Naomba Malumbano mbashara na kijana Lucas Mwashambwa juu ya mambo ya msingi kuhusu Maendeleo ya Taifa hili.

OscarkambonaJr

JF-Expert Member
Jun 1, 2022
2,083
3,505
Wasalam,

Kwa kipindi kirefu tumeshuhudia wanabodi wengi wakisifia na kuimba mapambio ya kukisifu chama cha mapinduzi CCM kuwa Kimefanya mambo makubwa na yakupendezwa bila kusahau mapungufu yake.

Naomba jamii forum tukubaliane muda na siku ili malumbano yetu yawe mubashara hapa kwa jukwaa kila mtu akimwaga sera zake kwa mambo ya maendeleo.

Wawaruhusu wote hata Kama wakiwa 10 kuungana kisha wawe wanatoa hoja na zikipewa ukinzani wa hoja sio ngonjera za mama tukuka sijui Jasiri aieogopa kitu tuweke facts mezani dhidi ya hawa CCm wanaodhani wamefanya kitu wakati Taifa liko shimoni.

Binafsi sina Chama ni Kijana Mwenye mawazo tu kama watu wengine ila napenda kifukiri che ya sanduku.

Nawasilisha

Lucas Mwashambwa ,Moderator Samia2025mitanotena ephen_ CCM MKAMBARANI GENTAMYCINE@johnthebaptist
CHADEMA
Erythrocyte
 
Mbona Oscar Kambona ndiye Lucas Mwashambwa!
 
Watu wengi wenye ujuzi wa kuandika kimtiririko huwa ni wazito kujenga hoja kwa mazungumzo, nisijue huyu Bwana ni vipi lakini ninasuspect kitu kama hicho.
 
Back
Top Bottom