Natafuta mchumba atakaye kuja kuwa mke

Natafuta mchumba atakaye kuja kuwa mke

KUKULU- KAKALA

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2019
Posts
312
Reaction score
1,298
Hello! Mimi Ni kijana mtanzania Elimu shahada ya kwanza katika sayansi (Kemia) umri Miaka 28 nimejiajiri.

NATAFUTA mwanamke ambae atakua mchumba na Kisha kuwa mke.. dini awe mkristo na mcha Mungu.

Elimu angalau awe diploma..

Awe tayari kuishi mkoani Mbeya... asiwe na mtoto.... awe mchapakazi.. umri usizidi Miaka 33! Mawasiliano kwa aliye serious 0768438986
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom