naona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Clouds wananufaika vipi na mgogoro wa chama cha walimu? Naona wamekusanya chawa studio, TUCTA iliuawa kwa njia kama hizi

    Kuna watu wapo kwenye siasa wanataka kuwaweka ndugu zao waongoze chama cha walimu Tanzania. Kuna watu wapo kwenye mfumo wa CCM wanataka kukimiliki chama cha walimu Tanzania Kufanikisha malengo yao wamewachukua Makada wa CCM na kuwapeleka studio kutimiza malengo yao. Tuliona namna Serikali...
  2. JamiiForums Tanzania Nashindwa kutongoza. Naona aibu

    Dah, nimekulia kwenye ukweli na uwazi ndugu zanguni. Kulaghai mtu siwezi kabisa. Kikwazo sio mimi, kikwazo ni huyo mwanamke anayenisikiliza. Huwa najiuliza sana kuwa ananichukulia vipi? Just assume, umetokeza kutoka kwenye kona ya nyumba, ghafla bin vuu unapamiana na mwanamke kiasi cha...
  3. JamiiForums Tanzania Suala la Paulina Gekul lishughulikiwe kwa busara kubwa naona taratibu limeanza kuibua mijadala ya udini mitandaoni

    Kuna video inasambaa kwenye makundi ya whatsap na instagram ambapo ndani yake wanasikika watu wanao jitambulisha kuwa wao ni waislamu wakiapa kwamba kijana anae daiwa kudhalilishwa na Paulina Gekul ambae ni muislamu lazima haki yake ipatikane na kwamba waislamu hawatakubali kuona haki ya kijana...
  4. JamiiForums Tanzania Baada ya kufikisha miaka 30 uligundua kimebadilika nini katika maisha yako?

    Nimebakisha miaka 4 kuingia 30. Zamani tunakuwa tuliona miaka 30 ni mingi Sana ila sio kweli but it's just a stepping stone ni Mwanzo wa kuyaelekea Mafanikio Makubwa. Jambo ambalo nimeona miaka 30 kwa TANZANIA Africa ndo Muda sahihi wa kujifanyia Self-Evaluation tathimini binafsi kwa kuangalia...
  5. JamiiForums Tanzania Baada ya kufikisha miaka 30 uligundua kimebadilika nini katika Maisha yako?

    Nimebakisha miaka 4 kuingia 30. Zamani tunakuwa tuliona miaka 30 ni mingi Sana ila sio kweli. Jambo ambalo nimeona miaka 30 kwa TANZANIA Africa ndo Muda sahihi wa kujifanyia Self-Evaluation tathimini binafsi kwa kuangalia wapi ulikuwa wapi upo na wapi unahitaji ufike. Pia katika miaka 30...
  6. JamiiForums Tanzania Tutafakari pamoja mi naona kama wanafanya kusudi.

    Salam ndg.mikutano muhimu ya siasa ambayo huwapa elimu watu juu ya mambo mbalimbali eti mwisho sa12:30jioni.lakini mikutano ya matapeli kwa jina la Yesu hadi sa moja!.Au kwakuwa hii ni ya kupumbaza watu wanaona heri?watu wanapeleka udongo ukaombewe badala ya kutumia mbinu bora za kilimo .ujinga...
  7. JamiiForums Tanzania Naona Wema siku hizi anazidi kutakata ule Utanzania sweetheart unamfiti vyema

    Naona madam Wema siku hizi anang'aa hatari maana kipindi cha hapo kati alikongoroka mpaka akawa anatisha, ila siku hizi naona MashaAllah hata vile vijembe vitapungua maana watu walizidi kumsema kwamba ameshazeeka. Kwa muonekano alionao sasa hivi ajiandae kupokea dili kutoka kampuni mbalimbali...
  8. JamiiForums Tanzania Naona kama mada zote zimeshajadiliwa Jamiiforums

    Siku hizi nikitaka kujua kitu au kupata information zake naenda Google na search kisha namaliza na neno jamiiforum na kweli aisee lazima ukute kitu hiko lilishajadiliwa humu ndani kweli jamiiforum ni zaidi ya kisima cha maarifa. Jaribu ku search biashara yoyote au ujasiriamali wowote pale...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Naona Bunge linapiga chafya

    Kwa kweli pasipo kupoteza muda, ninayo furaha ya dhati toka moyoni kwa hiki ambacho nimekiona kwa bunge la leo! Yaani ni kama mgonjwa mahututi ambaye ghafla ameanza kupiga chafya! Chafya ni dalili ya uhai. Hongereni sana wabunge wote mliohusika kukemea vibaka walioko kwenye wizara mbalimbali...
  10. JamiiForums Tanzania Report ya CAG naona Wabunge wanapiga Makelele tu kama kawaida yao. Pesa hazitarudi.

    Amini usiamini hao wahuni wataishia kupiga mkelele na hakuna kitu itatendeka . Walikuwa wapi hadi pesa yote hiyo inapotea. Wezi wengine ni miongoni mwao. Wanajaribu kutuhadaaa eti waanauchungu nothing...tujipange 2025 tuwatupilie mbali
  11. JamiiForums Tanzania Naona Team XXL wameenda Rwanda kuwanga kweupe

    Naona Clouds media wametuma wawakilishi wao kwenda Rwanda Kigali kwenye usiku wa tuzo za Trace Music Awards Festival zinazofanyika hii leo. Clouds media kupitia team XXL naona wameshikilia sana bango hili suala ,yani haipiti dakika wameshampost Diamond Platnumz, ukifumba na kufumbua...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kwa heshima ya nchi naona Al Ahly imekubali OMBI

    Tanzania kukubali kuwa mwenyeji katika ufunguzi wa mashindano haya ya Caf ni heshima kubwa sana. Hivyo haiwezekani uongozi wa Caf ukubali Simba ifungwe game hii ya ufunguzi. Hivyo itakuwa tayari mkakati wa kuiomba Al Ahly umeshafanyika kukubali kuachia . Simba leo tule raha zetu mwanzo...
  13. JamiiForums Tanzania Nilionya mapema hapa JF asianze Kipa 'mbovu' Aishi Manula, naona 'Mnanipuuza' hivyo leo tusilaumiane kwa 'Kipigo' akidaka Yeye

    Kipa aliye Fiti 99.9% kwa sasa ni Mwarabu Ayubu Lakred na kutokana na Urababu wake na ikizingatiwa leo tunacheza na Waarabu Wenzake Kiutamaduni na Kinujumu akidaka Yeye atatusaidia na Mechi kuwa Salama zaidi Kesho. Akidaka tu Aishi Manula ambaye Kiufundi na hata tu kwa Kumuona bado hajawa Fiti...
  14. JamiiForums Tanzania Oscar Oscar uache kuwaita wachungaji ni matapeli! Chambua soka, achana na wachungaji kabisa

    Huyu ni Oscar Oscar wa wasafi media! Akishakaa kwenye mic za WCB! Anaona anaweza kukanyaga kitu chochote! Maandiko yanasema ONDOA kwanza boriti kwenye jicho lako, ndipo utazame boriti kwenye jicho la mwenzako, Osca analalamika kwamba sadaka zimekuwa sehemu ya utapeli makanisani, kama ni hivyo...
  15. JamiiForums Tanzania Naona vijana wa sasa wataingia jehanam kwa sababu za kipuuzi sana. Inasikitisha

    Kwenye sabato ya leo nimepata muda kufikiria mambo ya kiimani hasa suala la motoni na peponi kwa mujibu wa imani yangu ya kikristo. Baada ya kujikumbusha zile amri 10 nimejiridhisha kuwa vijana wa sasa tunaweza kuingia motoni kwa sababu za kipuuzi ambazo nyingi zinatokana na amri ya USIZINI na...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Wapi mnapata pesa za kujenga wandugu? Mbona kwangu naona chenga tu?

    Habari wa ndugu wa tanzania?? Nimepitia site mbalimbali humu,ila site iliyonifanya kuwaza sana ni hii ya UJENZI,nimepitia nyuzi nyingi sana humu,yani kila niliyosoma imenifanya moyo kuuma kwa machungu sana na kuna kitu kipo kwenye koo kinanifanya machonzi kunilenga lenga kwa huzuni juu ya...
  17. JamiiForums Tanzania Dawasa Kinyerezi naona mnakula kwa urefu wa Kamba

    Salaam! Salaam toka Kinyerezi mtaa wa Sadani kwa Babu Ali,huu mtaa una miezi miwili hauna maji,ratiba ya kufungulia maji mara moja kwa mwezi mtaa huu inarukwa either kwa makusudi au wanatuona sisi manyani,kuna mitaa michache inapata maji kwa mwezi hata mara 3 kimpango mkakati ili itumike kama...
  18. JamiiForums Tanzania Hongereni Walimu wa Tanzania naona kuna Mtu anaanza 'Kuwalainisheni' mapema 2023 hii ili awatumie 'Kumlainishia' 2025 Oktoba

    Kwahiyo matatizo yenu ( changamoto zenu ) alikuwa hazijui tokea akiwa hapo 2015 hadi 2021 hadi Jana ( 2023 ) ndiyo kazijua na kuwaahidi Kuwatatulieni zote? Na mlivyo Watupu ( Empty Sets ) Vichwani mwenu najua sasa nyote mtafurahi, mtamsifu na kumuona anafaa ila baada tu ya 2025 mtaendelea...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Tanesco naona hamjakata leo. Isije kuwa mnategea kutukatia game ya YANGA LEO

    Nimewaza tu maana nchi hii ina visa sana na KUKOMOANA
  20. JamiiForums Tanzania Naona aibu kujiita Mtanzania

    Naona aibu kujiita Mtanzania mbele ya Mataifa mengine kwasababu nchi yangu ina tatizo la umeme lisilokwisha zaidi ya miaka sitini. Naona aibu ya kujitambulisha kwasababu nitachekwa na nchi nyingine kuwa natoka nchi yenye matatizo yanayosababishwa na ujinga wa baadhi ya viongozi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…