naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa PC

    Ndugu zanguni habari, najua JF inao mkusanyiko wa watu tofautitofauti hivo nimeona suala langu nililete hapa pengine nitapata msaada. Mimi ni mkazi wa Mwanza, ila nina passion kubwa na ishu za creativity hasa graphics design na film making. Ndoto yangu siku moja niwe mtengeneza filamu. Ingawa...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa mdada/wadada wasafi mliopo Zanzibar naomba wenyeji wenu

    Nimeingia asubuhi hii Zanzibar baada ya kutoka South Africa, kwakweli nimekuja Zanzibar kuangalia fursa za biashara. Nimekuwa nikitamani sana kufanya biashara, na mara nyingi nimekuwa nikitamani kupata rafiki wa kike ambaye tutafanya naye biashara. Asiwe sister du insta mikucha. Hawa huwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Anayejua kuhusu hili shirika naomba anisaidie

    Maeneo ya kimara suka dsm, kuna shirika linaloitwa (UM) United Mission. Au jina lingine ni Foundation Mission Tanzania (FMT). Wanajihusisha na utoaji misaada kwa jamii, kama kujenga misikiti, makanisa, mashule, uchimbaji visima na mambo mengine kede kede. Wanatoa kazi na misaada kwa wanachama...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye kujua chujio la hayo maji yafae kutumia

  5. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu kununua gari aina ya SUZUKI LANDY

    Wakuu habari za jioni! Leo nilikuwa naperuzi kwenye mtandao nikakutana na hii gari aina ya SUZUKI LANDY. Kwa ufupi nimeipenda na nikasema nijichange hadi kufikia mwakani niinunue. Lakini cha kushangaza, hizi gari tanzania hazipo nyingi. Gari ina 1990cc na inatumia mafuta ya diesel lita moja...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Nimefukuzwa na mwenyeji wangu naomba msaada wa hifadhi Dodoma

    Habari za wakati huu Wana JF. Kwa majina naitwa David Mathias. Nilikuja Dodoma kutafuta maisha kutokea jijini Dar na nikafikia kwa rafiki yangu niliesoma nae chuo kimoja ambaye anaishi Nkuhungu. Rafiki yangu ameleta mwanamke ghafla na kuniambia kuwa anataka aishi nae kwahiyo mimi niondoke...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Naomba mrejesho wa "Supakasi unlimited internet" ya Vodacom

    Habari wadau, Nahitaji kwa ambae anatumia huduma ya Internet ya Vodacom supakasi unlimited atupe mrejesho huduma yao ikoje upande wa kasi na kama Mbps unazolipia ndizo unazopata siku zote za mwezi. UPDATE APRIL 2023 Nilijiunga na Ttcl fibre baada ya Vodacom kukuta eneo langu halina 5G coverage.
  8. JamiiForums Tanzania Naomba mwongozo wa ununuaji wa hisa na makampuni ya uhakika

    Je ni makampuni gani Tanzania yanayotoa huduma ya uwekezaji mfumo wa hisa kwa wanachama kwa ufanisi na faida? Na je maelezo tajwa hapa chini Yana ukweli kuzuia kupata hasara na matatizo ya afya ya akili
  9. JamiiForums Tanzania Solve on paper, take a picture then coment

  10. J

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua ubora na udhaifu wa TV za Alitop na SUNDAR

    Naomba mwenye amewahi kutumia TV za Alitop na SUNDAR anisaidie kujua strength na weakness zake
  11. JamiiForums Tanzania Najipanga kufanya harusi rahisi sana, naomba mawazo yenu

    Tofauti na watu wengi mimi siyo muumini wa harusi kubwa zenye mbwembwe nyingi. Hivyo nimepanga harusi yangu iwe rahisi sana na nitagharamia kila kitu mwenyewe. Sijui mke mtarajiwa atachukuliaje ila nitajitahidi kumuelewesha wazo langu mpaka aelewe. Wazazi nao nitawaelewesha maana wao ni...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu kujiunga na kazi ya jeshi

    Habari za kazi wapendwa... Mimi ni binti nna umri wa miaka 24 Elimu yangu nina Degree ya maendeleo ya jamii. Natamani kujiunga na jeshi kwasababu napenda kua mwanajeshi sana Kabla sijajiunga nna hofu kutokana na story za mitaani kuhusu kazi au mafunzo ya jeshi kuwa magumu wengine wanasema...
  13. JamiiForums Tanzania Haya masuala mawili naomba jibu, Mwalimu kamaliza kazi yake, sisi tukoje?

    Mwalimu ndiye alianzisha mbio za Mwenge nchini, nia ikiwa kuenneza upendo na umoja kati ya Mwatanzania. Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, 1958 wakati akihutubia kikao cha 35 cha Umoja wa Mataifa na kuyarudia tarehe 22 Oktoba, 1959 wakati akihutubia Baraza la Kutunga Sheria la Tanganyika (LEGCO)...
  14. JamiiForums Tanzania Course ya procurement and supply chain management inajihusisha na nini?

    Wapendwa naombeni msaada hivi course ya procurement and supply chain management inajihusisha na nini sana sana? Na ajira zake zikoje upatikanaji wake. Au kwa upande kujiajiri
  15. JamiiForums Tanzania Naomba niwaumize Yanga kwa kusema ukweli, Sudan hamuwezi kutoboa!

    Habari Wakuu. kweli huwa unaweka huru, japo inaumiza sana. Ndugu zangu Yanga, mtatamba sana kwenye ligi yetu, mtatamba mno. Bila Simba kuongeza "Quality 4" mtaisumbua sana. Linapokuja suala la mechi za kimataifa Yanga wataendelea kuteseka, kuumia, kukosa furaha, kujeruhiwa nk. kwa sababu...
  16. JamiiForums Tanzania Naomba mawasiliano na kiongozi wa Yanga, nina pendekezo

    Wakuu naomba kama kuna mtu anaweza nikutanisha ni viongozi kati ya hawa Ally Kamwe, Manara, Rais, hata kama si kukutana nao basi mawasliano tu maana mimi sipo Dar. Nina pendekezo liitwalo "Timu Yangu, Jezi Yangu, Kadi Yangu", humu kuna namna ambayo timu inaweza ikaingza pesa nyingi sana kupitia...
  17. JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kuvumilia, naomba msaada wenu jinsi ya kuachana na mzazi mwenzangu

    Habarini za asubuhi waungwana. Kwanza kabisa nichukue nafasi hii kuwapa HESHIMA ya pekee wale wote mlioko kwenye ndoa. Turudi kwenye mada, Nimebahatika kupata mtoto na sasa ana miezi miwili, lakini vitimbi ninavyokutana navyo kwakweli nimeshindwa kuvumilia. Ombi langu kwenu ni hili, nahitaji...
  18. JamiiForums Tanzania Naomba kujibiwa haya maswali kuhusu Maiti

    Hope mmeamka salama. Naomba anayejua anisaidie na mimi kujua÷ 1. Kwanini mtu akifa anaoshwa? Anazikwa ardhini na kufukiwa sasa huo usafi anaofanyiwa unamsaidia nini as long as atachanganyikana na mavumbi soon? 2. Mtu akishazikwa baada ya miezi au miaka kadhaa ndugu huanza kwenda kufagia kaburi...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa nilivyowaona Waangola na wanavyotisha naomba kocha Mgunda acheze mfumo wa kikatili wa 4-5-1 tu

    Huu ni mfumo wa 99.9% kujilinda (Defensive) hasa ukiwa na historia kuwa ikicheza kwao huwa inakuwa na kasi na inafunguka sana tu. Wanasimba S.C. tusijidanganye, hawa waangola ni watamu (wazuri) hakuna mfano, hasa wakiwa kwao nchini Angola na wanapiga pasi nyingi nyingi na za haraka haraka. Kitu...
  20. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa bei ya chumba na fremu Morogoro Mjini na maeneo mengine nje ya mji

    Naomba kujua bei za frem na chumba kwa morogoro, na maeneo yote ya moro,sehemu palipo chagamka. Sehemu ambapo unaweza kufanya bishara ya library ya movies,biashara ya nguo,gesi,n.k Natanguliza shukrani👏👏👏
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…