Nashindwa kufika mshindo

May 23, 2023
40
93
Mimi nina miaka 40 na ushee, miaka mitano iliyopita nilipata tatizo la kutokurudia tendo yaani nikipiga goli langu moja basi mpaka kesho.

Sasa mwezi mmoja uliyopita limeibuka tatizo lingine nikiwa KWENYE sex sikojoi yaan nafanyaa... halafu dushe linawyeaaa hapo ndio basi mpaka kesho tena.

Mwenzenu nina mwezi siijui raha ya kukojoa.

Wataalamu naombeni ushauri
 
Mimi nina miaka 40 naa... mim miaka mitano iliyopita nilipata tatizo la kutokurudia tendo yaan nikipiiga gori langu moja basi mpka keshoo
Sasa mwezi mmoja uliyopita limeibuka tatizo lingine nikiwa KWENYE sex sikojoi yaan nafanyaa...halafu dushe linaweaaa hapo ndio basi mpka kesho tena
Mwenzenu nina mwezi siijui raha ya kukojoa
Wataalamu naombeni ushauri
Punyeto, punyeto punyeto nimekuita mara 3 toka pepo punyeto kwa Kijana nguvu kazi ya Taifa.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
shida kubwa itakuwa mtindo wa maisha

Maana kufanya Ngono hutegemea Mzunguko wako wa damu ukiwa upo vizuri uta perform vizuri.

Waweza kwenda hosptalini
Ila zingatia haya mambo
Kula chakula kizuri
Stress free
Maji plus matunda
Mazoezi ya viungo kila Ahsubui.

Pia kwa umri wako 40 sex kwako sio compulsory Ila ni muhimu

Hivyo usijipe Sana mawazo there is a lot of stuffs to do apart of sex.
 
Back
Top Bottom