naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Mwenye mitihani ya leseni pharmacy ngazi ya cheti(miaka ya nyuma) naomba anisaidie. Natanguliza shukrani.

    Wana jf naomba msaada wa pastpapers za mitihani ya leseni ya ufamasia ngazi ya cheti.Natumaini ombi langu litafanyiwa kazi.ASANTENI.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua jina la huu wimbo tafadhali

    Habari ya jumapili wana wa Mungu. Huu wimbo nineusikia redioni nikaupenda, sasa tatizo sijui unaitwaje ili niupakue
  3. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Swala la michezo Wana JF naomba mtoe maoni hapa

    Kulikuwa na mashindano ya kikapu ambayo chini umri 16.Washirki wawili walikutana ambao USA na el salvador's . Matokeo USA alishinda kwa vikapu 114 huku El salvador's 19. Umejifunza nini hapa kuhusu michezo
  4. VINICIOUS JR

    JamiiForums Tanzania Wapiga picha na walio wai kupiga picha kujeni hapa

    Kwema ndugu zangu, leo nikiwa naelekea kuwapelekea wateja picha mtaani, nimekutana na binti mmoja akiwa na watoto wawili. Nikiwapita hadi mbele kidogo, nikashangaa kuna dogo ananifata na kuniambia, "Dada anasema uje umpige picha Jumatatu." Sasa ikabidi nigeuke, nikamwona huyo dada kasimama...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa njia bora ya kuendesha Microfinance

    Wadau wa Jamiiforums mnipe MBINU na njia sahihi ya uendeshaji wa Microfinance. Eli Mimi na wateja wangu wote tufaidike, wao wapate mkopi nafuu wenye kutimiza malengo yao, na Mimi nipate japo faida kidogo. Kwa Sasa interest rate yangu 3.5% Kwa mwezi (0.035%). Gharama nyingine ni ndogo sana...
  6. zantana

    JamiiForums Tanzania Naomba muongozo kuhusu ajira za polisi, nitegemee nini baada ya kupita usaili?

    Habari wana JF, nimeapply hizi nafasi za kazi za jeshi zilizotolewa Mei, 2024. Je, nitegemee nini baada ya kupita usaili? Nina degree nmeapply kwenye Kategoria ya Forensics. Naomba kujua mchakato mzima huwa unaendaje: usaili lini, majibu baada ya muda gani, mafunzo ya jeshi ni mda gani, na...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Ajira za ualimu zilizotangazwa kutoka kwa mwajiri ambaye ni MDAs na LGAs, je unaenda kufundisha wapi na level gani?

    1: wana JF naomba kuuliza kuhusu hizi ajira za ualimu zilizotangazwa kutoka kwa mwajiri ambaye ni MDAs na LGAs, je unaenda kufundisha wapi na level gani? Pia 2: je kuna faida yeyote kwa mwalimu aliye chini ya Tamisemi kuomba kuhamia MDAs na LGAs 3: nini tofauti ya kufanya kazi Tamisemi au...
  8. frank mkweli

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua adhabu kisheria ya kesi ya kuisababishia hasara kampuni

    Habari wakuu, naomba kujua Sheria inasemaje kuhusu adhabu kama utashitakiwa na kampuni kwamba umeisababishia hasara na kampuni kweli ikawa na ushahidi na ukapatikana na hatia kisheria. Natanguliza shukrani
  9. Wakilimkuu

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kwenda ulaya

    Habari wakuu ni matumaini yangu wote ni wazima,Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24,naomba msaada natamani sana kwenda kufanya kazi ulaya, elimu yangu nimeishia four 4,pasport ninayo naomba mwenye connection aniunganishe N.B sihitaji kejeli,mzaha,utani 🙏
  10. enzo1988

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wajuzi wa Diplomasia, naomba msaada kwenye hili

    Napenda kufahamu tofauti kati ya official state visit na official visit, nimeshangaa kusikia karibu miaka 15 imepita ndiyo Ruto anakuwa kiongozi wa kwanza kutoka Afrika kufanyiwa official state visit huko USA! === 1. Kenyan President William Ruto will become the first African leader in more...
  11. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Wataalamu naomba unisaidie hapa.

    Wataalam, nisaidieni hapa namna ya kuset premium message,, maana naona nakosaga hivi vihela vya vocha.. Hizi message zinaingiaga kwenye Simu yangu mara kwa mara
  12. Endasak Masqaroda

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza wajuvi, mtu aliyekaa miezi 18 bila kuajiriwa, alivyorudi mfuko wa hifadhi ya jamii ilikuwaje?

    Wakuu habari, Sheria ya kikokotoo kwa watumishi waliokuwa na ajira rasmi ipo wazi. Ikitokea mtu amekosa ajira kwa sababu yoyote ile isiwe ya kuacha mwenyewe, sheria inaelekeza alipwe 33% ya mshahara wake kwa muda wa miezi 6. Kisha asubiri miezi 18 kama hajapata ajira nyingine amwandikie...
  13. instagramer

    JamiiForums Tanzania Kwa Hii bajeti Ya Wizara Ya Ulinzi Naomba Msinishawishi Kwamba Nchii Hii Ni Masikini

    Kama Tunavyojua Uimara Wa Taifa Lolote Kiuchumi Duniani, Ikiwemo Marekani Na Uchina Basi Ni Kuwekeza Nguvu Zaidi Katika Kuimarisha Ulinzi Na Usalama Wa Nchi. Lakini Jambo Hili Ni Kinyume Kidogo Na Nchi Za Kiafrika Ambazo Bado Zinapambana Kujikwamua Kwenye Lindi La Umaskini. Lakini Kwa Bajeti...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Nyuki wananisumbua sana - Naomba MSAADA wenu

    Habari zenu ndugu zangu. Hapa ninapoishi kuna nyuki wapo ndani ya ceiling board. Nimeshawahi kupuliza dawa ya Rungu na kuwaua wote. Lakini kila bàada ya muda mfupi mfano mwezi wanahamia nyuki wengine, napuliza dawa wanakufa, halafu baada ya muda wanakuja wengine. Hawa waliokuja awamu hii ni...
  15. Trainee

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada nikiingia RITA cheti cha kuzaliwa simu inaandika DNS_PROBE_FINISHED_NXDOMAIN

    Nimeomba msaada Google nikaambiwa; How Do You Fix DNS_PROBE_FINISHED_NXDOMAIN? Release and Renew IP Address. Restart DNS Client Service. Change DNS Servers. Reset Chrome Flags. Disable VPN and Antivirus Temporarily. Check Your Local Hosts File. Check DNS of Your Domain. Restart Your Computer...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wana Simba SC Wenzangu naomba taratibu tulipitie lile Goli la Fred jana hivi Kweli hata Wewe ungekuwa Kipa usingeudaka au hata tu Kuupangua ule Mpira?

    Anyways nimeelewa kwani ili TFF na Serikali iongeze Mapato ni lazima Klabu Bingwa ziende Timu MbilI Kubwa ili Mapato yapatikane Makubwa lakini pia Kuchangamsha nchi kwani kama mwakani Timu ikiwa moja halafu tena ina DNA na CCM (Serikali) Mashabiki wa Timu nyingine watapata Hasira na Kuathiri...
  17. Lamzettttt

    JamiiForums Tanzania Weekend imefika naomba wana JF tuburudike wote na kibao hiki

    Ahsanteni https://youtu.be/v6Zw5duTJeA?si=ZCzpze04z1gcx-T-
  18. The Legacy

    JamiiForums Tanzania Naomba Malumbano mbashara na kijana Lucas Mwashambwa juu ya mambo ya msingi kuhusu Maendeleo ya Taifa hili.

    Wasalam, Kwa kipindi kirefu tumeshuhudia wanabodi wengi wakisifia na kuimba mapambio ya kukisifu chama cha mapinduzi CCM kuwa Kimefanya mambo makubwa na yakupendezwa bila kusahau mapungufu yake. Naomba jamii forum tukubaliane muda na siku ili malumbano yetu yawe mubashara hapa kwa jukwaa kila...
  19. HaMachiach

    JamiiForums Tanzania Nataka kuhamia Canada nikaishi huko naomba ushauri

    Habari wanajukwaa. Nimeamua mwakani mimi na familia yangu mke na watoto wawili tunatarajia kuhamishia maisha yetu Nchi ya Canada. Nina kiasi Cha shilingi 50M ambacho nimeweka kwajili ya kutusaidia tutakapo fika huko kujipanga kimaisha. Kwa sasa ninafuatilia visa ubalozini maana huwa...
  20. BabuKijiko

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba mnisaidie kabila sahihi la kuoa Tanzania?

    Wakuu naomba mnisaidie kabila sahihi la kuoa Tanzania?
Back
Top Bottom