Naomba kuuliza siyo Kwa ubaya lakini

Naomba kuuliza siyo Kwa ubaya lakini

Marry Diana

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2025
Posts
1,419
Reaction score
4,111
Shikamooni wakubwa wote

Mara nyingi nikileta Mada zangu humu naambiwa hapa siyo fesibuku,mara JF imevamiwaa ,mara nini sijui,

Sasa swali langu ni hil

Kwani fesibuku na JF upi mtandao mkubwa,na kwanini nionekane mvamizi humu.

Mbona naona huku ni Kwa kawaida tu au kuna nini cha ziada.

Karibuni
 
Shikamooni wakubwa wote

Mara nyingi nikileta Mada zangu humu naambiwa hapa siyo fesibuku,mara jf imevamiwaa ,mara nini sijui,

Sasa swali langu ni hil

Kwani fesibuku na jf upi mtandao mkubwa,na kwanini nionekane mvamizi humu.

Mbona naona huku ni Kwa kawaida tu au kuna nini cha ziada.

Karibuni
Huku kuna watu wanaoshughurisha akili katika kudadavua mambo..
 
GQxzdnKWwAEDezo.jpg
 
Back
Top Bottom