Habari za w'end wakuu
Niende moja kwa moja tu bila chenga, akili imewaza ila sijapata mwafaka.
Thread zangu za nyuma zinaweza kuwa reference ya kile nachopitia, anyway:
Wakuu nipo mjini DSM na hadi Saivi nipo mahakama fulani nijitolea, kuna kipindi nilipitia wakati mgumu hadi nikatamani kurudi...