Natafuta mchumba awe mke. Masharti awe na asset net worth 150m

FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
8,822
33,531
Habari wadau.

Natafuta mchumba wa kike tukielewana awe mke.

Masharti ni awe na asset net worth 150m.

Age awe 32 kushuka chini. Asizidi 32.

Nimesema asset awe nazo sababu sitaki mnyonyaji.. mahusiano ama ndoa iwe na win win pande zote.

Binafsi ninamiliki asset net worth 300m. Sasa mtu ambaye hata nusu yangu hana naona atakuwa mnyonyaji..

Uzuri ama urembo sio kigezo kwangu mradi mbususu uwepo tu. Ila net worth hiyo na age ni lazima..

Wanawake wa siku hizi wanaolewa sana kimkakati.. na sisi wanaume tumewashtukia tunaenda nao kimkakati.

Mtu ambaye hana hata nusu ya net worth uliyenayo mwanaume naona kabisa ni mnyonyaji. Mahusiano yanapaswa yawe na win win pande zote.

Mbususu kila mwanamke anao.. haupaswi kuwa kigezo muhimu kuliko mpunga
 
Wewe upo sure una nert worth ml 300.
Au unatuzingua wewe .
Sikia kipenzi naweza kukupa binti 26 years ni mmalawi ana nertworth ml 500 zakwao na ml 2.1 dola hajionyeshi anamiliki kampuni tatu za utalii hapa Tanzania.

Ila anataka mume asiwe anaenda kazini awe kama mama nyumbani kumpokea kuhakikisha amekula . Ameoga umempa huduma zote kama mwenza wake kila mwezi anakulipa laki 5 kama asante ya kila mwezi .

Sikia ndugu unatuchora huna hela unataka utishie jamii na wakuwaze matajiri hawajisemi ona binti mmbichi kama yule hat forbes hajulikani ila katulia anakula mema ya nchi wewe sema unatafuta mke mwenye akili atumie hela kwa akili sio afute kama mchwa .
 
Wewe upo sure una nert worth ml 300.
Au unatuzingua wewe .
Sikia kipenzi naweza kukupa binti 26 years ni mmalawi ana nertworth ml 500 zakwao na ml 2.1 dola hajionyeshi anamiliki kampuni tatu za utalii hapa tz.

300m net worth sio tajiri wa kuandikwa forbes. Hiyo 300m ni mafao ya mbunge ya miaka mitano tu.

Unashangaa nini mtu kuwa na net worth hiyo.. na huku vijana wa siku hizi tunazaliwa na wazazi wafanyakazi, wanasiasa etc ambao wanaturithisha mali zao pindi wanapofariki. Na pia tunaanza kazi ama biashara mapema.

Forbes sio wapumbavu wakuandike kisa una net worth hiyo.

Binafsi ninayo net worth hiyo. Ila mtu ambaye hana hata nusu yangu sitaki kabisa anisogeleee.. mwendo ni win win tu
 
Hata kama ni kweli unanet worth 300, ila kibongo bongo mwanamke mwenye net worth more than 100 then akiwa single hawezi kubabaika na mwanaume wa aina yoyote, coz anauwezo wa kujisimamia mwenyewe kwa kila kitu.

NB: Mwanamke mwenye net worth 150 nakuendelea hawezi kuhitaji mwanaume aliejuu zaid yake.

Weka akilini hilo dogo.
 
Unaweza ukawa sahihi. Ila mimi sitaki mwanamke ambaye hana hata nusu ya net worth yangu hata awe mzuri kama malaika..
 
Wewe upo sure una nert worth ml 300.
Au unatuzingua wewe .
Sikia kipenzi naweza kukupa binti 26 years ni mmalawi ana nertworth ml 500 zakwao na ml 2.1 dola hajionyeshi anamiliki kampuni tatu za utalii hapa tz.
Ila anataka mume asiwe anaenda kazini awe kama mama nyumbani kumpokea kuhakikisha amekula . Ameoga umempa huduma zote kama mwenza wake kila mwezi anakulipa laki 5 kama asante ya kila mwezi .

Sikia ndugu unatuchora huna hela unataka utishie jamii na wakuwaze matajiri hawajisemi ona binti mmbichi kama yule hat forbes hajulikani ila katulia anakula mema ya nchi wewe sema unatafuta mke mwenye akili atumie hela kwa akili sio afute kama mchwa .
Sasa huyo binti yako anataka mume au mke,yaani mume akae ndani,aandae maji na chakula ndiyo unasema umeoa?

Haha
 
Habari wadau.

Natafuta mchumba wa kike tukielewana awe mke.

Masharti ni awe na asset net worth 150m.

Age awe 32 kushuka chini. Asizidi 32.

Nimesema asset awe nazo sababu sitaki mnyonyaji.. mahusiano ama ndoa iwe na win win pande zote.

Binafsi ninamiliki asset net worth 300m. Sasa mtu ambaye hata nusu yangu hana naona atakuwa mnyonyaji..

Uzuri ama urembo sio kigezo kwangu mradi mbususu uwepo tu. Ila net worth hiyo na age ni lazima..

Wanawake wa siku hizi wanaolewa sana kimkakati.. na sisi wanaume tumewashtukia tunaenda nao kimkakati.

Mtu ambaye hana hata nusu ya net worth uliyenayo mwanaume naona kabisa ni mnyonyaji. Mahusiano yanapaswa yawe na win win pande zote.

Mbususu kila mwanamke anao.. haupaswi kuwa kigezo muhimu kuliko mpunga
Baaba yako alliopmuoa mama yako alikuwa na utajiri kiasi gani? Acheni kukufuru mtaoa wauza unga wawatoe roho kama siyo kuwamalizia kifungoni.
 
Mkuu em tusaidiepo bas "net worth" ni nini haswaa

Net worth ni neno la kiingereza kwa kiswahili Ni jumla ya thamani ya mali ambazo mtu anamiliki.. jumla hii inapatikana baada ya kujumlisha thamani ya rasilimali zote ambazo mtu huyo anamiliki kisha unatoa na madeni ambayo mtu huyo anadaiwa . Kiasi kinachobaki ndicho kinaitwa net worth kwa kiingereza
 
Una asset za milion 300 unatafuta mchumba wa nini? Unatafuta kufilisika kula maisha. Ila maisha ya ajabu sana unakuta mtu hana kitu na ana wachumba kede kede. Yule mwenye asset za kutosha hana hata wa kusingiziwa. .

Huwezi ikimbia nature.. spouse ni basic need katika maisha.

Mademu wapo kibao ila huwez badilisha kila siku mpaka uzee wako ama kufa kwako
 
Tsh 300G ni utajiri wa kawaida kwa sasa. Vijana wengi wanamiliki tena zaidi ya huo na tupo nao kijiweni tunakunywa kahawa, kucheza bao na kutongoza ke kama kawaida.
1. Mshkaji anamiliki viwanja center vyenye thamani ya m200. Madalali kila siku wanahangaika kumshawishi auze ila kaamua kukodishia watu kama yard na jingine ni parking ya kulaza daladala . Kwa siku anakunja 200k akiwa amekaa.
2. Mwingine kaachiwa urithi karibu 1.2bn na anaendeleza poa tuu na demu wake ambaye hana hata 50G.
3. Dogo kapewa fungu lake : nyumba mbezi beach na sinza. Ya mbezi anakuja kodi toka medical sem fronteira ya 1,000USD kwa mwezi na yupo cool tuu.
4. Mashamba Hekari (siyo ekari) 100 hapo moro worth more than 400 plus several agricultural machineries, kaoa graduate hana hata mia,
5. Tulikuwa naye mgodini akapiga jiwe yenye pesa ya laana mererani . Anasimama kwenye 2bn kwenye real estate na yupo na mkewe ambaye wala hakuwa na m1 na ana run poa tuu.
6. Mende 4 kijiweni plus nyumba mbili na tunakaa juu ya gogo la mnazi kijiweni na pisi yake alianza nayo inamiliki tuu mbususu ila ikaratibu vyema biashara za jamaa na waliachana wala hakudai hata nauli. Jamaa akaoa gold digger anayemiliki kama 50G na wakashindwana demu akadai apewe nyumba kisa ana kichanga .
Hivyo punguza mchecheto kijana, tafuta mwanamke ambaye yupo bright upstairs na siyo anayemiliki walau nusu ya utajiri wako
 
Wewe upo sure una nert worth ml 300.
Au unatuzingua wewe .
Sikia kipenzi naweza kukupa binti 26 years ni mmalawi ana nertworth ml 500 zakwao na ml 2.1 dola hajionyeshi anamiliki kampuni tatu za utalii hapa tz.
Ila anataka mume asiwe anaenda kazini awe kama mama nyumbani kumpokea kuhakikisha amekula . Ameoga umempa huduma zote kama mwenza wake kila mwezi anakulipa laki 5 kama asante ya kila mwezi .

Sikia ndugu unatuchora huna hela unataka utishie jamii na wakuwaze matajiri hawajisemi ona binti mmbichi kama yule hat forbes hajulikani ila katulia anakula mema ya nchi wewe sema unatafuta mke mwenye akili atumie hela kwa akili sio afute kama mchwa .
Mtu amejiunga JF since 2011 unakuwa na doubt ya networth hyo😲 ukiwa na lodge mbili tuu tayar ushaifikia
 
Back
Top Bottom