri wa miaka 35-40.Mie kwangu nina miaka 43 na awe ametokea mikoani,mtulivu na mcha mungu na kama ana mtoto awe mmoja wa kike,umri chini ya miaka kumi nimeajiriwa na ninao uwezo wa kumpa mtaji aanzishe biashara ndogo kwa minanjiri ya mahitaji madogo...
  10. T

    Natafuta mchumba wa kike

    Habari Wana jf, naitwa Alfred umri 34 toka Uvinza, elimu yangu diploma na mfanyakazi katika shirika linajihusisha na huduma za kijamii, najitokeza kutafuta mchumba ambaye kama Mungu atapendeza aje kuwa mke wa maisha, ningependa pia awe mcha Mungu na asiyetumia kilevi chochote kile lakini pia...
  11. O

    Natafuta Mchumba (MKE)

    Mimi ni kijana wa kiume, 29yrs mkazi wa DSM. Natafuta rafiki wa kike/mchumba umri 20-25 au zaidi mwenye nia ya dhati ya kutulia kwenye mahusiano na kufikia kuanzisha maisha pamoja. Aliye tayari anicheki inbox. Itapendeza kama atakuwa Dar au mkoa jirani. Awe anajiweza kidogo kiuchumi (awe na...
  12. happyxxx

    Natafuta mchumba wa kunioa

    Hello everyone, Natafute mtu wa kufunga nae pingu za maisha. sifa zangu, umri miaka 24, kabila mnyambo, dini mkristo, rangi yangu chocolate naishi Dsm Tabata, elimu yangu ni chuo, kwa sasa nimejiajiri. sifa za mme, asivute sigara, awe na hofu ya mungu, sichagui kabila, asiwe na mtoto, asiwe...
  13. O

    Natafuta mchumba wa kike, umri kuanzia miaka 21

    Natafuta mchumba wa kike ambaye aliye ni muelewa awe maeneo ya Pwani hususani Dar es Salaam au Bagamoyo Mwenye upendo wa kweli umri wake uanzie miaka 21 na kuendelea dini awe mkristo itapendeza zaidi awe tayari kuja tuishi wote Bagamoyo. Kwa maelezo zaidi aje PM
  14. Nick J Vuitton

    Natafuta mchumba baadaye awe mke

    Wakuu natumaini mko poa mimi ni kijana nina umri miaka 25 natafuta mwanamke aliye serius awe mchumba na baadaye mungu akijalia ndoa Mimi nimejiajiri, mrefu wastani, mweusi na ninajitegemea naishi Dar es Salaam, elimu yangu ni Diploma kabila langu mchaga. Naitaji mwanamke mwenye sifa zifuatazo...
  15. B

    Natafuta mchumba wa kike

    Mimi ni kijana wa kitanzania,nina umri wa miaka 26, ninaishi Mbeya kwa sasa na ni mkristo kwa dini, elimu yangu ni ya chuo(degree), sina kazi bado naangaika na maisha najishughulisha na shughuli zangu binafsi huku nikiangalia ni wapi pa kutokea, nahitaji msichana kati ya miaka 20 - 24, tutaanza...
  16. 0682375285

    Natafuta mchumba wa kike

    Naitwa Iman Umri miaka 26 Nimejiajiri nb. Mkurugenzi wa Kampuni Makazi: SHINYANGA SIFA ZA MSICHANA HUYO - Awe mkristu -black beauty - awe mtiifu - awe mkweli -urefu wa kati -umbo la kati - watsapp ni 0682375285 piga na tuma text
  17. jomasi0002

    Natafuta rafiki wa kike

    Natafuta rafiki wa kike ambae huenda baadae akawa mke wangu. Sifa zangu ni: 1. Mtaratibu 2. Mkarimu 3.Mrefu wastani 4.Mwenye ya mungu 5.Mwenye heshima na upendo 6.Umri wangu miaka 23 Awe na sifa angalau kati ya hizi 1.Awe na hofu ya Mungu 2.Mwenye kuvalia kawaida 3.Mkarimu 4.Mwenye...
  18. mdesi

    Natafuta mchumba wa kuoa

    Mimi ni mwanaume mwenye umri ya miaka 35. Naishi Dar es Salam, ni muajiriwa wa moja ya taasisi ya kiserikali. Natafuta mchumba alie komaa kiakili, hapa namaanisha mwenye muono chanya wa maisha ya familia na hulka za kimaendeleo. Umri min Miaka 18 na max 32. Akiwa amepata elimu walau kuanzia...
  19. neophyte

    Unataka kufufua uzuri wa ngozi yako bila kuathiri ngozi yako?

    imarisha mwonekano wako na fufua uzuri wako kila mtu anangozi nzuri na yenye kuvutia kwa namna yake lakini kuna mambo yanayo fanya tufubae ngozi zetu zisiwe nzuri kama inavyo takiwa na haya husababishwa na mazingira. tsh9000tu. kama vile kutokwa na chunusi kutokwa na utangotango kuwashwa...
  20. J

    Nimehamishiwa kikazi Mwanza nyumbani, natafuta mke tuunde familia

    Habari wana JF, Kwa miaka 6 nilikuwa Dar kikazi, hatimae maono ya kurudi nyumbani kwetu Mwanza yamefanikiwa, na sasa ni mwezi wa 3 nipo Mwanza naendelea na Kazi, nimeshapanga Nyumba, ila upweke unanisumbua, ila nina ukabili kwa nia thabiti ya kumpata Mwenza.. Mke wa Maisha. Hivyo I'm not...
Back
Top Bottom