nape

  1. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape Nnauye aomba kura za chaguzi zipigwe Mitandaoni "Electronic Voting"

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema nia Serikali ni kuhakikisha inakamilisha mchakato ili ikiwezekana chaguzi zijazo zitumie teknolojia ikiwememo Mtu kupiga kura mtandaoni badala ya kupanga foleni na kusubiri muda wa kupiga kura ambapo amesema hilo...
  2. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Nape kama kura zipo mtaani na siyo kwenye mitandao mbona huwa mnazima mitandao?

    Kama mitandao haina taathira kwenye Siasa za Tanzania, mbona CCM hulazimisha mitandao ifungwe au ipoozeshwe Kasi yake wakati wa Uchaguzi? Nape anadhani tumesahau jinsi kwenye uchaguzi wa 2020 tulivyolazimika kutumia VPN Ili kuwasiliana kupitia mitandao? Sisi watanzania siyo wasahaulifu kiasi...
  3. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Nape asema utakuwa mtu wa ajabu sana ukiamini kuwa CCM hutoa takwimu sahihi kwa umma

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ameibua mjadala kwenye mtandao wa X baada ya kusema kuwa amefanya kazi makao makuu ya CCM kwa takriban miaka 20, na mtanzania atakayepata takwimu zozote zinazokihusu chama hicho na akazimini atakuwa mtu wa ajabu. “Mpaka report...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Stephen Membe aiteka Mtama, Nape amuomba Rais Samia kuokoa jahazi

    Stephen Kamilius Membe ambaye ni mdogo wake marehemu Bernard Membe amemkalia kooni Mbunge wa Mtama Nape Nnauye baada ya kuweka hadharani nia yake ya kugombea Ubunge wa Jimbo hilo kupitia CHADEMA. Upepo wa siasa hapa Mtama umegeuka ambapo kila kona ya Kijiji watu wanamuimba Membe tu mdomoni...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mhe. Nape asijiari? Amekiri mabadiliko ya baadhi ya mawaziri yalifanya awashe AC kwa hofu; maana yake anafahamu kwamba hayupo pale kwa merits

    Waziri Nape amekiri aliposikia mkeka wa mabadiliko ya Mawaziri umetoka ilibidi aongeze AC kwa hofu aliyokuwa nayo. The same minister wakati wa Magufuli alimtafuta hadi Mama Maria Nyerere amwombee msamaha kwa JPM; Mtu kama huyu kwanini asijifunze kujitegemea? Kwanini asijiajiri ili afanye kazi...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kimenuka Mtama: Nape akatisha shughuli za Serikali na kuitisha mkutano wa hadhara

    Kama ni jua basi tungesema jua la Mbunge wa Mtama Nape Nnauye limeanza kuzama na kumfanya kada huyo wa CCM kuweweseka. Hii ni baada ya Wazee wa kabila la Wamwera kumpiga "stop" asihudhurie shughuli ya 40 ya mtangulizi wake Hayati Bernard Membe inayofanyika kesho 26/3/2023 kijijini...
  7. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Nape hafai kuwa Waziri wa Habari, kule X/Twitter hataki kukosolewa

    Nape hana sifa kabisa za kuwa waziri wa Habari ni basi tu Taifa limejaaa kubebena tu, Nape ni mtu asio taka kukusolewa kabisa kwa aina yoyote ile, Huyu ni waziri w a habari wa Tanzania. Yaani kule X ni bora hata umkosoe Raisi ila sio Nape ambaye ni waziri wa Habari yeye hana uvumilivu kilinapo...
  8. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wangu kwa Waziri Nape Nnauye

    Ujumbe wangu kwako ni mfupi sana. Ukiwa waziri wa habari na mawasiliano awamu ya sita naona umeruhusu kwa makusudi viongozi wa dini watukanwe na kudhalilishwa. Kama haitoshi unabinya kwa makusudi taarifa zao kwenda kwa watanzania. Kinachoendelea mitandaoni nashindwa kuelewa weledi wako. Basi...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Watanzania tulihuzunika na Nape alipotolewa bastola hadharani lakini hivi sasa anatulipa jeuri na kiburi?

    Kwa kuwa malipo ya dhulma ni hapa hapa duniani, basi namuomba Mungu wangu wa mbinguni afanye kila linalowezekana huyu Nape apate malipo yake. Nape tulimpa huruma na upendo wetu wakati akitwezwa na kudhalilishwa enzi za giza lkn leo Nape anatulipa jeuri na kiburi? Nape ndiye wakuziba midomo...
  10. D

    JamiiForums Tanzania 40 ya Membe yamvuruga Waziri Nape Nauye

    KWELI siasa ni mchezo wa ajabu. Tarehe 27/8/2023 kutafanyika maadhimisho ya kifo Cha utata wa Bernard Membe kijijini kwake Rondo-Chiponda mkoani Lindi. Waandalizi wa tukio hilo kutoka Dar es salaam wameamua kufanya hilo tukio la kishindo ambapo watu wapatao 1290 wanategemewa kuelekea Lindi...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Katibu Idara ya Ccm uenezi imepwaya sana kipindi hiki cha DPW. Enzi za kina Nape na Makonda walifanya vyema sana.

    Ndugu zangu kipindi hiki cha Mgogoro wa DPW na Serikali ya ccm kilikuwa ni muhimu sana kwa Katibu Uenezi CCM taida kuonesha makeke yake. Kiukweli ccm na idara hii imepwaya sana. Tunajua Uzalendo ndani ya ccm kila siku unapungua je ndio sababu hii Idara muhimu kukalia mambo nyeti hivi? Au mgao...
  12. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Hakuna Mtanzania amekamatwa kwa kukosoa Mkataba wa Bandari

    Waziri wa Nape Nnauye amesema kwamba hakuna Mtanzania yeyote aliyekamatwa ama anyeshikiliwa na Jeshi la Polisi kwa sababu tu ya kukosoa mkataba wa uwekezaji wa bandari kati ya serikali ya Tanzania na Dubai kama ambavyo imekuwa ikitajwa na mashirika ya Kitaifa na Kimataifa. Kauli hiyo ameitoa...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tamko la Serikali kuhusu Kukamatwa kwa Dkt. Slaa, Mdude, Wakili Mwabukusi

    Waziri wa Mawasiliano Nchini Tanzania, Nape Moses Nnauye amejibu kuhusu matamko yanayondelea kutolewa na taasisi za kimataifa kuhusu kukamatwa kwa wakosoaji wa Mkataba wa Uwekezaji wa Bandari kati ya Tanzania na Dubai. Nape ameandika kupitia Twitter -- MAJIBU YA TANZANIA KUHUSU TAARIFA ZA...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Serikali: Hakuna mtu yeyote Tanzania aliyekamatwa au atakuja kukamatwa sababu ya kuikosoa serikali

    Serikali, kupitia Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye imetoa tamko juu ya matamko yanayotolewa na asasi mbalimbali kuhusu kukamatwa kwa Dr. Slaa, Wakili Mwabukusi, na Mdude. Katika maelezo hayo imeeleza kuwa hakuna Mtanzania aliyekamatwa au atakuja kukamatwa...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Mawaziri hawa watano utumishi wao haujatukuka

    Wana Bodi, Kuna Mawaziri 5 ambao sina uhakika sana na rekodi zao katika Utumishi wa Umma hivyo mambo mengi yanayohusu Public Fund hawayajui na wanadhani wakiwa Mawaziri wanaweza kufanya maamuzi yoyote kuhusu fedha za Umma bila kufuata sheria za nchi. 1. Mwigulu Nchemba sijui rekodi yake kama...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Muda muafaka wa nchi yetu kuwekeza kwenye teknolojia ya Drones

    Nadhani wote ni mashahidi kupitia SMO kule Ukraine wa kitu gani haya madude yanaweza kufanya kwenye uwanja wa vita. Napendekeza jeshi letu liwekeze kwenye teknolojia hii ili kujiweka tayari,napendekeza kwa kuanzia kiwanda cha drone kijengwe Zanzibar. Au MK254 unasemaje
  17. U

    JamiiForums Tanzania Nape: Utilize new innovation for advancement purposes

    Serve for Data, Correspondence and Data Innovation Mr Nape Nnauye has asked Tanzanians to involve web-based entertainment for their own and public turn of events.<br><br> Mr Nape gave the exhortation yesterday here during an occasion to compliment partners who worked with the establishment of...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Malisa GJ huna uhalali wa kumlalamikia Nape kuku-block. Wewe ni kinara wa kupiga block

    Leo kwenye post ya kada wa chama cha Mbowe ndugu Yericko Nyerere nimeona post inayoelezea kada mwenzie Malisa Godlisten akilalamikia kulamba Block toka kwa Mheshimiwa Nape huko Twitter. Mimi sifurahishwi kabisa na mambo ya watu kupigana block mitandaoni kwasababu ni mwanzo wa chuki na upotevu...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye abadilishwe Wizara haraka sana

    Waziri Nape Nnauye anaongoza kampeni za kuua Mamlaka ya serikali Mtandaoni (E-GA). Syndicate inayoongozwa na Nape Nnauye imepanga kuitoa taasisi hii (E-GA) , toka utumishi iliyo chini ya ofisi ya Rais , na kuipeleka Wizara ya TEHAMA. Lengo lililonyuma ya uamuzi huu ni katili sana, Nape...
  20. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Kauli ya Nape kwa Mzee Lowassa

    CCM na Nape hawajawahi kuwa na akili. Nape alimtukana Lowassa, Slaa na hata Rais Magufuli. Hana haja ya kuwapangia wapinzani waseme nini.
Back
Top Bottom