naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ashomile

    JamiiForums Tanzania Msaada : Naomba Mnisaidieni Namna Ya kuinstall Window 10 Pro Kwenye HP Chromebook 11 63/G4 (Kip).

    Habarini Za Mchana Huu , Poleni na majukumu , nimekuja kwenu WanaIT mnisaidie swala hili , maana swala hili limenishinda kwa kutumia mawazo yangu pekee. Majuzi kuna Hp Chromebook Ram 4 na Internal Storage SSD 16 nilfanikiwa kuactivate window, nikamkabidhi mwenye nayo akaondoka , sasa basi...
  2. Empty containers Tanzania

    JamiiForums Tanzania Kama kuna Mtu yupo na shule ila anahitaji mwalimu competent ambaye ataisaidia shule kuhakikisha inakua naomba tuwasiliane

    Habari wakuu . Mimi ni Mwalimu ambaye nafundisha kuanzia Kindergarten mpaka form six . Kama upo na Shule ambayo unahitaji kuikuza kupitia Mwalimu competent . Uwezo wangu upo katika haya maeneo . Kufundisha Kufanya mentoring Kuwashawishi wazazi ili wawalete wanafunzi kujiunga katika shule...
  3. K

    JamiiForums Tanzania NAOMBA MNIWEKEE GAWIO LANGU LA SAMIA INFRASTRUCTURE BOND

    Naomba mniwekee gawio langu. Mimi niliwekeza nikiwa na malengo yangu. Kunicheleweshea gawio langu linakwamiswha mambo yangu ya msingi. Utaratibu ulikuwa ni kuwa gawio lainawekwa kila baada ya miezi mitatu.
  4. Nyamwage

    JamiiForums Tanzania Wadau nataka kujiweka humu mwenye ushauri naomba nisije nikaingia mkenge

    Nauliza hiki kifaa aliewahi kukitumia anipe uzoefu wake je unlimited yake ni ya kweli tofauti na airtel ambao wanabana speed ukizidisha matumizi
  5. Young silver

    JamiiForums Tanzania Naomba kupata summary ya ufaulu form six 2025 kitaifa

    Naomba kupata summary ya ufaulu form six 2025 kitaifa, I mean idadi za one za tatu, nne, Tano n.k, two, three n.k. Plzzzzz
  6. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Wadau wajuvi wa sheria hivi polis wa Tanzania wana operate kwa kutumia sheria zipi zinazobagua yupi akamatwe na kupewa mashitaka?

    - vijana mbalimbali wa ccm pamoja na kaka yao makala wameonekana wazi wakitoa kauli za uchochez . Mfano👇 1. Mwenyekiti wa uvccm alitamka kuwapoteza wapinzani na kwamba polis wasiwatafute. Polis kimyaa!! 2. Kuna wana uvccm walionekana kwenye video wakiimba wapinzani wakifa tutawatupa kagera wawe...
  7. Superbug

    JamiiForums Tanzania Tamthilia ya Dunia ni nzuri mno sijawahi ona kwa Tanzania, naomba kuwajua wale wahusika

    Mimi sio mpenzi wa tamthilia ila hii ya Dunia ni kiboko naomba kuwafahamu wale wahusika Kwa undani. Maisha yao kazi zao wanapotoka makabila yao nk. 1. Manyanya 2. Mke wa manyanya 3. Mlevi mme wa sindi 4. Sindi mwenyewe 5. Wale wadada wanaomuita manyanya kaka nk
  8. Kubwa la Maadui

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wenu wana JF katika hili

    Naomba kuuliza hili WAKUU Mimi ni mwalimu wa sayansi masomo biology na geography, kwasasa nataka kuomba kufanya postgraduate diploma ya procurements and logistics management pale TIA, sasa kitu ambacho sielewi ni kuwa kwamfano kwenye maombi ya kazi utumishi naweza kuomba kazi ambazo vigezo ni...
  9. Saba_Spare supplies

    JamiiForums Tanzania Naomba support ya kufollow Insta Account yetu

    Habarini wadau naomba support yenu kufollow our insta Account 🙏🏾 hapo kwenye picha AU Bonyeza link hii kuingia https://www.instagram.com/7spares?igsh=bWx5dDB5c3BqazU5 Nashukuru kwa Mda wenu, Mungu awabiriki✨
  10. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Naomba kuongea na wadogo zangu wa kiume walio kwenye ndoa na wanaotarajia kuingia kwenye ndoa

    NB: Talaka zimekuwa nyingi kwakuwa ndoa nyingi hazina maandalizi ya kutosha Hii mada ilikuwa ije weekend lakini naona nakumbushwa Sana hivyo sina budi kuileta usiku huu. Maana mchuzi wa umbwa hunywewa wa moto Nitajitahidi kufupisha ili isichoshe kusoma Ndoa za leo zinatakiwa kwenda nazo kwa...
  11. issac77

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba mwongozo nataka kununua vipande vya hisia NICO

    Kuna mil 20 inazaga zagaa hapa nataka niwekeze kwenye hisa za NICO... Wajuvi mwongozo wenu tafadhali
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tufanyeje kupata haki yetu kutoka NSSF?

    Naomba msaada nijue haki yangu naipata wapi Mimi niliajiriwa katika kampuni binafsi na nimemaliza mkataba wangu. Kama ilivyo makubaliano ya mkataba ni WA muda mfupi 12 months na yote nimetumikia, nilipoandika barua ya kutoa taarifa ya kutoendelea na wao baada ya mkataba huu kuisha kama ilivyo...
  13. Smartkahn

    JamiiForums Tanzania Home of Great thinker, WanaJF naomba nisaidieni jibu la hili swali

    Someone's mother has four sons. North, South, East. What is the name of the fourth son. Reply in the comment section below the name of the fourth son? Karibuni. Reply zikifika kati ya 50 nakuendelea tutavuta marking scheme kujua nani kapata nani kakosa we jibu swali usitoe maelezo...
  14. Knock life

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza kwa wale ambao mmezaliwa na kukulia kijijini je ukiwa unafikiria jambo huwa unafikiria kwa lugha yako ya Asili mfano kisukuma n.k

    Naomba kuuliza kwa wale ambao mmezaliwa kijijini je mkiwa mnafikiria jambo lolote huwa mnatumia lugha zenu za Asili.? Maana Mimi binafsi huwa natumia kiswahili., kwakuwa sijakulia kijijini , .
  15. Muimba SINGELI

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu Marry Diana, kama haupo kwenye ndoa naomba nikuoe

    Kwanza niseme natanguliza heshima zote kwako best yangu Marry Diana. Pengine utafurahishwa ama kuchukizwa na bandiko hili, siwezi kuzuia hisia zako lakini ninaweza kuzipooza kwa kusema neno Samahani. Marry nimeona kitu cha ziada ndani yako, bila shaka tutafiti tukiwa pamoja tukipambana na hili...
  16. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Naomba kuongea na wadogo zangu wa kike wenye kutafuta ndoa

    Ndoa ni stara kwa mwanamke! Hivyo mwanamke anahitaji ndoa kuliko mwanaume Wanawake wamekuwa wengi ama ni wengi kuliko wanaume... Hivyo ndoa imekuwa kitu adimu hasa ukizingatia kuwa.. Pamoja na uchache huo wa wanaume bado karibia nusu yao si waoaji Sasa kutokana na hamaniko hilo la kuhitaji...
  17. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuhusu kujitolea kazi ya kujitolea

    Nilikuwa nauliza hivi, nimemaliza chuo Mwezi huu.. Matokeo bado hayajatoka mpaka mwezi wa nane. Je kwa mfano nataka kuandika barua mahali Fulani nikiwa na Lengo la kujitolea... Nina takiwa kuambatanisha kitu gani ili kuthibitisha kuwa na taaluma ya kazi husika?? Ahsante karibuni kwa ushauri mzuri
  18. Bueno

    JamiiForums Tanzania Ngoja tuongelee Uasherati na Uzinzi kidogo

    Wakuu, naona watu wanachanganya mafaili kidogo kuhusu haya masuala mawili ya kingono. Yaani Uasherati na Uzinzi. Uasherati ni nini na uzinzi ni nini? Uasherati ni kitendo cha kufanya ngono au kujamiiana kwa hiari na mtu ambae sio mkeo na wala sio mumeo yaan hamjaoana na hii inaingiza uzinzi...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa: Leo nihubiriwa na member wa S.DA kuhusu ufunuo

    Jamani wanajamvi kuna jamaa alinialika kwenye group niseme la maombi amenialika siku nyingi niende leo nikaamua kwenda katika mambo aliyonihubiiria ni kama yafuatayo: 1.Ulazimishwaji wa kuwa wakristo wakipagani. Jamaa amenieleza kwamba kulingana na ufunuo kwamba Marekani wakiungana na kanisa...
  20. SweetyCandy

    JamiiForums Tanzania Naomba humu watu waheshimiane

    Kuna wanawake wanajiona sana matawi nyuma ya hizi profile zetu wanatukana wanawake wenzao . Huna haya kwanza wewe unanguvu sana zakuwaandama wenzako . Nahuku wewe mwenye unashida huna hata marafiki ,ndugu wamekutelekeza . MTu anaid za mia mbili kisa kujibu wenzake kunya nakuwasumbua. Hao...
Back
Top Bottom