Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mh. Nape Nnauye ameizundua rasmi Bodi ya Tume ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi huku akiitaka kutekeleza majukumu yake kwa kuzingatia Sheria, Kanuni na miongozo iliyowekwa na si kwa Matakwa na Utashi wa watu fulani.
Waziri Nape amesema...
NIMEEJIULIZA swali Nape na Mwigulu ni Wajumbe wa Halmshauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC) kikao kilichompitisha Nchimbi kuwa Katibu Mkuu, Swali je kwanini Nape na Nchimbi walijitokeza tena kwenye mitandao kumpongeza hii ina maana gani?
Ilikuwa Septemba 28, 2015 akiwa uwanja wa Samora mkoani Iringa Nape Nnauye ikimfungia 'Turbo' ya maneno makali aliyekuwa mgombea wa Urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa dhidi ya mgombea wa chama chake, John Magufuli.
Nape alisema Chadema imeamua kufanya mabadiliko mengi ikiwemo kuacha...
Hali ya Mbunge wa Mtama Nape Nnauye kisiasa Jimboni Mtama imezidi kuwa mbaya baada ya Chadema kupitia kwa kijana msomi Stephen Kamillius Membe kufanya operesheni kila Kijiji na Sasa kila nyumba kutaka wananchi wamkatae Nape na CCM yake.
Operesheni hiyo imefanyika kwa miezi miwili Sasa na...
Mkuu wa chuo, Mizengo Pinda, Makamu Mkuu wa Chuo, Prof. Elifas Tozo Bisanda, Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Prof. Joseph Kuzilwa, heshima yenu wakubwa.
Prof. Elifas Tozo Bisanda, Professor of Mechanical Engineering. Mbobezi katika renewable energy. Tafiti kuhusu...
Kufuatia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kumteua Balozi Adadi Mohammed Rajab kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi, na Bi. Fatma Mohammed Ali kuwa Makamu Mwenyekiti, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari...
NAPE KALIDANGANYA BUNGE KUHUSU ELIMU YAKE
Katika kufanya Utafiti wangu kuhusu mapitio (background) ya elimu ya Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya habari Bw. Nape Moses Nnauye nimeshtuka kuona Bunge linatangaza Waziri Nape Moses Nnauye amepata Elimu ya Advanced Certificate of...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari amesema yeye atawashughulikia wale waliotangaza Msiba mtandaoni wa Makamu wa Rais baada ya Makamu kutoonekana kwa muda
Anadai sio kila jambo lazima lisemwe hivyo kwa wakati ule hakukuwa na sababu ya kusema alipo Makamu wa Rais. Anaendelea...
Kupitia mtandao wa kijamii X, Waziri Nape Nnauye amesema kuwa ameelekeza vyombo vinavyohusika kuchukua hatua za mfano dhidi ya wote waliozusha na kusambaza taarifa za uongo dhidi ya Makamu wa Rais.
Nanukuu
"Pole sana Mhe Makamu wa Rais. Tumekusikia. Kwakuwa tuna sheria zinazoelekeza mitandao...
Kaandikwa mtandao X
"Mdogo wangu Paul, karibu sana kwenye uongozi wa juu kabisa wa Chama chetu. Nina hakika umetumia vizuri muda wa likizo and now you are ready for the job! HONGERA kwa kuaminiwa na nakutakia kila la kheri! "
Je, ni dharau au woga?
Au Nape ndie kampa mchongo huo Makonda? Wa...
Akiongea kanisani kwake, alisema kuwa amemfuta rasmi Makonda na hata onekana tena kwenye ulimwengu wa siasa, sasa makonda ameonekana tena na sasa ni boss wa Gwajima na Nape Nnauye.
Ikumbukwe pia askofu Gwajima aliwahi kumtoa mtu pepo akalielekeza lile pepo kwa Makonda, mbele
ya waumini pepo...
Sheria karibu zote kandamizi za Habari na Wanahabari zilizopitishwa Awamu ya 5, zilipitishwa Nape akiwa Waziri wa Habari.
Na sasa Nape huyu huyu ameingiza Tanzania kwenye orodha ya Nchi za Ajabu na zenye kutia aibu kwenye VPN, sasa swali letu ni hili, kwanini haya yanatokea pale yeye anapokuwa...
Habari ya zuio ama masharti ya matumizi ya VPN kutoka kwa Waziri Nape na wizara yake kwa ujumla inasikitisha hasa inapotokea Waziri anakosa statements zenye substance na credibility, si vema watu wenye dhamana kama ya ndugu Nape kutoa statements zenye mzaha mzaha, Tanzania sio kisiwa vinywa...
Huyu Nape ni waziri wa habari ila sikuelewa jambo alilotaka kuelezea kama lilikua ni lenyewe au la.
Nape ametumia muda kueleza nia nzuri ya kudhibiti matumizi ya VPN, ni kuzuia utapeli wa ile hela tuma namba hii unaoendelea nchini kupitia mitandao ya simu.
Nape amehusisha utapeli huo na...
Nadhani ni wakati sahihi kwa watanzania wote waliowahi kumlaumu Nape kuhusu kampuni ya Starlink kumuomba msamaha na kuungama makosa yao. Hawakufanya vyema. Pamoja na mapungufu yake ni kuwa Mheshimiwa Nape aliona mbali katika hili.
Ndani ya muda mfupi sana wananchi wa Zambia wameshaanza...
Ni wazi kuwa huenda nawe sasa umekichoka Chama chako cha CCM na sasa unataka kikae pembeni, kwani GENTAMYCINE nina uhakika endapo Kura za Uchaguzi Mkuu ujao (2025) zitapigwa 'Kidijitali' basi Saa 3 Asubuhi tu CCM itaanguka na Kizimkazi Paje Kisiwani Zanzibar itapata Mgeni wao wa Kudumu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.