Mnaoishi na wanawake mnawezaje? Miezi 3 naona kama miaka 44

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Nov 2, 2012
1,211
1,185
Habari za jumapili wana JamiiForums

Kiukweli kuishi na mwanamke kunahitaji moyo wa chuma.....yaani nimemuweka ndani huu mwezi wa 3 lakini naona akili yangu haifanyi kazi vizuri hata uwezo wangu wa kufikiria naona unapungua.Akiamka asubuhi amenuna,naona matumizi yangu ya pesa yapo juu maana anataka vitu vizuri vizuri tu,yaani hawazi future na ukileta habari za maendeleo hazitaki kabisa anapenda mambo ya tamthilia na story za maigizo mengi,ukimkataza kuhusu hayo mambo ya kufikirika ananuna siku nzima,na mimi sitaki kuifuata akili yake naona ananipoteza tu naana ni nosense.

Aisee kuishi na mtu mpaka mzeeke ni sawa na kubeba bomu la kurusha kwa mkono kwenye begi la mgongoni
Aaa we mi sitaki haya mambo.
 
Habari za jumapili wana jamii forums
Kiukweli kuishi na mwanamke kunahitaji moyo wa chuma.....yaani nimemuweka ndani hii wiki ya 3 lakini naona akili yangu haifanyi kazi vizuri hata uwezo wangu wa kufikiria naona unapungua.Akiamka asubuhi amenuna,naona matumizi yangu ya pesa yapo juu maana anataka vitu vizuri vizuri tu,yaani hawazi future na ukileta habari za maendeleo hazitaki kabisa anapenda mambo ya tamthilia na story za maigizo mengi,ukimkataza kuhusu hayo mambo ya kufikirika ananuna siku nzima,na mimi sitaki kuifuata akili yake naona ananipoteza tu naana ni nosense.

Mimi wa kwangu anangalia Mwamposa toka asubuhi ukimuudhi anasema ukiniacha nakuroga na mchepuko unasema nikalipe mahali na ndoa juu,mkuu hawa wadudu ni shida,ukitamka maendeleo nasema utakuwa mwenyewe,na ni kashirikina Kula kwa akili wanajua hatujui,komalia malengo hata wafanyeje komaa,shetani huaibika mwishoni
 
Ndoa ni utapeli.

Yaani umelifuga toto la mtu, unalilisha mauji na maugali unaishia kuambulia papuchi ambayo haina hata jotro.

Kwa walafi wa papuchi lazima waoe, ndio maana mume wangu aliamua kunioa kwa sababu ni mlaku wa papuchi. Ananizagamua vilivyo.

Kijana sikushauri uoe. Ndoa ni biashara ya papuchi dhidi ya uhuru.

Labda tu uwe mlaku wa papuchi.

Cc: Lamomy
 
Mimi wa kwangu anangalia Mwamposa toka.asubuhi ukimuudhi anasema ukiniacha nakuroga na mchepuko unasemaje nikalipe.mahali.na ndoa juu,mkuu hawa wadudu ni shida,ukitamka maendeleo nasema utakuwa mwenyewe,na ni kashirikina.Kula.kwa akili wanajua hatujui,komalia.malengo hata wafanyeje komaa,shetani huaibika mwishoni
aisee kumbe tupo wengi.......pole sana
 
Habari za jumapili wana jamii forums
Kiukweli kuishi na mwanamke kunahitaji moyo wa chuma.....yaani nimemuweka ndani hii wiki ya 3 lakini naona akili yangu haifanyi kazi vizuri hata uwezo wangu wa kufikiria naona unapungua.Akiamka asubuhi amenuna,naona matumizi yangu ya pesa yapo juu maana anataka vitu vizuri vizuri tu,yaani hawazi future na ukileta habari za maendeleo hazitaki kabisa anapenda mambo ya tamthilia na story za maigizo mengi,ukimkataza kuhusu hayo mambo ya kufikirika ananuna siku nzima,na mimi sitaki kuifuata akili yake naona ananipoteza tu naana ni nosense.

Aisee kuishi na mtu mpaka mzeeke ni sawa na kubeba bomu la kurusha kwa mkono kwenye begi la mgongoni
Aaa we mi sitaki haya mambo.
Umemuoa au ni sogea tukae
 
Wewe ndio mwenye tatizo mkuu Yaani umeenda kununua ng'ombe mzima wa kazi gani wakati ukitaka nyama zipo buchani zimejaa tele.

Enyi wagalatia nani alie waroga?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom