naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kupata qaswida ya Al Madrasat Raufu Rahim inaitwa Zawadi

    Habari nilikua naomba msaada wakupata qaswida ya Al Madrasat Raufu Rahim inaitwa zawadi nimeangaika sana YouTube sijapata naomba mwenye nayo anitumie 0693620048 wsp
  2. JamiiForums Tanzania Mwenye ‘Brake Booster Assembly’ (ABS Actuator) ya Toyota Brevis naomba tuwasiliane, inahitajika

    Dukani bei yake si rafiki, kama kuna mtu anayo labda nyumbani kwake au kwenye gari lililokatwa screpa naomba tuwasiliane , pengine naweza kuipata kwa bei rafiki zaidi kuliko dukani inakopigwa AC na kulipiwa kodi kila mwezi 😂😂
  3. JamiiForums Tanzania Muajiriwa mpya ila nahitaji kusoma Masters ya Health Economics evening class naomba abc wakuu

    Mimi ni muajiriwa mpya katika taasisi fulan ya afya kabla ya ajira kutoka nilisha kua na plan ya kujiendeleza katika masters level Sasa nataka kufanya maombi ya masters in health economics and policy maswali nilionayo ni Barua ya muajiri release letter. Itawezekana muajiri kunikubalia coz...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Naomba mnikaribishe

    Mimi ni mgeni hapa Jamii Forums naomba mñikaribishe
  5. JamiiForums Tanzania Naombeni kazi Watanzania wenzangu

    Mimi ni msichana miaka 30. Naishi Tabata Segerea. Nilikuwa cashier wa kampuni kwa miaka 3 likatokea tatizo nikaomba ruhusa kurudi kawekwa mtu mwingine. Naombeni kazi ya duka kkoo sijajuwa utaratibu wa kupata kwenye yale maduka au kama kuna mtu anakazi naomba ntaifanya kwamoyo wangu wote. Nipo...
  6. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Baada ya uchaguzi nilitakiwa kushughulikiwa, amri ilisema wasikosee shabaha

    Kama mikutano ya hadhara ni fursa ya kufitinisha na kuchafua watu tunahaja ya kuangalia. Ila pia ni vizuri kuwapa fursa watu kutema sumu ====== Tundu Lissu amesema alirejea Tanzania mwaka 2020 kwa ajili ya uchaguzi na alilazimika kuondoka tena mwaka huo kwa sababu mtesi wake alitoa amri...
  7. JamiiForums Tanzania Naomba majibu ya maswali haya

    Qn 1: Ni miradi ipi inayoendeshwa kwa tozo na ipi ni uwekezaji, ufadhili au mkopo?🤔 Qn2: Hapo kabla inasemekana nchi ilikuwa imefungwa (utawala wa hayati JPM) lakini bado hakukuwa na tozo na mfumko wa bei ulidhibitiwa, je kwa sasa ambapo nchi imefunguliwa kwanini watu wakatwe kodi na tozo kwa...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Naomba mfano wa Taifa lililoshusha gharama ya maisha kwa kutumia Katiba?

    Pengine ufahamu wangu una shida ya kuelewa polepole au kuna mambo yananipita kushoto. Kwa jinsi ninavyowasikiliza wanasiasa wanavyoizungumzia katiba mpya ni kana kwamba katiba mpya ikipatikana leo kesho changamoto zote zitakwisha, au chini ya katiba iliyopo hatuna uwezo wa kuivisha chochote...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Education

    Wakuu. Naomba ufafanuzi nataka nikasome IT Ila Kama tunavyojua IT Ina vipati bingo mfano (Security, networking, system Administrator, code).. binafsii nataka nakasome kitu kimoja ili nikijue vizurii. Kipii Ni better kwa carne hii na hata hapo baadae
  10. JamiiForums Tanzania Naomba ABC nataka Mdogo wangu asome Diploma ya udaktari ana division 1.15

    Nataka Mdogo wangu akasome hapo Muhas Kuanzia certificate naomba kufahamu utaratibu mzima yupna division 1.15
  11. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza kwa wanawake tu

    Naomba kuwauliza kina dada humu ndani, kuna binti mmoja nilitaka kumuoa lakini akanikatalia kwa kigezo hawezi kuolewa na mimi kwa sababu ni bosi wake. Kiukweli huyu binti nilitafutiwa na mtu kwa ajili ya kuja kunisaidia kuuza duka langu, lakini siku zilivyokuwa zinakwenda kutokana na kuikubali...
  12. JamiiForums Tanzania Shule ya Temeke secondary naomba Serikali imulike macho umalaya umezidi

    Hii shule ya Temeke secondary %kubwa ya wanafunzi wa kike wanafanya umalaya mkubwa . Na vijana wa kiume wanavuta bangi .Sana.
  13. R

    JamiiForums Tanzania Naomba kuwajua washindi wa World Robotic Challenge 2022

    Habari wakuu Mwaka jana mwezi wa 10 kulikuwa na shindano la dunia la Robotic Challenge kule Geneva, Swetzerland na Tanzania ilipatata medali ya fedha. Wanafunzi kutoka shule ya ya ST. Theresa (sijui ni mkoa gani) walitengeneza robot la kukamata hewa ukaa (carbon dioxide). Nimejaribu kuangalia...
  14. JamiiForums Tanzania Naomba niwakumbushe kwamba tutahukumiwa kwa kadiri ya matendo yetu

    Wasalaam wana JF Kwa wale wanaoamini uzima wa milele yaani maisha baada ya kufa yenye raha (mbinguni) na yale yenye mateso (motoni) Ni hivi, kigezo ni kimoja tu matendo yetu, kwa urahisi wa rejea tusome: Ufunuo 20:13 Bahari ikawatoa wafu waliokuwamo ndani yake; na Mauti na Kuzimu zikawatoa...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu ni Nini kinasababisha mtu awe kama anapigwa shoti

    Nikijamiiana na mwenzangu Huwa analalamika kuwa anapigwa na vitu kama shoti,eneo la shingoni,kwenye maungio ya mgongo(anapifika kileleni) ,huyu mwenzangu aliwah kuchomwa sindano za ganzi ,ni Kwa ,namna Gani hii ishu inaweza kuwa solved?
  16. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Naomba hili lililojitokeza Uwanja wa Ndege wa Entebbe lisije likajitokeza JNIA

    Abiria wanaosafiri kwenda nchi za nje kupitia Uwanja wa Ndege wa Entebbe nchini Uganda wamelalamika vitendo vya wafanyakazi wa Uhamiaji kuwalazimisha watoe hela (chochote kitu) pale wakiwa wanaelekea kupanda ndege hali inayosababisha wengine kuchelewa ndege na wengine kuchelewesha ndege kuanza...
  17. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu uandishi wa sasa wa barua za Serikali

    Hivi karibuni kumekuwa na uandishi wa barua za serikali ambao kila aya inakuwa na namba. Kinachonishangazaa ni kwamba barua zote hazina aya ambayo iko labelled 1, ila zote zina aya ambayo iko labelled 2. Najiuliza kwanini aya namba 1 haipo? Bahati mbaya kila sehemu inatumika template hii hii...
  18. JamiiForums Tanzania Naomba code za kuitest simu kama ni original au fake

    Habari za usiku wakuu... Naomba niende kwenye maada moja kwa moja.. Nimekuwa na changamoto ya kufahamu kama simu ni original au ni fake.. hususan kwenye makampuni ya samsung,oppo, iphone na baadhi ya simu.. Maana nasikiaga kuna code za kutest kujua ni org or copy.. naomba nizifahamu kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa kuliokoa Taifa letu la sasa lenye Vijana 'Nyoro Nyoro' wengi naomba Mafunzo ya JKT yawe ni ya Lazima

    Utakuwaje na Taifa lenye Watu Shupavu ( tena kwa Vijana ) kama unakutana na Kijana wa Kiume kapanda DalaDala kutoka Makonde Mbezi Beach na anashukia Kituo kinachofuata cha Goigi huku akijiona ni Mjanja? Nilikuwa najiuliza sana tu ni kwanini Vijana wengi wa Kiume Siku hizi ni Wavivu, hawapendi...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba cha kupanga Mwenge - Makumbusho

    Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya Mwenge au Makumbusho. Bei 40 to 60k kwa dalali naomba tuwasiliane tafadhali.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…