Habari za majukumu wakuu
Kama kichwa kinavyojieleza nahitaji kununua mercedes benz c class (c180/c200) ya (2000-2005) hizi ndonamudu ushuru wake naomba kufahamu kuhusu uimara kwa ujumla na upatikanaji wake wa spare...gharama za huduma
Natanguliza shukrani
Shikamooni wakubwa wote
Mara nyingi nikileta Mada zangu humu naambiwa hapa siyo fesibuku,mara JF imevamiwaa ,mara nini sijui,
Sasa swali langu ni hil
Kwani fesibuku na JF upi mtandao mkubwa,na kwanini nionekane mvamizi humu.
Mbona naona huku ni Kwa kawaida tu au kuna nini cha ziada.
Karibuni
Naomba mnisaidie nina matatizo nimeacha chuo sina ada nyumbani hali ngumu hata nauli wameshindwa kunipa nakaa kwa rafiki, mguu wangu mbovu
Naweza kazi zote za mikono kupika kufua. kazi za stationary pia naweza nimewahi pia kuuza duka na kazi zote ambazo haziitaji kutembea sana maana ni mlemavu...
Habari,
Nina mdogo wangu amechaguliwa kwenda Mpwapwa JKT. Naomba kufahamu namna ya kufika kambini. Mdogo wangu yupo Dodoma mjini. Akiwa anatokea Dodoma kwa usafiri wa bus ashukie wapi? Je kambi ipo mbali na Mpwapwa mjini?
Nina kipato cha shilingi milioni moja na nusu kwa mwezi (1,500,000/=) na ninafirikia kuanza ujenzi wa nyumba ya kuishi.
Naomba ushauri wa namna gani naweza kufanya ili ujenzi uende pamoja na maisha mengine.
Nina familia ya mke na mtoto mmoja anayesoma darasa la nne, ada ya shule ni 1.5m kwa...
Habari wakuu naomba kuuliza Kuna tofauti kati ya qfl na magodoro Dodoma
Au hayo qfl ndio magodoro Dodoma
Nahitaji kununua 5x6 my budget 300,000tzs
Pia Ushauri wa godoro zuri kwa mwenye uzoefu inches 8 vs 10
Habari wakuu naomba kuuliza Kuna tofauti kati ya qfl na magodoro Dodoma
Au hayo qfl ndio magodoro Dodoma
Nahitaji kununua 5x6 my budget 300,000tzs
Pia Ushauri wa godoro zuri kwa mwenye uzoefu inches 8 vs 10
Habari wakuu naomba kuuliza Kuna tofauti kati ya qfl na magodoro Dodoma
Au hayo qfl ndio magodoro Dodoma
Nahitaji kununua 5x6 my budget 300,000tzs
Pia Ushauri wa godoro zuri kwa mwenye uzoefu inches 8 vs 10
Habari zenu wanajamii forums. Naomba ushauri kwenye hili. Nimekuwa kwenye ndowa miaka kumi na moja. Mimi nilichelewa kuowa sasa nina Miika 45 . Huyu mke wangu kusema kweli hakuwahi kunivitia kisura wala kimaumbile,. Ila kipindi naamuwa kuowa nilimuona ni mtu mpole asiye penda makuu.
Na...
Habari gani wana JF.
Wakuu nawakaribisha wale wote wanaojua kiswahili cha Kenya hasa misamiati wanayotumia wanapoongea, misemo yao pamoja na ule mchanganyiko wao wa maneno ya kiingereza na kiswahili (code switching &code mixing).
Nasema hivi kwa sababu sasa hivi nikitongoza wanawake wa Kenya...
Mimi ni Binti ambae nikiwa chuo mwaka wa mwisho nilidate na kijana mmoja anaeishi ktk mkoa ambako nilikosomea..
Nilikuwa namchukulia kawaida sana wakati huo hadi nikahitimu na mawasiliano yakapungua kadili siku zilivoenda na Mimi sijauona tatizo hata mawasiliano yalipoisha sikuumizwa wala...
Hali si Hali nchini Tanzania.
Kwa sasa bila VPN huwezi kupata Instagram wala Mtandao wa X.
Hali hii imeanza kujitokeza leo baada ya Mtanzania aishiye Marekani Mange Kimambi kuanza kuweka hadharani ushahidi wa kutisha namna Rais wa Tanzania na watu wake wa karibu wanavyolifisadi Taifa...
Expansion joint ni sehemu muhimu katika ujenzi wa ghorofa kwani husaidia kupunguza athari za mabadiliko ya joto, mtikisiko wa ardhi, na upanuzi wa vifaa vya ujenzi. Hapa kuna umuhimu wake:
1. Kuzuia Nyufa na Uharibifu wa Muundo
- Ghorofa hupitia mabadiliko ya joto ambayo husababisha upanuzi na...
Ukimtoa msomi nguli kutoka Zanzibar, Prof Makame Mbarawa ambaye binafsi namhusudu
Hawa wengine naona hamna kitu
Kuna wabunge wa Zanzibar wakichanga hoja wanaongea kama laymen tu
Wabunge wa Zanzibar wanaitwa watu Kenge, Mwingine anasema eti Bora jeshi lingemuuwa Martha Karia, nimeshangaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.