naombeni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nimetoa elfu hamsini hapa kijiweni kwa mtu mmoja aniandikie neno kwaya kwa kuzungu sijapata mtu aliyepatia hadi sasa

    Wadau hamjamboni nyote? Nipo kijiweni kahawa tokea saa 2 asubuhi Hadi muda huu saa 8:15 bado nimeshikilia hela zangu mkononi nasubiri mtu aniandikie neno kwaya kwa kiingereza " kizungu" sijampata Mchana mwema
  2. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada ramani nzuri ya kisasa chumba sebule jiko choo

    Wakuu jamii forum kisima Cha maarifa nataka nianze ujenzi nisaidieni ramani nzuri ya kisasa chumba sebule jiko choo ndani nitashukuru sana wakuu na ikipendeza kama mafundi mpo mpate na kazi kupitia huu Uzi
  3. Jeep wrangler

    JamiiForums Tanzania Kigali peace marathon june 2025 ninatarajia kushiri naombeni ushauri wenu

    Bila shako mko salama jf members wote, nawatakia kwaresma njema na mfungo wa Ramadhani. Ninatarajia kushiriki Kigali peace marathon ambayo hufanyika kila mwezi June kila mwaka, Kigali, Rwanda. Lengo kuu la kushiriki sio kushinda bali ni moja ya: 1. Kujifurahisha kwa njia ya michezo. 2. Kupata...
  4. Muimba SINGELI

    JamiiForums Tanzania Wanawake tafadhali naombeni mje kujibia hili

    Tajiri sio lazima asalimie wakati anapoanza maongezi. Mwanaume hana mpango kabisa na wewe unaanza kujipitisha kwake hadi anaanza kukuwaza kingono, anakutongoza unamkataa. Anaamua kuachana kabisa na mawazo juu yako unaanza kumshobokea tena. Anakomaa hana mpango na wewe unazidisha kiwango cha...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Nataka niwe na ofisi yangu ya maswala ya umeme yaani kurepair na wiring

    Ndugu za nazani mko poa ..jamani ndoto yangu nataka niwe na ofisi yangu ya maswala ya umeme yaani kurepair na wiring kusuka mota na mengineyo ila sasa nahofia kama itanilipa kweli .....sasa kama kuna alie wahi kufanya hichi kitu anipe ushauri wake ili nijue nianzie wapi pia aniambie kama ina lipa.??
  6. A

    JamiiForums Tanzania Naombeni Nyimbo Hizi

    Wakuu Habari za Uzima, Naombeni Mnisaidie Audio za Nyimbo hizi, Hizi Nyimbo Nilikuwa Napenda Kuzisikiliza Kabla Sijapata Hearing Loss "Usikivu Hafifu" Najua Kwasasa Nitafaidi Midundo tuu ila sio Mbaya. Nyimbo Zenyewe ni 1. Wanaume Tumeumbwa Mateso 2. Kwetu Pazuri - Ambassador Choir 3. Lulu...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya uhasibu Naombeni msaada wetu

    Naitwa jenipha Nimesomea degree ya uhasibu chuoo kikuu cha Dar es salaam natafuta kazi naombeni msaada wenu 0713776534
  8. I

    JamiiForums Tanzania Mnaofanya biashara za mazao au nafaka au matunda naombeni ushauri

    Ndugu poleni na majukumu naona fursa kwa upande wa mazao au nafaka pia hata matunda. Nahitaji kuingia huku kwenye hii biashara ila nahitaji mwongozo zaidi. Nilikuwa naomba kwa anae fanya hii biashara anipe mwongozo. Naomba uwe unafanya hiyo biashara kwa sasa ili kupata uhalisia kamili wa...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nikubali hili sharti nililopewa na ex wangu

    Habari wana jukwaa,uzi huu ni mrejesho wa ule uzi wangu unaosema “kwanini utoe namba kama hutaki kutoa ushirikiano”?. Baada ya kuona sipati chochote kutoka kwa namba mpya nikaamua nirudi kwa ex wangu wa muda mrefu kidogo na kutaka kurudiana nae hatimaye amenipa masharti mojawapo ni hili “...
  10. brave Mwafrika

    JamiiForums Tanzania vyuo vya afya ngazi ya diploma

    Naomba kama kuna mtu yoyote Mwenye mungozo(soft copy )wa vyuo vya afya ngazi ya diploma. Tafadhali naombeni 🙏🙏🙏
  11. N

    JamiiForums Tanzania Rais, viongozi na watu wengine watakaoguswa na jambo hili naombeni msaada wa kupata passport

    Ninaandika huu ujumbe nikiwa katika hali ya uchungu mkubwa. Nimechoka! Nimevunjwa moyo! Nimeonewa kiasi cha kuhisi mimi si binadamu tena. Kila siku naamka nikiwa na maumivu mapya, nikiwa na mzigo mzito wa uonevu moyoni mwangu. Ninaomba msaada! Ninaomba mwenye kusikia kilio cha mnyonge anisaidie...
  12. Madaga

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa kupata wimbo huu

    Habari ndugu zangu wapenda muziki wa dansi! Ninatafuta wimbo wa zamani wa bendi ya dansi, uliosikika sana miaka ya 2002/2003 kwenye redio. Sikumbuki jina la wimbo wala bendi, lakini mashairi yake yalikuwa na maneno kama: "Masai kavamia pori kakutana na Wamakonde, Wamemchoma mishale ya sumu...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa mambo ya uzazi naombeni msaada wenu, nimechanganyikiwa

    Leo nimetoka kufanya kipimo cha ultrasound na mpenzi wangu, kipimo kikasema kuwa mpenzi wangu ana ujauzito wa wiki tisa na siku tatu, kinachotuchanganya ni mara ya mwisho kufanya nae mapenzi ilikuwa tarehe 28 desemba ambazo hadi leo wiki 9 hazifiki, je changamoto ni nini?
  14. bay_zooh

    JamiiForums Tanzania Wenye makampuni na connection naombeni mnisaidie kazi.

    Kama kichwa cha habari kisemavyo hapo juu. Kwa Mara nyingine narudi kwenu wana jf, naombeni mnisaidie kazi yoyote ile ya halali. Nina shahada ya mambo ya uchumi na mahesabu pia. Lakini nipo tayari kufanya kazi yoyote as long as iwe halali tu, sina hata mtaji wa kuuzia ubuyu hali yangu ni mbaya...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Naombeni kazi ndugu zangu nipate pesa ya kulipa ada

    Ndugu zangu, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 na elimu ya kidato cha sita. Nilichaguliwa kusoma chuo cha IFM kampasi ya Dar es Salaam. Mwaka jana nilisitisha masomo baada ya kupungukiwa na ada. Ninatafuta kazi yoyote na ninaishi Kigamboni, Dar es Salaam. Niko tayari kufanya kazi kwa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri ndugu zangu napitia kipindi kigumu mno.

    Habari za wakati huu, Waswahili husema penye wengi pana mengi. Naombeni mnisaidie katika hili ndugu zangu, Hapa nilipo sina kazi wala hata mtaji wa kufanya chochote sina, napambana lakini naona hali bado si nzuri, kinacho nipa mawazo ni kwamba nina mdogo wangu wa kidato cha nne bado hajaripoti...
  17. MKALI W MAMBO

    JamiiForums Tanzania Zijue faida za kupiga punyeto kwa afya yako

    Tendo la kupiga punyeto ni tendo ambalo nimepingwa vikali na jamii na linaonekana kama ukosefu wa maadili katika mwanadamu. Ili kufanya watu waache kufanya tendo hili kuna watu walioleta hoja kadhaa kuwa tendo hili lina madhara kwa yeyote anayefanya hivi bila kufanya utafiti wowote. Kuna...
  18. Q

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri Wenu ni Muhimu nimechanganyikiwa

    Daah nimepoteza kazi.. akiba nina 1.3 million kodi nimeshalipa miezi sita naishi na ndugu zangu wawili mimi ni mjuzi wa Computer software.. Nssf nina 22million wameniambia nikae miezi 18 ndo watanipa hela tangu yote kwa sasa wanipa asilimia 33% ya mshara wangu kigezo kuwa nina Elimu...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Habari nauza nguo za mtumba nipo Dar es salaam wapi nikitembeza naweza nikapata soko kirahisi naombeni ushauri wenu

    Mimi ni kijana mjasiriamali naombeni ushauri wenu nauza nguo za mtumba za watoto nikitembeza wapi naweza nikapata soko kirahisi nipo dar es salaam
  20. D

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wenu

    Bila shaka wote mko poa kabisa. Kidoti wenu nimerudi maji ya shingo nashindwa hata pa kuanzia. Kama familia yangu ya JF naombeni ushauri wenu wenda nikapata hata msaada. Kama mnakumbuka nilileta uzi huu Kuna wengine hatujui tulipokosea Sikuweza kuandika kila kitu. wengi mlisoma historia yangu...
Back
Top Bottom