Habari wana JF,
Kwa miaka 6 nilikuwa Dar kikazi, hatimae maono ya kurudi nyumbani kwetu Mwanza yamefanikiwa, na sasa ni mwezi wa 3 nipo Mwanza naendelea na Kazi, nimeshapanga Nyumba, ila upweke unanisumbua, ila nina ukabili kwa nia thabiti ya kumpata Mwenza.. Mke wa Maisha. Hivyo I'm not...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.