naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kama ulikua unaenda siku 28 za mizunguko wa hedhi halafu hujaona siku zako hadi siku 30 unaweza kupata mimba?

    Habari Naomba kuliza, Kama ulikua unaenda siku 28 za mizunguko wa hedhi halafu hujaona siku zako hadi siku 30 unaweza kupata mimba?
  2. W

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua Soko la dhahabu na Rubby Dar es Salaam

    Ndugu wafanyabiashara, wajasiriamali na wabobezi wa masuala ya uchumi wasalaam! Mimi huwa najishughulisha na uchimbaji wa madini ya Rubby na Dhahabu, sasa naomba kwa mwenye uzoefu wa soko zuri la rubby na dhahabu anielekeze ni wapi kuna bei nzuri au bei ina-range kuanzia kiasi gani kwa gram ya...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Majina ya Sensa ya wilaya ya Ubungo yakitoka naomba tuambizane

    Naomba majina ya Sensa kwa wilaya ya ubungo yakitoka tushtuane mana mpaka sasa naona kimya
  4. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua majina ya Wabunge Wajumbe wa Kamati ya Nishati wanaoitwa wapuuzi kwa kuhoji kuchelewa kwa Bwawa la JNHPP na tatizo la kukatika kwa umeme

    Wana bodi siku ya jana kulizuka mjadala mkubwa wa kitaifa humu ndani kuhusiana na kauli nzito ya Waziri wa Nishati, Januari Makamba ya kuwaita wabunge wajumbe wa Kamati ya Nishati ni wapuuzi kwa kuhoji suala la kuchelewa kwa Mradi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere na tatizo la kukatika kwa umeme mara...
  5. S

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Naomba msaada wa jinsi ya kupata social security number

    Nimejiajiri, nataka kupata social security number, msaada tafadhali
  6. JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba ufafanuzi kuhusu haki za mtoa taarifa ya uhalifu

    Habari za leo wana JF wenzangu. Hivi raia akitoa taarifa za uhalifu kwa siri katika maeneo yake kwa mamlaka inayohusika na kupokea taarifa hizo, akakuta taarifa ile imesambazwa na mpokea taarifa kuwa fulani yupo hivi na vile ndiye aliyetoa taarifa hizi kuwa wewe fulani ni mhalifu. Je, mtoa...
  7. JamiiForums Tanzania Nauliza swali NEC na Polisi kuhusu utekwaji wa wagombea wa upinzani katika chaguzi

    Naomba kuuliza hili swali ambalo huwa silielewi linashuhulikiwa vipi na sheria zetu. UTEKWAJI wa WAGOMBEA wa UPINZANI wanaoonekana Wana nguvu kuliko WAGOMBEA wa chama tawala kwanini wanatekwa na kunyanganywa fomu au hata kupigwa hii inakuwaje? Na hizi kesi zinaishaje? Kwanini wanaotekwa au...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa

    Mfano mtu alioa mke akazaa watoto na mke wa kwanza na kwenye uhai wao wakapata na Mali ,then baadaye mke wa kwanza akafa ,na mume akaoa mke wa pili Kisha baadae huyu mume anafariki je kwenye mirath Ni Nani anafaidika na kilichobakia?
  9. JamiiForums Tanzania Kuna siasa au uhalisia kwenye uvaaji wa Barakoa?

    Nimekuwa nikijiuliza na kukosa majibu sahihi kuhusu uvaaji wa barakoa kwa kiongozi mkuu wa nchi yetu. Anapokuwa ndani na nje ya nchi. Mara nyingi akiwa ndani ya nchi huvaa na akiwa nje havai! Pengine wapo wengi wangependa kujua. Je, inamaanisha nini?
  10. D

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu bachelor degree ya Education in Earlychildhood

    Habari za muda huu wanajamvi. Naomba kufahamu zaidi kuhusu elimu tajwa hapo juu. Mimi ni muhitimu wa kidato cha sita mwaka huu 2022,nimesoma tahasusi ya HKL. Hivyo naomba mwenye ufahamu anipe dondoo kuhusu elimu hii. Ahsanteni.
  11. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa haya kuhusiana na wilaya ya Butiama mkoani Mara

    Thread was deleted
  12. G

    JamiiForums Tanzania Nikifanya kazi za kuzoa taka halmashauri sitapata hasara

    Kuna hizi kazi za tenda wanatangaza sana halmashauri, ya kufanya usafi na kuzoa taka ngumu na kwenda kutupa dampo. Kazi hii kiuhalisia sio ngumu lakini ugumu unakuja kwenye malipo yaani wanataka pia ukusanye ushuru wa taka na 30% ulipe halmashauri inayobaki ya kwako, issue ngumu hapa ni kudeli...
  13. JamiiForums Tanzania OMBI: Rais Samia naomba kazi ya kukusaidia kuisimamia EWURA/ au Kilimo

    Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Tafadhali husika na mada tajwa hapo juu. Kabla sijaendelea kuelezea kusudio la kutaka kukusaidia kusimamia maeneo niliyotaja hapo juu, naomba nikuhakikishie kwanza mimi sio mganga njaa / almaarufu kama mchumia tumbo na sina lengo la kuwa...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu CBG

    Naombeni USHAURI KUHUSU CBG Ufaulu wangu Ni Gs D, Math F, Bios D, Geog C ,chem ,F . Kwa mnavyo ona naweza pata kozi gani na chuo gani. Ahsanteni
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya Mwanadiplomasia?

    Wapendwa nimekuwa nikilisikia mara nyingi hili neno lakini nashindwa kuelewa vema
  16. A

    JamiiForums Tanzania OBD kwa old car like Premio 2004 or IST

    Ningependa kujua hii device hapa TZ naweza pata wapi? Asante.
  17. T

    JamiiForums Tanzania Kwa mwenye uelewa mzuri na mambo ya NECTA naomba mnisaidie nahisi nimepigwa

    Jamani naombeni msaada wenu mimi nilipotelewa na cheti cha form four mwaka 2001, tangia hapo nimekuwa nikitumia results sleep na lose report Kila mahali panapotakiwa vyeti. Ila mwezi huu kulifanyika uhakiki wamevikataa hivyo vielelezo na kunitaka necta au notangaze gazetini. Nilienda necta...
  18. JamiiForums Tanzania Naomba kuelimishwa; matrillion ya pesa yanayokusanywa kwenye kodi ya ‘Fuel marking’ yanaenda serikalini au kuna mtu anabugia asali?

    Wakati najaribu kutafuta ‘uchawi’ unaotumika kufanya bei ya mafuta ambayo gharama zake zote hadi kuyafikisha bandarini Dar es Salaam ni 1,116/= kuuzwa kwa bei inayofika hadi 3,500/= baadhi ya mikoa (tofauti ya 2,500/= kwa lita), nilikutana na ‘kodi’ inaitwa ‘Fuel marking’ Katika kujaribu...
  19. JamiiForums Tanzania Naomba kufundishwa kupiga mluzi

    Naomba kufundishwa kupigq ule mluzi wa kelele kali. Achana na huu wa kuimbia nyimbo. Au kuna watu haiwezekani kabisa kupiga mluzi?
  20. JamiiForums Tanzania Naomba Wasifu (CV) ya Waziri Bashe tulinganishe na anayofanya

    Kumekuwepo na sintofahamu kubwa kuhusiana na Kauli ya Waziri wa Kilimo kuilazimisha Central Bank kutoa upendeleo kwa Benki mpya ya Bashe inayoitwa Benki ya Ushirika ili kuweka masharti nafuu ya utoaji wa mikopo. Pia, nimeona Bashe ameingia kwenye mzozo kuhusiana na ruzuku ya Mbolea na kuleta...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…