Nakiri kwamba mimi siyo muumini wa majina ya kikoloni.
Wakati wa utoto wangu nilipenda na kutamani majina ya kiasili kama UHURU, VITA, KWAME, MAPINDUZI, AZIMIO, UJAMAA na mengine yanayofanana na hayo
Gone are those names kwakuwa zilikua zina reflect struggle za independence. Sasa tuna majina...