naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Mwenye footage za vita frontline naomba anisaidie

    Nitashukuru mwenye kunisaidia video au link o zenye maudhui ya vita aidha body cam au za drone au ambazo ziko filmed kuonyesha mapigano baina ya pande mbili zote Kwa pamoja.. YouTube zipo hasa za vita gaza na huko Ukraine ila tatizo zinaonyesha upande mmoja tu mimi nataka video iwe zinaonyesha...
  2. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua ukweli kuhusu wanyonya damu

    Zamani ilisemekana kulikuwa na watu kazi yao ni kunyonya watu damu na story nyingine zinasema walikuwa pia wakichuna ngozi ila sasa kama ni kweli nataka kujua Ilikuwa ni watu binafsi wakifanya hio biashara au walikuwa wakitumwa na serikali? Siamini kama serikali ingeweza kufanya hivyo sio rahisi.
  3. D

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua bei ya Mahindi eneo ulipo

    Asalaam, Poleni na kazi. Naomba kujua huko ulipo na bei ya mahindi imefika bei gani kwa gunia la debe 7 au 6. Tupeane updates, tuone tunafikaje kuchukua mzigo. Ahsanteni.
  4. Vien

    JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri: Nataka kununua Google pixel 8 pro

    Habari Wakuu, Nimeshawishika sana kuichukua Google pixel 8 pro mpya kutokana na features zake, na Shughuli zangu nnazozifanya naona itanifaa sana, Nahofia kitu kimoja, mwaka jana nlinunua Google pixel 5a pale china plaza, iliku ni hizi refubished ,Ile simu nlikaa nayo miezi miwili tuu ghafla...
  5. Marathon day

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua bei ya bima ya afya NHIF kwa familia, na kwa mtu mmoja

    Ndg wahusika naomba sasa wahusika watoke watupe mrejesho bei mpya za bima ya afya kwa familia na kwa kwa mtu mmoja, ili kuhamasisha watu wengi zaidi kupata bima ya afya
  6. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kublock matangazo ya mikopo yasinifikie

    Habari zenu wadau Nimekuja hapa kama kichwa Cha habari kinavyosomeka hapo juu naomba msaada wakublock haya matangazo ya mikopo yasinifikie Mwezi iliyopita nilifiwa na tangazo la mikopo kuwa wanakopesha Hadi millioni moja nika click link kupakua App baada ya kujisajiri nakutana mkopo unaanzia...
  7. Mookiesbad98

    JamiiForums Tanzania Walimu naomba mjirekebishe na hili la kuomba tip

    Imekuwa kawaida sana kwa walimu kuanzia chekechea, sekondari kasoro labda vyuoni tu. kupenda sana kuomba omba wazazi pesa mara nimekwama, mara naazima. Mimi kama mzazi nimeshuhudia walimu wa shule moja ya seminary za miaka hii maana seminari za zamani kulikuwa hakuna walimu wanaopiga mizinga ...
  8. chiziwafursa

    JamiiForums Tanzania Natamani kutafsiri vitabu ila sijui wapi nianzie naomba muongozo tafadhari

    Baada ya kusoma kitabu cha fikiri utajirike (Think& grow rich) nimetokea kuvutiwa nami kutafsiri vitabu ambapo nia yangu nikuja kutafsiri kitabu kama cha human nature, unlock it by Dan Lok na vingine vingi ila nikaona nisiishie hivi hivi nikaingia Google kutafuta mwanga kidogo lakini nimeishia...
  9. Pridah

    JamiiForums Tanzania Signature kwenye form ya soft copy inaandikwaje?

    Hi. Kwa mtakaoniona mjinga mnisamehe bure. Nimegugo ila sijaelewa vizuri. Naomba kueleweshwa yafuatayo: 1)Name in print inaandikwaje? 2)Signature kwenye form ya soft copy inaandikwaje? Natanguliza shukrani🙏🙏
  10. Amba Samedi

    JamiiForums Tanzania Nafikiria kuleta kozi hapa jinsi ya ku-apply na kutoboa Upwork. Lakini naomba tusemezane kwanza...

    Habari wanaJF, Ni mimi tena (It's me again). katika pita pita zangu, nimeangukia kozi moja makini ambayo naweza kuileta kwenu kwa ajili ya kusaidia wanaotaka kufanya kazi Upwork. Nina account huko, na nimefanikiwa pakubwa. Kozi screenshot yake hii hapa: Niliipata kwa mKenya fulani hivi...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Inamaana vyombo husika vimeshindwa kumshughulikia Mpina?! Kweli kabisa? Naomba Mimi nipewe kazi hiyo!

    Wadau hamjamboni nyote? Hivi luhaga mpina inakuaje hadi leo hii hajashughulikiwa? Yaani vyombo vyote husika vyenye weledi vimeshindwa kumshugulikia kwa kuiabisha mamlaka iliyopo kuu? Shida ni nini hasa? au bado mchakato inaendelea? Naomba Mimi mzalendo nipewe kazi hiyo, nipewe rasilimali...
  12. Mtoto wa nzi

    JamiiForums Tanzania Msaada : Naomba sites zuri za kupakua torrents za movies za kawaida na series.

    Kama kichwa Cha habari kinavyoeleza. Naomba kiwasilisha
  13. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Kutokana na sakata linaloendela Simba Sports Club! Naomba mwenye nakala za Katiba ya Simba na Young African tuzipate.

    Binafsi naomba ku declare kuwa mimi mtoa post ni mshabiki wa Young Afican! Lakini kutokana na masuala yanaoyoendelea Simba nimejiuliza sana maswali ambayo kila ninapotaka jibu naona naweza lipata kupitia Katiba yao ya Simba, nikaona ni vyema nije kwa wadau wenxzangu wa michezo kuomba Katiba za...
  14. maina23

    JamiiForums Tanzania Napata mshahara ila unaisha ndani ya wiki mbili au tatu, naishia kukopa

    Mim naitwa Maina ni mtanzania nisoma marekani chuo kikuu cha MIT nina umri.wa miaka 23. Sina muda mrefu kuingia humu JF. Nimekomaa kiakili ila si kimwili. Nilisoma Tanzania kidogo nikahamia Marekani. Nilisoma level zote ke na hadi chuo. Nimeamua kuja nchi ya amani. Naipenda sana Tanzania...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza ili kufungua ofisi za mkopo unahitaji nini na nini?

    Naomba kuuliza Ili kufungua ofisi za mkopo Unahitaji Nini na nini? Kwa mawasiliano Zaidi 0678035103
  16. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu vipandikizi vya uzazi kwa mwanamke (Kijiti)

    Hoja yangu ni kwamba mwanamke kwa mfano akiwa ameweka kijiti kile cha muda wa miaka mitano (5) na akafikisha miaka mitatu (3) nacho akaamua kukitoa kabla ya muda uliyokusudiwa Je anaweza kupata mimba mara baada yakukitoa ama atasubiri mpaka miaka hiyo mitano (5) ifike
  17. K

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada; kila akinikosea ananitegeshea sambwanda na ugomvi unaisha!!

    Natoka kwa hasira baada ya kunikwaza na kwenda zangu nje au mtaani kidogo kutuliza munkari. Ile narudi tu nakutana na tego la haja la msambwanda basi makosa yanasahaulika au kusamehewa hapo hapo. Hii hali siipendi maana naona kama itakuja kuniathiri huko mbele. Msaada wehu tafadhali wadau.
  18. Billie

    JamiiForums Tanzania Naomba kufundishwa mbinu za kuepuka watu wa Jumuiya na Parokia

    Mimi ni Mkristu dhehebu la RC na nililelewa kwenye familia yenye kufuata mafundisho ya RC na nimebatizwa,kupata komunyo ya kwanza hadi kipaimara na kufunga ndoa ya kikatoliki. Lililonileta ni kuwa nimekuwa sipendezwi na imani yoyote haswa hizi za dini naona kama uongo na ni mifumo ya watu...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Interview kwa walimu walio wahi kuomba kazi ajira PORTAL sector ya curriculm na assistasistant lecturer

    Habri Aliye wahi kuomba Tutor grade ii of english for NTA level 6 pale ajira PORTAL au curriculum developer ii pale TIE kupitia ajira PORTAL Naomba anisaidie nondo na jinsi maswali yanavyo toka au kama ana maswali na notes zilizopita naomba ani save 🙏
  20. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua vyuo vinavyotoa Stashahada ya Uzamili ya Elimu (Postgraduate Diploma in Education) pamoja na ada zao

    Naomba kujua vylyuo vinavyotoa Stashahada ya Uzamili ya Elimu (Postgraduate Diploma in Education) na ada zao.
Back
Top Bottom