Natafuta mchumba

Nov 7, 2016
8
3
Natafuta mchumba wa kike, awe mweupe wa saizi, asiwe mnene sana wala asiwe kajichubua.

Awe mrefu, elimu kuanzia kidato cha nne hadi chuo, umri asipungue miaka 20 wala asizidi miaka 25, asiwe tegemezi.

Sichagui dini, ila nitafurahi kama atakuwa ni mwenye kujisitiri.

Umri wangu ni miaka 28, ngazi ya elimu yangu ni chuo kikuu
 
Na mm mwenyewe...natafuta mchumba wa kike, sifa zake
1. Awe anajua kusali(mwenye hofu na mungu)
2. Asiwe mchawi
3. Asiwe mnene sana wala mwembamba sana (wastani)
4.Awe tayari kupima HIV
5. Asiwe mfupi angalau mrefu kidogo, mana hata mimi ni tall alafu black man.
6. Asiwe tegemezi mana hata mimi siyotegemezi.
7. Ajue kupika.
8. Umri kuanzia miaka angalau 25 hadi 30. Mana mimi nina 34
9. Asiwe na mtoto..ikitokea ana mtoto awe mmoja tu.
10. Awe mkristu, Dhehebu lolote

Niko serious...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom