Naomba kuhoji kuhusu elimu ya Zanzibar

Naomba kuhoji kuhusu elimu ya Zanzibar

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,829
Reaction score
39,750
Ukimtoa msomi nguli kutoka Zanzibar, Prof Makame Mbarawa ambaye binafsi namhusudu

Hawa wengine naona hamna kitu

Kuna wabunge wa Zanzibar wakichanga hoja wanaongea kama laymen tu

Wabunge wa Zanzibar wanaitwa watu Kenge, Mwingine anasema eti Bora jeshi lingemuuwa Martha Karia, nimeshangaa wabunge hao kutoka Zanzibar kuongea pumba kama hizo
 
Sasa we mshamba wa Kyerwa utawajua wazanzibari?
 
Ukimtoa msomi nguli kutoka Zanzibar, Prof Makame Mbarawa ambaye binafsi namhusudu

Hawa wengine naona hamna kitu

Kuna wabunge wa Zanzibar wakichanga hoja wanaongea kama laymen tu

Wabunge wa Zanzibar wanaitwa watu Kenge, Mwingine anasema eti Bora jeshi lingemuuwa Martha Karia, nimeshangaa wabunge hao kutoka Zanzibar kuongea pumba kama hizo
Umesahau quadratic equation
 
Back
Top Bottom