naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kumpata huyu mwizi

    Juzi kuna rafiki yangu kutoka Urusi alifikia Chelsea Hotel iliyopo Lumumba street,Dar salaam. Alikutana na watu nje ya hoteli wakamshawishi kuwa watampa huduma ya usafiri wa kwenda airport siku inayofiata, siku ya juzi baada ya kuingia kwenye gari yao wakiwa wawili walivyoenda umbali kidogo...
  2. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa adhabu ya wale wanao anzisha vita na kusababisha vita na mateso kwa watu wengine

    Habari wana JF Nilikua natafakari tu mienendo ya viongozi wa dunia hii wa sasa na awali, nikagundua kwamba vita nyingi zinaanzishwa na viongozi wa kisiasa wasio na mapenzi ya dhati na raia wao. Vita nyingi zimeanzishwa kwa sababu za kipumbavu ambazo hazina mantiki yoyote kwa mustakabali wa...
  3. JamiiForums Tanzania Mtoto wangu amemeza shilingi 200

    Kama ilivyo kwa title mtoto huyo ni miaka Saba ameimeza shilingi 200 tangia saa 12 jioni. Naomba msaada wa mawazo yenu Wana JF
  4. JamiiForums Tanzania Countdown: Naomba niwe napewa updates za deni la taifa hadi litakapofika Trillion 100

    Kwa heshima zote naomba kila itakapopatikana taarifa ya deni jioya lataifa, tuwe tunapeana taarifa on a step by step basis hadi deni litakapofika Trillion 100. Pia napendekeza ile siku deni letu linagonga Trillion 100 tuweze kuangalia miradi mbali mbali iliyokamilishwa kwa mikopo iliyosababisha...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua madhara yanasabishwa na kufeli kwa diode kwenye alternator ya gari

    Msaada kwa yoyote anaeweza kunipa dalili zinazoashiria kuwa diode ina fault kwenye alternator ya gari. Gari yangu ikiwa kweny silensa taa za dashboard zina blink bila kutulia, hazitulii zikiashiria kuna shida. Mshale unaosoma speed pia unazunguka mara kwa mara wakat gari ipo silensa. Hii...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujulishwa kuhusu Mikopo ya nyumba

    Salamu, Naomba kuelimishwa kuhusu biashara ya mortgage hapa kwetu Tanzania! Ipoje,je sisi wa kipato Cha chini tunaimudu!? Ipi inalipa kujenga pole pole au kuingia kwenye hii Mikopo? Ni Benk gani inatia huduma hii? Vipi kuhusu Bank kudhamini kununua nyumba? Nawasilisha!
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelewa nikiwa na Masters nikaomba kazi yenye Qualification ya Bachelor

    Mfano kwenye tangazo la ajira linataka Data Analyst ila kwenye qualification wameandika Bachelor degree ila mimi nina Masters Je, nitakuwa disqualified kwa ku orodhesha kuwa ngazi yangu kubwa ya elimu ni Masters au katika kufanya maombi nisiseme kuwa nina Masters nionyeshe tu nina Bachelor...
  8. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu aina za channel za YouTube zinazotakiwa kusajiliwa TCRA

    Natoa salam kwa wana jamvi wa Jf kwa ujumla, specifically nazitoa salam kwa wana jukwaa wa Tech. Tukiachana na salam, naomba niende moja kwa moja kwenye mada tajwa. Naomba kuuliza je, ni aina gani za channel za YouTube zinahitajika kusajiliwa na TCRA?. Je, ni kila aina ya channel inahitaji...
  9. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa jinsi ya kuanzisha kampuni ya tours!

    Habarini wana JF, Naomba kujua jinsi ya kuanzisha kampuni ya tours. Nitakuwa tu na ofisi ila magari sina Nategemea kukodisha magari na kutia nembo ya hiyo kampuni tarajiwa. Ninaomba ABCD tafadhali kwa wenye idea. Natanguliza shukurani za dhati.
  10. C

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu course za biashara kwa mihitimu wa Kidato cha Nne aliye somea science

    Nahitaji kusomea diploma business managing and marketing je, inawezekani?
  11. JamiiForums Tanzania Naomba kuelekezwa zilipo Ofisi za Posta Manispaa ya Ubungo

    Wakuu natumaini mko salama, Naomba kuelekezwa Ofisi za Posta Manispaa ya Ubungo zinapatikana wapi, au ofisi zozote za Posta zilizo karibu na Goba. Ahsante.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza

    Ni mara ya kwanza nakuja jukwaani hapa kutafuta mwenza. Litakuwa jambo jema kama nitampata mwenye kunififkiria na kuruhusu tuishi pamoja. Kabla ya kuweka vigezo, naomba nieleze machache hapa chini: Sijafanikiwa kuwa na kazi maalum ya kuniingizia kipato, kwa hiyo sina kazi kwa sasa japo...
  13. M

    JamiiForums Tanzania TCU inatambua degree na diploma za mtandaoni?

    Naomba kujua kama hizi degree na diploma zinazotolewa mtandaoni na vyuo vya nje kama TCU inazitambua.
  14. JamiiForums Tanzania Mwenye Hati ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibari naomba aiweke hapa

    Muungwana yeyote mwenye hati ya muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar ya mwaka 1964 naomba a-share nasi
  15. JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu private candidate

    Habari wana JF ninaomba kuuliza kwa kujua je nitaruhusika kufanya mtihani wa Advance kama ikiwa kwenye matokeo yangu ya O level nina PHYSICS-D HISABATI-C ENGLISH L-C HISTORY-D CHEMISTRY-C CIVICS-D GEOGRAPHY-D KISW -C BIOS- D Comb nnayotaka kuisoma itakuwa CCD , Je naweza kuruhusiwa kufanya pepa...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa website zinazotoa full funded masters scholarship in Water resource Engineering

    Habari wandugu naomba kufahamishwa website zinazotoa full funded masters scholarship in water resource Engineering
  17. JamiiForums Tanzania Naomba msaada kupata gwanda (sare) ya CHADEMA

    Baada ya zuio kuondolewa naomba mtu mmoja anisaidie kupata gwanda la chadema suruali +shati+ kofia, Ama hata kimojawapo Karibu PM tuyajenge Kwa aliye tayari
  18. JamiiForums Tanzania Naomba Clip ya Kinana, Chongolo au Shaka inayompongeza SSH kuruhusu mikutano ya hadhara

    Sikuwa kwenye eneo la mtandao ila hadi sasa sijaona Clip ya Mzee Kinana Makamu Mwenyekiti wa CCM, Daniel Chongolo, Katibu Mkuu wa CCM wala Shaka Hamdu Shaka Mwenezi wa CCM wakimpongeza Rais Samia kwa uamuzi wa kutangaza ruhusa ya mikutano ya hadhara. Kama ndugu zangu kuna yeyote mwenye nayo...
  19. JamiiForums Tanzania Mimi ni mzalendo wa kudumu wa Tanzania naomba Raisi Samia ashughulike na hili

    Salama wandugu, Mimi mwanaccm na mzalendo wa kudumu wa taifa hili pia ni timu Magu Ila kwa yaliyotokea kwa wapinzani naomba radhi kwa niaba ya JPM. Hili lilikuwa linachoma moyo sana, naomba Raisi Samia ashughulikie hili kama anawajali wapinzani au nasema uwongo ndagu zangu.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa freelancer naomba mnisaidie kuandika proposal

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…