Hadi leo nakaribia floor namba tatu, sina mchumba, mpenzi, wala demu.
Kutongoza imekuwa kazi ngumu sana kwangu. Ninaobahatisha kutongoza wananikataa.
Eeh Mungu wangu nisaidia. Natamani nipate mchumba nioe niendelee na maisha mengine, kuishi hivi pekee yangu upweke mwingi, geto ninapoishi...