naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Daby

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelezwa : Iran akimiliki Nuclear Israeli inamhusu nini?

    Labda kuna sheria za kimataifa ndiyo sikatai. Najiuliza tu Iran akimiliki nuclear Israeli inam-bother nini? Je, Israel hana nuclear? Nadhani anayo. Kwanini sasa amemvamia Iran? Yaani mimi ninunue AK47 huyu jirani yangu aanzishe vita? Naomba kueleweshwa na non-mashabiki wa vita.
  2. 4GPA

    JamiiForums Tanzania Naomba kazi yoyote Mtwara

    Habari zenu wakuu, Nawasilisha maombi kwenu wakuu hali ni mbaya Kielimu nilichonacho bado hakinipi unafuu wa maisha, Naomba mwenye connection ya kazi yoyote mkoani Mtwara iwe kazi ya mikono iwe ya nilichosomea zote napokea, nina umri wa miaka 29 na elimu yangu ni DIPLOMA IN INFORMATION...
  3. Fbn

    JamiiForums Tanzania Vita vya iran na israel umbali wa nchi hizo unafanywa teknolojia hivi TZ tutaweza.

    Nimetafakari sana jinsi wenzetu wanaweza kupiga kwa kutumia makombora kwenda kwenye kambi za kijeshi,wapi walipo viongozi na hapo vita hivi nchi zote sio karibu zote zipo mbali. Sasa hapa kwetu tuna uchumi mzuri kuliko marekani na ulaya ndio natafakari. Nimeona aina za makombora wanayotumia...
  4. evangelical

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu Afisa Doria Mtandaoni kwenye kesi ya Lissu

    Leo nilipokuwa nafuatilia shauri la Bw Lissu kulikuwa na shahidi wa Upande wa Serikali alitoa ushahidi kuhusi shtaka la lissu la makosa ya mtandao. Ningependa kujulishwa yule shahidi ni mtumishi wa Jeshi la Polisi, Mtumishi wa TCRA au ni mtu binafsi. Halafu kozi yake ya miezi 2 kutoka kwenye...
  5. Mkwawe

    JamiiForums Tanzania Kama Bashungwa ni mkatoliki naomba kanisa limfungie sakramenti zote

    Hiki ni kipindi ambacho kanisa (Kwa ujumla) linapitia madhila makuubwa sana tangu kuumbwa Kwa taifa hili, Kwa kosa gani!!? Kwa kosa la kusema "Utekaji ni mbaya, uuaji haufai, haki ni lazima Kwa wananchi, katiba mpya ni msingi wa utawala bora, ufisadi ni dhambi, tunapifa vita uonevu" Hayo ndiyo...
  6. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Wana JF kwa heshima kubwa naomba msaada wenu

    Nimeanzisha channel WhatsApp nataka kuandika habari za matukio ya kisiasa kijamii na kiuchumi na. Kuandika historia mbali mbali hasa wale wapenzi wa siasa so naombeni mnifollow mdogo wenu kunisapoti Asanteni...
  7. FRJ255

    JamiiForums Tanzania NAOMBA KAZI YA UTINGO WA MAGARI MAKUBWA

    Naomba unisaidie kushare Kwa Wadau wa usafirishaji na madereva. Mimi naomba kutembea na mtu kwenye gari hasa magari makubwa ili nipate uzoefu barabarani Nina lessen daraja D. Naishi Kiluvya-Pwani. Nipo tayari kujituma na kufanya kazi atakazo. Mawasiliano yangu Email. farajanh53@gmail.com
  8. Knock life

    JamiiForums Tanzania Mtibeli naomba ufanye mpango uwe na Account You Tube

    Mtibeli fungua account You tube tuwe tunakupata vizuri . Ahsante
  9. LOGORIDDIM

    JamiiForums Tanzania Logoriddim: Naomba Kura Zenu: Shindano la Made in Tanzania Brand

    ‎Mimi Logoriddim (JF - expert member since 2013, nimefanikiwa kufika katika 3 bora ya shindano la kutafuta nembo ya brand ya MADE IN TANZANIA. Shindano hili limeandaliwa na TanTrade. ‎ ‎Shindano limefikia hatua ya kupigiwa kura ili kupata nembo bora zaidi. Kura inapigwa katika app ya Instagram...
  10. cold water

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri

    Niko na familia ambayo tunahitaji kucheza vikoba online tufanyeje jamani? Mana tupo mikoa tofauti tofauti !!! Vipi tukifungua account tutatofautishaje fedha ya Kila mmoja mana Kila mtu aki deposit haitaeleweka ipi ni ipi na viongozi wawe wangapi au tuifanye kama Ile m koba lakini lengo letu ni...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Naomba ruhusa maalumu kwa Uongozi wa Juu JamiiForums ya Mimi uzalendo wa Kitanzania kutoa habari za Israel itakaitandika Iran

    Wadau hamjamboni nyote? Nawasilisha Kwa unyenyekevu mkubwa.I'm sure things will start happening sometime before next week. I will share timely updates as events unfold.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wajuzi wa lugha, naomba kujuzwa maana ya neno "Ponjoro"

    Kama kichwa kinavyosema, naombeni mnijuze maana au tafsiri ya neno hili kwani nimelisikia siku za karibuni na bado sijapata kujua lina maana gani.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Nimepokea maoni yenu, Lakini naomba nikatae. Mtakuwa mnahatarisha sana Maisha yangu

    Najua baadhi yenu bado mpo ambao mnapenda muongozwe na mtu mwenye akili na uwezo mkubwa. Binafsi huwa najitahidi sana kuficha kuwa nina akili na uwezo wa kifedha. Sipendi kabisa watu wajue. But kuna wachache huwa wananishtukia. Naishi tu maisha ya kawaida sana na najitahidi kujichanganya nikiwa...
  14. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Wakulima debe la mpunga hutoa kilo ngapi za mchele?

    Wakulima debe la mpunga hutoa kilo ngapi za mchele? Apa nilipo debe la mpunga ni 15,000 nataka kujua hutoa kilo ngapi ili nijue gharama ipo wapi, mchele dukani kilo ni 2,400-2,600
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Kwa hali hii ya kisiasa nchini, Naomba tuburudike kidogo labda tutaeleweka

    Yaonekana Viongozi wetu hawajui Afrika ilitoka wapi na inakwenda wapi. Hawajui nchi inatoka wapi na inakwenda wapi. Ko sa ni la CCM 'Kuokota' Kila mtu asiye na aibu akawe kiongozi.
  16. screpa

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua Chimbo la Perfume Kariakoo

    Mimi ni mfanyabiashara wa Mkoani, napenda nikija Dar hivi karibuni niangalie chimbo ambalo nitakuwa napata perfume kwa unafuu, Perfume ninazozihitaji ni zile za bei ya kawaida yaani ambazo kwa bei ya kuuzia rejareja zichezee kwenye elfu10 hadi elfu 60. Je ni maduka yepi yanauza Perfume kwa wingi...
  17. Niache Nteseke

    JamiiForums Tanzania Wenye Kuangalia Hii Tamthilia Naomba Kujua Jina la Huyu Mama Please

    Salaam/Shalom...! https://youtu.be/aURJp25qtdg?si=0--FAtawwgNmjrnd
  18. B

    JamiiForums Tanzania Je Bugando hospital inapokea wagonjwa wasio na rufaa kutoka hospitali zingine?

    Naomba kuuliza Je Bugando hospital inapokea wagonjwa wasio na rufaa kutoka hospitali zingine? Nataka kwenda kutibiwa Bugando hospital.
  19. Mr Fan

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleimishwa kuhusu mimba ya huyu mke wangu

    Nina mwanamke wangu mara ya mwisho kuingia hedhi ilikua tarehe 20 august 2024 na tulisex tarehe 31 august na tarehe 1 september ila tarehe za kujifungua naona zmepitiliza zile siku 280 lakini mpka leo tarehe 8 june 2025 bado anayomimba au mm calculation zangu sijapiga vzur naona tarehe...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu kuhusu Mercedes benz c class 2005

    Habari za majukumu wakuu Kama kichwa kinavyojieleza nahitaji kununua mercedes benz c class (c180/c200) ya (2000-2005) hizi ndonamudu ushuru wake naomba kufahamu kuhusu uimara kwa ujumla na upatikanaji wake wa spare...gharama za huduma Natanguliza shukrani
Back
Top Bottom