naombeni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. clinton gidioni

    JamiiForums Tanzania mafundi wenye kazi naombeni kazi kinajana wenu.

    Ndugu zangu poleni na majukumu. kijana wenu nakuja mbele yenu kutafuta kazi au kibarua ili kuweza kumudi garama za maisha . kwenye maswala ya ujenzi nimebobea hasa upande wa ROOFING KUDHIBITI MAJI KWA KUTUMIA ROOFING FELT. Nipo tayari kujifunza zaidi naombeni kazi ndugu zangu
  2. T

    JamiiForums Tanzania Naombeni Ushauri kuna mtu amenitishia

    Wakuu kwema. Nimekuwa nikiishi kwa amani sana mpaka pale nilipoenda kupanga mtaani, Kuna mpangaji mgeni ila inaonekana yeye ni mwenyeji hapa mtaani , ni mvutaji bangi mkubwa mno, utulivu hakuna. Juzi natoka zangu kampas nakuta mtu kanisubiri akisema nimeiba kitu chake ambacho hata mimi sikijui...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Nina ujuzi wa quantum geographic information system (Q. G. I. S), naombeni kazi wakubwa

    Wakuu, habarini za saizi, kama mada inavyojieleza hapo juu, nina ujuzi na programu ya QGIS (Quantum Geographic Information System) . naombeni mnisaidie ni namna gani naweza kupata kazi hizi za GIS. je hapa Dar kuna kampuni lolote linalohusiana na haya mambo ya GIS? kama lipo, naombeni mnisaide...
  4. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni mnipigie hesabu ya hii nyumba Mimi mgeni kwenye ujenzi

    Sebule 5m+5m Chumba 5m+5m Jiko 2m+2m Choo 2m+2m na kibaraza Cha 2m 2m hapa naomba kujua zinaingia bati ngapi Kwa upauaji wa paa nne na tiles ngapi wakuu Mimi ni mgeni kwenye ujenzi
  5. cold water

    JamiiForums Tanzania Naombeni mawazo na jinsi ya kufanya

    Nahitaji kuanzisha biashara ya kukopesha fedha kisheria na wakopaji niwakopeshe online,na malipo pia wafanye through my bank account Sasa naanzia wapi ndo nashindwa kuelewa,50000 Liba 15,000,100,000 Liba 25,000 lakini kwenye form ya ukopaji nahitaji waweke na namba za nida je nitafanikisha kama...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Naombeni kazi Elimu yangu ni degree ya project planning

    Nipo kahama ni binti wa miaka 27 ,Elimu yangu ni degree ya project planning lakini nikipata kazi yoyote halali nitaweza kufanya nashukuru.
  7. Amocnolo

    JamiiForums Tanzania Wanasheria naombeni msaada wenu

    wanafamilia moja wamekuja kwangu wanataka wagawane mali walizochuma ndipo nikaomba kujua historian yao hadi kufikia hapo, ipo ivi. Ilikuwa 2018 mahusiano yao yalianza na wakati huo mwanaume alikuwa anafanya kazi kwenye kampuni moja aliajiriwa, ilipofika 2019 alifukuzwa kazi na kipindi chote...
  8. baunsamuoga

    JamiiForums Tanzania WAJUVI NA WATAALAMU WOTE NAOMBENI MSAADA HAYA NI MAWE YA AINA GANI?

    Nimeokota mawe haya yapo kama chupa, swali ni mawe au ni chupa?
  9. KusiniKuchele

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Kila tukikosana ananiambia mimi nina experience ya ndoa, niitumie kuishi nae

    Habari za majukumu ndugu zangu? Straight to the mada. Mimi ni mama wa mtoto mmoja wa kiume. Mzaliwa wa Manyara Mwiraqw. Niliolewa kwa ndoa takatifu ya kanisani mwaka 2020 lakini bahati mbaya mume wangu alifariki kwa ajali ya gari mwaka 2023. Since then sijawa sawa kihisia namkumbuka sana...
  10. brandonlee

    JamiiForums Tanzania Naombeni kazi Dodoma

    Habarini za asubuhi wana JF, mimi ni kijana wakiume nina umri wa miaka 26, elimu yangu ni degree, naombeni kazi yoyote halali nitaifanya kwa ufanisi mkubwa
  11. FK21

    JamiiForums Tanzania Naombeni kufahamu sifa za wanawake wa Kipare

    Kuna ndugu yangu anataka kuoa mpare anaimba kufahamu sifa za wanawake wa KIPARE Japo binadamu Wana tofautiana ila Kuna vi tabia na damaduni vyao naomba kuwasilisha kwa wanao wafahamu wapare Ili ajue anaishi nae kwa namna gani
  12. FK21

    JamiiForums Tanzania Naombeni kufahamu sifa za wanawake wa Kipare

    Kuna ndugu yangu anataka kuoa mpare anaimba kufahamu sifa za wanawake wa KIPARE. Japo binadamu wana tofautiana ila Kuna vi tabia na damaduni vyao naomba kuwasilisha kwa wanao wafahamu wapare ili ajue anaishi nae kwa namna gani.
  13. SHIMBWE

    JamiiForums Tanzania Kwa unyenyekevu mkubwa, naombeni msaada wa mawazo kuhusu huyu binti

    Habari wanaJf, Kuna binti nipo nae kwenye mahusiano yakususua karibu mwaka wa pili huu. Huyu binti kipindi anasoma chuo kwa bahati akapata ujauzito na kufanikiwa kupata mtoto. Mwanzo alikuwa anaogopa kuniambia kama ana mtoto ila akaja akaniambia ukweli. Sasa kamaliza chuo anataka kuja kwangu na...
  14. kiss ov love

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada kwenye hili

    Eid Mubarak ndugu zangu waislamu, I hope mmekula sikukuu fresh. Hivi kuna uwezekano mtu akahack WhatsApp yako akawa anaona meseji zote zinazoingia? Na je kama huo uwezekano upo nawezaje kuzuia hili maana nahisi kama kuna mtu amenifanyia hivi au anatarajia kufanya hivi naombeni msaada kabla...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Wenye ujuzi naombeni USHAURI wa jambo hili.

    Mi nataka kweny tasnia ya maafisa usafirishaji lkn nna changamoto kadhaa hivyo ningependa kupata USHAURI kutoka kwenu Kwanza kabisa mi ninajua kuendesha pikipiki lakini sina leseni. Sasa kuna mahali NAFANYA kazi lakini ndo hivyo kipato ni cha kudunduliza, nimejimake nna akiba kama lak 8 hivi...
  16. KingPower

    JamiiForums Tanzania Naombeni Msaada wenu, Nimekamatika kiuchumi.

    Wakuu Habarini,! Nielekee moja kwa moja kwenye Mada Hakika Mficha Maradhi Kifo humuumbua, Maisha yanaweza kupinduka in a flash of second, Jamani nisikieni Nina Huzuni na Moyo unalia Sana, Naomba Msaada wenu napitia kipindi kigumu kupita maelezo nimekwama, Nina shida ya Ajira/Kazi ya kujikimu...
  17. CreatureKH

    JamiiForums Tanzania Naombeni Mnishauri jamani hali tete kiuchumi

    Jamani naombeni kujua na mnishauri Mimi nimesoma Nursery teaching lkn nimepata connection ya kazi ya store keeper kiwanda flani ivi nimeambiwa nikaanze Jumatano Nauliza je huko nitakua natumia computer maana sijui hata kutumia computer mwenzenu na naihitaji hiyo kazi muda huu kuliko chochote...
  18. Nikola24

    JamiiForums Tanzania Uzi kuitwa Chai ina maanisha nini? Naombeni majibu.

    Nashangaa fulani kusema "Chai" akirejea mada ya uzi fulani. Huwa wana maana gani? Chai? .
  19. Morning Glory1

    JamiiForums Tanzania Nahisi nina tatizo kubwa la afya ya akili linaninyemelea. Wataalamu wa mambo ya saikolojia naombeni msaada mda sio mrefu nitadata

    Nina miaka 38...Niko single(nimeachana na mke wangu)....sivuti sigara na wala sinywi pombe...sijaajiliwa nimejiajili kwhy hela ya kula vizuri na matumizi madogo mdogo hainipigi chenga kwa kifupi sina njaa...uhakika wa mbunye upo yani simu moja tu naletewa mbunye mpka mlangoni kwa kifupi japo...
  20. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Naombeni ufafanuzi wa faida na hasara za operesheni vijiji 1974

    Nasikia tu katika historia Mzee Nyerere alianzisha operesheni maalumu ya vijiji vya ujamaa.. Hali ilikuaje ilikuwa ni kwa force au kuhama kwa hiari. Mwitikio ilikuaje je Kuna watu walipata madhara ya kisaikolojia na mali zao.je hilo zoezi lilifanikiwa na faida zake zipi?
Back
Top Bottom