Naombeni kufahamu sifa za wanawake wa Kipare

Naombeni kufahamu sifa za wanawake wa Kipare

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,913
Reaction score
11,317
Kuna ndugu yangu anataka kuoa mpare anaimba kufahamu sifa za wanawake wa KIPARE
Japo binadamu Wana tofautiana ila Kuna vi tabia na damaduni vyao naomba kuwasilisha kwa wanao wafahamu wapare
Ili ajue anaishi nae kwa namna gani
 
Hakikisha tu makande yawepo. Mengine yote yanazungumzika 😂

20250330_215257.jpg
 
Back
Top Bottom