naombeni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. cold water

    JamiiForums Tanzania Naombeni support

    Naombeni support nahitaji nisaidie watu wasiojiweza,kuwatoa kwenye maisha zero to hello....karibu dm tupeane ushauri
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Wakubwa naombeni kazi nitakufa

    Habari wana jamii forum, niende kwenye mada, nina miaka 29 nilikua ninafanya kazi taasisi binafsi bahati mbaya ofisi yetu ilifungwa. Baada ya ofisi kusimama nilizidi kupambana kutafuta sehemu nyingine kwa kuhudhuria interview tofauti tofauti lakini sijabahatika kupata. Humu jamii forum kuna...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kwani kosa la Gwajima lipi? Naombeni mnieleweshe

    Yaani kwamba amekosea kuongea ukweli? au alitakiwa kukaa kimya aache tu watu waendelee kutekwa na kushambuliwa?
  4. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Ana 400,000 mfuko wa shati. Anahitaji ushauri

    Kuna mshkaji wangu kaamua kuachana na utumwa wa kuajiriwa. Amekusanya kiasi cha Tsh. 400k na kuniomba ushauri wa kipi afanye ili asije kujuta Nimemwambia anipe muda nimuangalizie. Na muda huo nalileta suala hili mbele ya JF, where we dare to talk openly. Anaishi Manzese Dar es salaam. Amekataa...
  5. Miss Natafuta

    JamiiForums Tanzania Naombeni kuuliza .mbona kama bus za kwenda south Africa au Malawi hakuna

    Kuna changamoto gani wakuu kwenye hii route?
  6. Ibn Abdillah6

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wenu

    Habari zenu ndugu zangu nahitaji kujua, Hivi mkojo uliokaa zaidi ya masaa manne haufai kutumia kupima mimba? Maana mchumba angu amenipa kwa chupa nikapime, sasa kipimo kinasoma hivyo ndugu zangu.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Naombeni ufafanuzi kuhusu posho za nje ya kituo cha kazi

    Salaam wakuu. Naomba msaada tajwa hapo juu kuhusu posho Kwa viongozi Hasa kuanzia ngazi ya wizara na juu yahapo. Kinachonitatiza nikwamba,hivi kiongozi mwenye dhamana ya kushughulikia masuala yote ndani ya nchi(mikoa yote) ambaye ofisi Yake ipo Dar Kwa mfano, anaweza kulipwa posho akiwa...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Nimeitwa ukweni kwenye kikao Cha msiba (baada ya mazishi); naombeni msaada wa points wanaJF nisijeumbuka ukweni!!

    Nachangia nini' jamani?!!!! Mpaka Sasa sina hoja hata Moja. Msaada tafadhali enyi wazoefu. Kukaa tu kimyaaa Huku ukiishia kuitikia tu kama ndondo haipendezi!
  9. Fbn

    JamiiForums Tanzania Naombeni tukumbushane kuna waziri wa nishati alitoa maelezo Tanesco kusambaza nyaya nchini ya ardhi sio misitimu.

    Tanesco wanaproject nyingi kama za kununua umeme ethiopia na mengine. Kuna project ilitokaga na waziri fulani sikumbuki alikazia kuwa dar umeme usambazwe chini ya ardhi. Sasa ni kawa na waza hivi yale mafuriko ya dar,mabomba ya maji yana pasuka ovyo. Kwa mvua hizi DAR mngechezea shoti za...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua asili ya hawa senene na mazalia yake ni wapi ?

    Naomba kujua asili ya hawa senene na mazalia yake ni wapi ?
  11. youngkato

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri movie gani kali niangalie

    Movie yoyote ambayo itanifundisha au itabadirisha mindset yangu hasa katika kupambana na umaskini. Asante Jina tu la movie linatosha
  12. kiss ov love

    JamiiForums Tanzania Hali ya ndugu yangu imezidi kuwa mbaya naombeni msaada wa tiba

    Guys huyu kaka yangu aliyechanganyikiwa amemdhuru mama pamoja na baba kawajeruhi vibaya jamani naombeni mwenye kujua mtaalamu plz kwa hapa tulipofikia anaweza hata kumuua mtu akishika kisu.
  13. kiss ov love

    JamiiForums Tanzania Naombeni mtuite vijana wa elfu 2 na siyo vitoto vya elfu 2

    Habarini za asubuhi waungwana Husika na kichwa cha habari hapo juu, mimi kijana wa elf2 binafsi nachukizwa na huu msemo uliozuka katika jamii wa watu wengi kutuita sisi vijana wa elf2 eti vitoto vya elf2. Naombeni wenye hii tabia muache mara moja kwani sisi tumeshakuwa tayari ni vijana watu...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri napata trauma

    Ndugu zangu hapa nilipo sielewi napitia kipindi kigumu sana. Ipo hivi... Mimi ni mtu niliye sensitive sana mtu anapoonewa au kuona mtu anadhurumiwa haki yake hii kitu inaniumizaga sana. Najikuta nakuwa off mood sana na ninadhoofika kila siku kiakili, kihisia na ki mwili pia. KIfupi mpka hapa...
  15. Msela Lowkey

    JamiiForums Tanzania Naombeni kazi kwa mwenye connection yoyote ya kazi nipo arusha

    Habarini wana JF, mimi ni kijana wakiume nina umri wa miaka 26, elimu yangu nina diploma ya IT na degree ya multimedia ninauzoefu wakufany graphics designing, photographer and videographer pia nina ujuz kweny maintananc,networking naombeni kazi yoyote halali nitaifanya kwa ufanisi mkubwa Ahsanteni
  16. ndege joni

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuagiza Mazda CX-5, kwa wazoefu naombeni ushauri kwa mambo naenda kuyaelezea

    Amani iwe nanyi nyote Kama mada inavyosema, ni kwamba nahitaji kuagiza gari kutoka Japan, nimependelea kuitaja Mazda CX-5 ya kati ya 2013 - 2014 kwa sababu nimeona mwonekano wake ni mzuri ila sijui kuhusu uimara na upatikanaji wa spea zake Naomba ushauri kwa wazoefu, je ni gari ya kununua ama...
  17. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Nimechoshwa na distance love naombeni ushauri

    Hivi nyie wenzangu ambao mko kwenye distance love mnawezaje aisee yaani siku baada ya siku ndivyo ninavyozidi kuchukia distance love na kumchukia huyu binti bila sababu yoyote ile ila binti inaonesha kunipenda sana ila mimi kadri ya siku ndivyo navyozidi kumchukia na kuchukia hii distance love...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Series za Marekani / Hollywoon naanza kuziona hazina vibe, Naombeni series za nchi nyingine type ya Narcos

    Series zao wanaingiza sana mambo ya WOKE, kutaka kulazimisha mwanamke aonekane anaweza kazi maalum za wanaume, kuingiza sana mambo ya upinde, kuchochea ubaguzi, n.k. Naombeni series za nchi nyingine type za kina Narcos
  19. makutupora

    JamiiForums Tanzania Shida haina hodi, mwenzenu nimefika mwisho, naombeni msaada

    Nina mazingira magumu sana mbele naona giza tu mpaka sioni thamani ya haya maisha. Miaka miwili natafuta kazi, naishi kwa ndugu kwenye mazingira magumu, mama yangu ni mgonjwa na namuangalia anavyoteseka kila siku nikiwa sina namna ya kumsaidia. Yoyote ambaye ana ofisi, biashara, taasisi au...
  20. jaap

    JamiiForums Tanzania Naombeni Ushauri: Baba mkwe kakataa kupokea Mahari kwa awamu tatu

    Mwaka huu nina mpango wa kuoa sasa Mwezi uliopita nilimtuma mshenga kwenda kuposa kwao Mchumba wangu, Sasa mshenga akanipa jibu posa imekubaliwa na kiasi cha mahali wakatajiwa ni Shilingi milioni mbili na laki mbili na 30, Mimi nikakubali kulipa ila nikawaomba nilipe kwa awamu tatu yani awamu...
Back
Top Bottom