Naona Team XXL wameenda Rwanda kuwanga kweupe

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
17,463
21,180
Naona Clouds media wametuma wawakilishi wao kwenda Rwanda Kigali kwenye usiku wa tuzo za Trace Music Awards Festival zinazofanyika hii leo.

Clouds media kupitia team XXL naona wameshikilia sana bango hili suala ,yani haipiti dakika wameshampost Diamond Platnumz, ukifumba na kufumbua wameshampost Zuchu, ila kwa Juma Jux naona hawafanyi hivyo.

Ila yote tisa, hawa jamaa wamefunga safari mpaka huko kwa sababu zipi haswa za msingi?

Na je leo watamuhoji Diamond Platnumz na Zuchu?
 
Wamealikwa na Trace. sema kuna kitu b12 kakiongea kuhusu kufuatilia kwanini baadhi nyimbo mpya za wasanii wa Tanzania hasa chipukizi hazipigwi TRACE hadi wahonge, Kwa hilo namuunga mkono afatilie tu. Bila shaka ni wakenya.
 
Back
Top Bottom