Natafuta mchumba (mwanamke)

Kizibo

JF-Expert Member
Jul 3, 2018
3,871
8,381
Habari za wakati huu wakuu,

Mimi najitokeza kutafuta mchumba (binti) mwenye asili ya Mishamo, Katumba au Ulyankulu.

SIFA ZAKE
★ Umri 20-26.
★Awe mweupe kiasi (asiwe mweusi wala mweupe sana).
★Awe mrefu kiasi (asiwe mrefu sana wala mfupi sana).
★Awe na mwili wa kawaida, asiwe mnene sana
★Awe mwelewa na mnyenyekevu (kama ilivyo asili ya wanawake wa maeneo hayo. Asiwe mwenye itikadi za 50/50).
★ Awe mkristo na mcha Mungu
★ Elimu form 4+
★ Awe na asili ya kuwa mkweli na muwazi.

FIFA ZANGU:

★ Umri 34 (japo naonekana dogo).
★ Rangi - Mweusi.
★ Mwili - mwili wa kawaida.
★ Urefu wa wastani.
★ Mimi ni mkweli sana.
★ Dini - Mkristo.
★ Siendagi kanisani ila sina shida na mtu wala sina tabia yoyote ya kihuni.
★ Elimu - degree (sijaajiliwa na sina mpango wa kuajiriwa, nafanya biashara).

Kwa aliyetayari, kama tukielewana, tukaendana na tukakubaliana naahidi kumuoa, sitamdanganya.

Karibu PM iko wazi, uwe serious na uwe unamaanisha kweli.
 
Nijuavyo mimi Ulyankulu ni maeneo ambayo wakaazi wake asili yao ni WATUTSI aka WADUSHI kutoka RWANDA.
Na hawa ndo wanaotufukunyua na kupeleka taarifa zetu kwa KAGAME make wazazi/babu zao wengi walirudi nyumbani baada ya nchi yao kupata utulivu licha ya kwamba huku tayari walikuwa washapewa uraia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom