Naona kama mada zote zimeshajadiliwa Jamiiforums

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,583
44,828
Siku hizi nikitaka kujua kitu au kupata information zake naenda Google na search kisha namaliza na neno jamiiforum na kweli aisee lazima ukute kitu hiko lilishajadiliwa humu ndani kweli jamiiforum ni zaidi ya kisima cha maarifa.

Jaribu ku search biashara yoyote au ujasiriamali wowote pale Google kisha malizia na neno jamiiforum lazima ukute hoja ilishaletwa hata kama ni mwaka 2015 huko.

Search ugonjwa wowote ama mnyama wowote ama mkoa wowote ama taasisi yoyote ama vifaa vyovyote ila malizia na neno jamiiforum lazima lilete result ileile ama inayorelate kwa asilimia kubwa.

Hongereni sana wakuu kutuelimisha sasa tukutane kesho kwa mnyama hakuna cha 0-0 hio mechi ni yanga maana tumewazidi sana lazima itoe 1-2 au 1-3 au 0-2...utawala upo yanga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom