Natafuta mchumba aje kuwa mke

Dani25

New Member
Jan 27, 2023
2
2
Sifa zangu ni mrefu wastani, rangi ni maji ya kunde, mkisto nasali Anglican, mpole na mwaminifu, umri 25.

Natafuta mchumba awe mkristo kama ni dini nyingine tutaongea, awe urefu wa wastani akiwa mfupi sio mbaya, rangi yoyote, mwenye heshima, na mwaminifu, umri awe kuanzia 18-25.
 
Sifa zangu ni mrefu wastani, rangi ni maji ya kunde, mkisto nasali Anglican, mpole na mwaminifu, umri 25
Natafuta mchumba awe mkristo kama ni dini nyingine tutaongea, awe urefu wa wastani akiwa mfupi sio mbaya, rangi yoyote, mwenye heshima, na mwaminifu, umri awe kuanzia 18-25
Sasa wewe ni wa kike au kiumeni?

Halafu huko kanisani mbona wengi wanaenda kuombewa kutafuta wachumba?

Panga dili na Mchungaji MPE sadaka mwambie akuunganishe na mmoja ya kondoo anaowaombea kupata mume basi akikurengesha wewe mtokee mwambie tu Dada ni roho mtakatifu amenionesha wewe ndiye mke wangu wa kukuowa, nimekupenda jinsi ulivyo na ninakuahidi nitakuwa mume bora, shughuri imeisha from there jiongeze na swaga za hapa na pale .

Muhimu usisahau kutowa hela hicho ni kipengele muhimu Kwa Sasa hakiepukiki, ukitaka mambo yako yaende acha ubahili, kama una hela achana na mapenzi jenga maisha yako kwanza.

Nadhani Kwa huu muongozo shughuli imeisha, good luck.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom