Nashindwa ku-verify WhatsApp

Wajuzi msaada.

Nimepakua WhatsApp lakini mtandao unagoma ku-verify.

Nimeshindwa kupata verification code kwa sms wala kwa call.

Msaada! Mbinu mbadala.

Tunakosa hela jamani!
iyo huwa huwa ianatokea kuna baadhi ya simu hapa mfano simu za oppo zinazotoka dubai huwa nyngi huwa wzifunga kwaiyo hata ku access whatsapp inakuwa ngumu.

ila kunanjia nyingine pia ya kuingia iala tumia scan code ndio inakubali hapo
 
Hii inakuaje
 
Back
Top Bottom