naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri

    Nimekuwa Mwendawazimu katika Mapenzi na Mwanaume Mwingine. Mwanaume wangu ni mwepesi sana maishani - mwepesi sana kwangu - ni mvivu na mwepesi katika kufanya maamuzi, na hanitimizii kabisa mahitaji ya mwili wangu, wakati wa tendo la ndoa humaliza baada ya dakika mbili tu kisha anageukia upande...
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri wa Namna ya Kuanzisha Taasisi Binafsi ya Upelelezi Nchini Tanzania

    Tangu muda mrefu nimekuwa nikiwiwa kutaka kuanzisha Taasisi au Kampuni Binafsi ya Upelelezi hapa nchini Tanzania ili kufanya uchunguzi juu ya masuala mbalimbali ambayo yanahitaji kuchunguzwa. Kikwazo kikubwa kinachoikabili hii dhamira yangu ni kutokufahamu namna au utaratibu rasmi ambao...
  3. JamiiForums Tanzania Wana Simba SC naomba tujadili Kikosi kipi Kipangwe katika Derby ijayo ila Mimi nashauri tujilipue na hiki

    1. Aishi Manula ( kama Kapona ) 2. Shomary Kapombe ( kama Kapona ) 3. Mohammed Hussein 4. Joash Onyango 5. Henock Inonga ( kama Kapona ) 6. Sadio Kanoute 7. Kibu Denis 8. Muzamiru Yassin 9. Jean Baleke 10. Clatous Chama 11. Saido Ntibanzokinza Baadae napendekeza Waingie wafuatao...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada wa Kibarua

    Hodi na Salamu Members. Mimi ni kijana wa kiume (27), Elimu yangu ni ya Secondary. Nimekuja kwenu Kuomba Connection ya Kibarua cha kulipwa kwa siku, Nimeandamwa na msururu wa Madeni ya Kodi na kwa mangi. Nipo tayari kufanya Majukumu yoyote ilimradi yasikiuke Utu na sheria za nchi. Mungu...
  5. JamiiForums Tanzania UTI sugu inaweza kutibika kwa kitunguu swamu?

    Habari wanaJF, naomba kuuliza hivi ni kweli kitungu swaumu kinatibu UTI sugu? Je, Kuna tiba zingine za asili zinazoweza kumaliza tatzo hili? Asanteni sana naombeni ushauri na maoni
  6. JamiiForums Tanzania Naomba mwenye kitabu cha unmerried wife anitumie

    Wakuu naomba mwenye kitabu kinaitwa unmarried wife anitumie Bujibuji Simba Nyamaume Mshana Jr Robert Heriel Mtibeli 🙏
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mwenye takwimu za Mfuko wa Bima ya Taifa anisaidie

    Kama kuna mtu ambaye anazo au anafahamu sehemu ya kupata stats za bima ya taifa. Stats ni kama Idadi ya waliojiunga, umri wao, kiasi cha malipo waliokusanya, malipo bima iliyolipa. Kuna mawazo ninayo kwa serikali lakini ningependa nipate kwanza hizi data ni kwa faida ya wote. Pascal Mayalla
  8. B

    JamiiForums Tanzania Habari naomba kujua hali ya kimaisha, kimazingira na fusra za Handeni mkoani Tanga

    Kama title inavyojieleza hapo naomba kujua fursa, changamoto na hali ya ujumla ya wilaya ya handeni mkoani tanga, uwe mwenyeji, mzeofu au uliewahi kuishi au kufika Handeni karibu na msaada tafadhali
  9. R

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada katika scenario kama hii ya road accident

    Kijana wangu alikuwa amebebwa na Bodaboda (pikipiki) pamoja na wenzake wawili wanakwenda shule (mshikaki). Gari likamgonga bodaboda kwa nyuma, mtoto akaanguka na kuumia . (by the way mmoja alikufa na mwingine escaped unhurt) Msaada: Katika scenario kama hiyo namshitaki nani? Bodadoda au mwenye...
  10. JamiiForums Tanzania Naomba nyimbo yako bora kutoka kwa huyu mwamba msomi, legendary

    Mwamba huyo ni koffi olomide. Yoyote moja itutulize na sisi great thinkers
  11. JamiiForums Tanzania Hivi Mchakamchaka bado upo shuleni au ndio basi tena?

    Tuna watoto mandazi sana siku hizi, hata Michezo imepungua ya kumjenga mtoto kiakili kwanini mambo machafu yasipate nafasi. kuna maana kubwa ya kuwepo michezo tofauti tofauti katika maisha yetu.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Leo nafufuka na Yesu Kristo. Naomba msamaha kwa wote niliowakosea humu JF, nami nimewasamehe.

    Huku JF wakati mwingine huwa naingia nikiwa serious na nikiwa makini kweli kweli. Lkn Kuna muda nakuwa na stress zangu tu naamua kuja kuziondolea huku. Hivyo kuna muda natoa maoni yanayoweza kuwa yamewakwaza baadhi yenu. Nachukuwa fursa hii kuomba radhi kwenu nyote ktk siku hii takatifu...
  13. JamiiForums Tanzania Naomba kujua Gesti / Loji ambazo zipo / zitakuwa Wazi leo kwani za huku nilipo kwa 100% zote zimeshajaa hadi Easter Monday

    Kama utabahatika kupitapita huko uliko (Eneo lako Kimakazi) na ukaona kuna Guest au Lodge ziko wazi tafadhali nijulishe haraka GENTAMYCINE kwa Kunitajia Jina na iliko ili nimpeleke Mgeni wangu katoka Safarini nchini Somalia akapumzike. Za huku niliko tokea Ijumaa Kuu hadi Kesho Easter Monday...
  14. JamiiForums Tanzania Kipindi hiki cha sikukuu kimekua na ajali nyingi sana, Naomba tuwe makini barabarani.

    Naomba suala hili nilielekeze kwa wasafiri, wasafirishwa na wasimimizi wa miundombinu yoye ya usafiri, Ikiwezekana kupunguza hizi ajali dereva tax, bus, bodaboda wapimwe kiwango cha ulevi kama kitakua kimezidi kiwango basi wasiendelee na safari au kusitisha kabisa safari. Askari wamekua...
  15. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna ya kuingiza pesa kupitia Mitandao (Online)

    Habari zenu, Kama kichwa cha mada kinavyojieleza hapo juu kama kuna mtu mwenye ujuzi namna ya kuingiza pesa basi nahitaji kujua angalau nielewe hii kitu maana nimekuwa nikisikia sijui online business lakini sielewi chochote. Jamani nahitaji mchango wenu nyie wenzetu wenye ujuzi hata kidogo.
  16. JamiiForums Tanzania Naomba kupewa majina ya wapigaji Invoice kutoka USD 37 milioni mpaka USD 86 milioni

    Hizo ni pesa nyingi sana zinaweza kumjengea kila Mtanzania mkazi wa Dar es Salaam nyumba ya vyumba vitatu iweje watu wachache mgawane mgao mkubwa hivyo? Hapa watu wa kuwahusisha ni Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Mwanasheria Mkuu wa serikali, Waziri wa Fedha pamoja na baadhi ya maofisa wa Ikulu...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa wenye utaalamu na soccer naomba kufahamu haya

    Mimi sio mpenzi sana wa kufatilia mpira, huwa nacheki games muhimu tu ambazo zinazungumzwa sana mitandaoni. Sasa kuna baadhi ya vitu natamani kuvijua. Kwa sababu humu kuwa wakongwe wa haya mambo naamini nitapata kuelewa. Huwa najiuliza maswali haya, _ hivi wale linesman huwa hawaruhusiwi...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Naomba link ya DJ Mixer App nzuri kwa Android yenye uwezo wa kupanga BPM

    Msaada wa kupata dj mixing application kwa Android, yenye uwezo mzuri wa kucheza kwa kutafuta BPM bila kukwama
  19. I

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wenu

    Habari, Naitwa Ikra nina miaka 24, mkazi wa Dar Temeke, nilihitimu masomo yangu ya kidato cha 4 mnamo mwaka 2016 na nilipata Division 4 ya (29), japokuwa darasani nilikuwa niko vizuri sana hata matokeo sikuyatarajia kiasi hicho, maana yalini-disappoint kiukweli, nikapanga ni risiti ila mipango...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua utaratibu wa kufunga ndoa ya serikalini kati ya Mtanzania na raia wa nje

    Habari wataalamu, Ndugu yangu wa like anataka kufunga ndoa ya kiserikali na raia wa nje. Huyo raia Kwa sasa anaishi nchini kwake ila anataka kuja Kwa muda mfupi wafunge ndoa halafu arudi kwao kuendelea na shughuli zake. Naomba kujuzwa utaratibu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…