naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Naomba bei elekezi ya iPhone 15 plus 128GB

    Baada ya kutumia Samsung muda mrefu nimewiwa kujaribu na iPhone. Ningependa kuanzia na iPhone 15 Plus yenye GB 128 Nataka nioneni nini kinachofanya wadada wachizike na hizi simu,nataka nione ni nini kinachowapa mvuto wanaume wanaotumia simu hizi hadi kuweza kuwang'oa kirahisi wadada wa kibongo...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Naomba Connection ya ajira Migodini

    Habari wapendwa, Naomba mwenye connection za migodini kama usafi, office attendant na nyingine kama hizo au mahali pengine popote kama kwenye miradi mbalimbali mimi nitafika. Mimi nina uzoefu na mambo ya hoteli ila nitafurahi kama nitapata kitu cha tofauti maana umri sasa. Asante sana
  3. R

    JamiiForums Tanzania Naomba niwasaidie watangazaji wa vituo vyote vya redio namna ya kutamka majina ya Kijerumani

    Naona hili ni tatizo kubwa sana kwa watangazaji wetu wa vituo vyote vya redio kuanzia redio ya taifa mpaka vituo vidogo vya redio linapokuja jina lenye asili ya kijerumani matamshi yanakuwa ndivyo sivyo kabisa. Ni kama wewe umsikie mtu akitamka jina Juma kama Jima au Joma. Au jina Ali kama Hali...
  4. JamiiForums Tanzania Naomba uzoefu wa eliyewahi kutumia Toyota Noah generation ya 2008

    Habari ya majukumu wadau. Nimejaribu kutafuta humu taarifa kuhusu Toyota Noah generation ya 2008 sijaweza kupata. Naomba mwenye uzoefu wa hili gari anisaidie ili nifanye maamuzi. Nahitaji gari ya familia sasa nimepata machaguo mawili ambayo ni Toyota Noah na Toyota Alphard. Taatifa za Toyota...
  5. JamiiForums Tanzania Naomba mawazo yenu

    Wapenzi wangu, Kuna rafiki yangu anataka kufungua biashara ya nguo ipi itamfaa. Hii yakuprint tshirts na blauzi au kuletewa nguo kutoka njee na ninguo gani zitakuwa na wateja??
  6. JamiiForums Tanzania Naomba kujua chanzo cha mto Ruvu

    Nasikia mto Ruvu unaanzia mbali huko, ninaomba nipate elimu ya mto huu. Kwamba maeneo unayopita tofauti ni majina mto ni ule ule. Msaada wajuzi wa mambo. Katka picha
  7. JamiiForums Tanzania Naomba kujua tofauti ya maneno haya ya kisiasa

    Wataalamu wa masuala ya kiasiasa na hata wa lugha ya kiswahili naomba kujua tofauti ya maneno haya. Makamu, Naibu na msaidizi. Kuna makamu wa Rais, Naibu katibu, na Katibu msaidizi. Kwa Nini isiwe naibu mwenyekiti, au makamu wa katibu, Naibu mwenyekiti? Kwa kweli sijui kwa Nini Yako hivi...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Naomba Uzoefu wa Harrier Hybrid 2014-2015

    .
  9. L

    JamiiForums Tanzania Wakuu, naomba akili ya biashara, pesa ninayo na sijui Cha kuifanyia

    Wakuu, naomba akili ya biashara,pesa ninayo na sijui Cha kuifanyia.(nimebet nimepiga mpunga) Location: Lindi In cash: Mil 3
  10. U

    JamiiForums Tanzania Wenye uzoefu na biashara ya mkataba kwa bodaboda na bajaji naomba mnielimishe

    Gharama anazopaswa kuingia mmiliki ni zipi, marejesho yanapaswa kuwa vipi? Changamoto zake ni zipi? Faida zake zinakuwaje hasa "mambo" yakienda vizuri. Matatizo ya kutarajia ni yapi? Aina nzuri za bodaboda ni zipi? Mkataba unakuwaje? Kimsingi sijawahifanya biashara hii, ninataka tu...
  11. JamiiForums Tanzania Wajuzi wa bei ya naomba kujua bei za mafuta huko duniani

    Mimi sio mtaalamu wa masoko yoyote ya dunia, nimekuja hapa kuuliza bei za mafuta katika soko la dunia ni bei gani? Dhumuni la kuuliza bei ni kutaka kulinganisha bei ya hapa tanzania ni sawa kwa uwiano na bei za dunia? Kuna komenti moja nimesoma humu jamaa kasema bei ya pipa moja iran na urusi...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Msaada sehemu ya kupata Vitamin D3 yenye K2 kwa Mwanza au Dar

    Ndgu zangu naomba msaada sehemu gan nitapata Vitamin D3 yenye K2 Kwa Mwanza au Dar
  13. JamiiForums Tanzania Posho itatolewa: naomba msaada wa kuadd custom location kwenye instagram.

    Ni attach audio ya maelezo tosha
  14. JamiiForums Tanzania Posho itatolewa: Naomba msaada wa kuadd custom location kwenye Instagram

    Ni attach audio ya maelezo tosha
  15. C

    JamiiForums Tanzania Naomba tafsiri ya ndoto hii, imekuwa ikijirudia mara kadhaa

    Habari za asubuhi, naomba mnisaidie waungana kama kutakuwa na mtu ana uelewa na ndoto. Ni mara kadhaa sasa nimekuwa nikiota nimeibiwa hereni zangu, nahitaji kujua maana ya hii ndoto. Inasemwa kwamba kila ndoto mtu anayoota inakuwa na maana, naomba msaada katika hili Asanteni.
  16. JamiiForums Tanzania Naomba kuujua mji wa Kahama kupitia picha

    Habari wakuu, Natamani kuufahamu mji wa Kahama kupitia picha. Kama una picha zozote za mji wa Kahama, picha za mitaa, makazi ya watu, viwanja vya michezo, hoteli, shule, hospitali, mito, madaraja, mabonde, barabara, milima, majengo ya ofisi, mitaa ya ushuani, uswazi, masoko, utalii, ofisi za...
  17. E

    JamiiForums Tanzania Binti (miaka 19) amepotea, naomba msaada kwa atakayemuona

    Habari ndugu zangu. Ninaomba msaada, binti huyu ninaambatanisha picha zake amepotea tangu tarehe 27/08/2023. Binti huyu anaitwa Antia Focas, nyumbani walizoea kumuita Nyakato. Ana umri wa miaka 19. Mkazi wa Mkundi Morogoro, japo ana miezi mitatu tu tangu ahamie mkundi, mwanzoni tulikuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Nimetokwa na kijipu sehemu ya siri ghafla, naomba msaada

    Ni jambo lenye ukakasi ila sinabudi kulizungumza. Naomba mniwie radhi. Nilisafiri sehemu nikakaa siku moja, yapili nikarudi, naweza sema nimekaa siku mbili, lakini zaidi ya haja dogo, sijaenda haja kubwa hata maramoja. Niliporudi ninapoishi siku ya kwanza nikapata choo kigumu, siku ya pili...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Course gani inayohusiana na biashara ambayo itakuwa na mashiko Kwa hapa Tanzania

    Course Gani inayohusiana na biashara ambayo itakuwa na mashiko Kwa apa bongo. Naomba ushauri
  20. O

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza waliofanya oral interview community Development kama wameitwa kazini tayari

    Habarini, Naomba kuuliza waliofanya oral interview ya community development Ile ya watu 800 kama tayari wameitwa kazini, kama Bado wadau kama Kuna mtu anayejua lini wataita atujuze. Asante
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…