nape

  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Byabato, Nape waibukia soko la Kashai usiku, wazungumza na wafanyabiashara

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Stephen Byabato wametinga katika Soko la Kashai mjini Bukoba, usiku wa Julai na kushiriki kikao cha wafanyabiashara wa soko hilo. Wafanyabiashara wa soko hilo...
  2. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Mh Nape Nnauye, Waziri wa Habari na Mawasiliano kuhusiana na Starlink

    Mh Nape Nnauye Waziri wa Habari na Mawasiliano vijana wengi tunakupenda sana kwasababu wewe ni msikivu sana. Kuna haja ya kuwakaribisha Starlink Tanzania kwasababu zifuatazo 1: Starlink wanatoa huduma nzuri lakini ni ghali sana kulinganisha na makampuni yetu ya simu hapa Tanzania kwahiyo wao...
  3. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Nape Nnauye, Mtandao wa X haupaswi kufungiwa kwa sababu zifuatazo

    Mtandao wa X haupaswi kufungiwa kama Watanzania wanavyodai hii ni kwasababu zifuatazo 1:Mtandao wa X unatumia teknolojia ya Algorithm inamaana kwamba mtumiaji hawezi kuona maudhui ambayo hayafuati yeye au hayatazami au kuyatafuta yeye ndani ya mtandao huu ndio maana yapo makampuni, taasisi na...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Nape: Amuaomba RC Chalamila apunguze doria za Usiku

    Waziri wa Habari Nape Nnauye amemuomba RC Chalamila apunguze zile doria za usiku kwa siku ya leo, Juni 18, 2024 kwa kuwa wadau wa habari watakuwa na mchapalo usiku wa leo. Nape amesema hayo kwenye kongamano la maendeleo ya sekta ya habari linalofanyika Mlimani City. Kwasiku za karibuni wilaya...
  5. Majighu2015

    JamiiForums Tanzania Tovuti za Maudhui ya Ngono kufunguliwa baada ya kuzuiwa kwa muda mrefu ni kete ya kisiasa kuelekea Uchaguzi 2025?

    Wadau site za porn zimefunguliwa tena baada ya muda mrefu kufungiwa. Hii ni move ya kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu au tatizo ni nini. Kimaadili naonaa lilikuwa jambo zuri kuzifungua, najua watu walikua wana-access kupitia vpn lakini angalau kwa kiasi kikubwa ilisaidia watoto wetu kutozifikia...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Waziri Nape inaonesha Waziri wa Mawasiliano hataki mawasiliano

    Waziri wa Mawasiliano, Nae Nnauye ametoa kauli ambayo kwangu naona inashida aidha kwake kwenye kuitambua mawasiliano au digitali kwa ujumla. Bajeti ya Wizara ya mawasiliano ya mwaka wa fedha 2024/25 imetaja “Mapinduzi ya Kidijitali” mara kadhaa. Sera na mipango mingi ya wizara inataja Kwenda...
  7. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Kizazi cha akina Mwigulu, Nape, January hakiwezi kutuletea maendeleo yoyote, kizazi cha akina Makonda, Hapi ndicho kina kitu ndani yao

    Uzi huu nauandika nikiwa nimebanwa nkaa kwenye mwendokasi. Na nimepanda mwendokasi kwa sababu sina jinsi maana route ya daladala iliuawa kutokea town centre kuelekea Ubungo hadi Kimara. Hivyo ndivyo maono yangu yanavyonituma. Kwamba hiki kizazi cha akina Mwigulu, Nape, January, kamwe hakitakaa...
  8. Replica

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Tanzania kuwa na Satelaiti yake kama backup ya internet, Mkongo uliokatika kuchukua siku 7 zaidi kutengamaa

    Akiwa kwenye kipindi cha Power Breakfast cha Clouds FM leo May 15, Waziri wa teknolojia na habari, Nape Nnauye ameongelea changamoto ya Internet nchini na mipango ya kuliepuka janga kama hili siku za baadae. Kuhusu mkongo uliokatika amesema bado una siku si chini ya saba mbele ili kutengemaa...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape saidia mfumo wa polisi upo chini kwa wiki nzima sasa

    Zaidi ya wiki inaisha mfumo wa polisi uko down sijui umezidiwa na Watumiaji au Server ndio tatizo. Waziri atoe msaada wake.
  10. BabuKijiko

    JamiiForums Tanzania Wadau mbona kama mitandao ya simu kuna mgao wa Internet ila hawasemi,vipi wengine mmegundua hili jambo

    Maana kama jana Kuna muda Vodacom na halotel Internet ilikata Tigo ilikuwepo,usiku hivi Tigo ilikata nayo nahisi kuna jambo ambalo linaendelea ila wanaficha kwa kumuhofia Waziri Nape
  11. Bila bila

    JamiiForums Tanzania Nape: Nipitishieni bajeti yangu, jioni tuonane Dodoma Carnival tusherekee

    Hii ya Jana nimeipenda mheshimiwa. Tunakushukuru Waziri wa habari Kwa kutuhabarisha, maisha hayataki complications.
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape; Msiwaachie Watoto wenu walelewe na mitandao

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Moses Nnauye amewataka Wazazi kutowaacha Watoto wao kutumia zaidi mitandao ambapo si salama inapelekea kuharibu kizazi hiki. Amezungumza hayo wakati akijibu hoja za Wabunge zilizotolewa katika uchangiaji wa Bajeti ya Wizara hiyo...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Habari, Nape Moses Nnauye awasilisha Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi 2024/2025, Mei 16, 2024

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 15, Kikao cha 27, leo Mei 16, 2024 ambapo pamoja na Maswali na Majibu, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye atasoma Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2024/25...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Hatukuwakatalia Starlink kufanya kazi Nchini, walikwama wenyewe

    Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Nape Nnauye waziri wa Habari ,Mawasiliano na teknolojia ya habari amesema ya kuwa serikali haikuwakatalia Starlink kufanya kazi Nchini bali walikwama wenyewe kutimiza mashariti yaliyohitajika kukamilishwanl ili kupewa lesseni. Kauli hii imekuja kutokana na...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Ewe Nape ukitaka kuvutia matumizi ya Simu janja weka Internet iwe bure siyo kuongeza kodi

    Nape huko vijijini vocha wanaweka mara moja kwa mwezi na wengine wanasubiri kupigiwa na ndugu zao wa mjini, nina uhakika hata kwenye jimbo lako wapo wengi wao. Usiongeze kodi kwenye vitochi hiyo smart ni kama kitochi bila Internet, kama kusudio ni kila mtu awe kwenye dunia ya kidijitali weka...
  16. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape kwanini husemi ni vigezo gani ambavyo Starlink hawajatimiza? Au wamegoma sharti la kuzima mtandao muda wowote mkiamua?

    Akiwa anahojiwa kutoka katika televisheni ya Wasafi (Wasafi TV) Waziri Nape amesema kuwa serikali haina matatizo na Starlink, kinachofanya washindwe kutoa huduma zao nchini ni sababu hawajakamilisha masharti, na kama wakikamilisha basi wataruhusiwa kutoa huduma nchini. Msikilize hapa ====...
  17. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape: Huduma ya Internet imerejea kwa 94%

    Kwenye ukurasa wake wa X (Twiiter) Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Ndg. Nape Nnauye amesema huduma za internet zimerejea kwa 94% na sasa wanafanya jitihada huduma hiyo irejee kwa 100% "Kazi Inaendelea vizuri. Mpaka mchana wa leo Tarehe 15/5/2024, Huduma za Internet...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Nape amuombe radhi Tundu Lissu, sio kosa kumuita Rais Samia Mzanzibari, ni takwa la Katiba ya Zanzibar

    Salam Wakuu, Tumemuona Waziri wa Habari, Teknolojia na Mawasiliano akimkemea na kumwagia shombo Lissu ndani ya Bunge kua Lissu amefanya ubaguzi kumuita Rais Samia mzanzibari ambae anatawala Tanganyika. Naomba tusome kidogo katiba ya Zanzibar Tumsikilize Rais Samia mwenyewe...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Hoja ya Nape kuwa Samia ameruhusu maandamano na kumrudisha Lissu nchini ni ya kipuuzi. Hivi anaelewa Katiba?

    Ama kweli ujinga hauondolewi na taji/cheo (the crown does not change the mind). Nape ni mfano wa mtu mwenye cheo lkn mjinga. Kauli kwamba "Lisu alikimbia nchi halafu Rais Samia kamrudisha",...." rais karuhusu maandamano" ....ni kauli zinzothibitisha jinsi Nape asivyo na uelewa wowote kuhusu...
  20. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kufurahia, kusemwa na hata kujivunia kabila lako sio kosa au dhambi

    Dhana ya makabila na ukabila huwa inafanyiwa upotoshaji kwa makusudi au kukosa uelewa hasa na wanasiasa kwamba watu kutambuana kwa makabila yao, kusemwa kwa makabila yao na kufurahiwa kwa makabila yao ni makosa makubwa au dhambi. Huu ni upotoshaji mbaya sana, kote duniani kuna nchi nyingi tu...
Back
Top Bottom