naomba ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Nataka kiwanja cha hati lakini gharama za kufanya transfer naskia ni kubwa naomba ushauri

    Naomba ushauri kuna kiwanja nimekipenda kununua kina hati miliki lakini naskia gharama za kufanya transfer ni kubwa je nifanyeje ili kupunguza gharama au nitafute ambacho hakina hati militias nipime nitafute hati miliki
  2. bab-D

    JamiiForums Tanzania Bachelor degree in project planning and management (BDPPM) na Bachelor degree in environmental planning and management (BPM)

    Wakuu naomba tumshauri ndugu mmoja ni mwajiriwa (KILIMO) ila anataka kuhama kada na anapendelea kusoma kozi hizi? Swali baada ya kusoma anaweza hamia kada zipi Kwa kozi hizi? BACHELOR DEGREE IN PROJECT PLANNING AND MANAGEMENT (BDPPM) na BACHELOR DEGREE IN ENVIRONMENTAL PLANNING AND MANAGEMENT...
  3. Now and then

    JamiiForums Tanzania Wakuu hizi mvua zinaleta ongezeko la Mbu naomba ushauri hasa sisi wenye watoto!

    Nataka mdada mmoja mjamzito niende nae clinic watupe net Mbu zitaniuwa walahi wakuu
  4. Amba Samedi

    JamiiForums Tanzania Fursa Hii Hapa: Naomba Ushauri Wenu

    Habari wanaJF, Natumaini mnaendelea vizuri. Nimerudi tena (na kasi yangu imenipa zawadi ya "can't stop" ya JF). Asante sana Maxcence and the team. Juzi kati nilipigiwa simu na mdau mmoja. Akaniambia kuwa anataka nimsaidie mfumo wa SMS wa kumsapoti wakati wa harusi yake. Request nyepesi lakini...
  5. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Wenye experience na madalali naomba mnisaidie mshangazi nisije kuingia chaka

    Leo nimetega job naenda kuangalia eneo linauzwa huko bahari beach lina document zote so sina wasiwasi kama ni utapeli. 

 Sijawahi kudeal na madalali, hivi huwa inakuwaje, nini niwe nacho makini na nikifahamu kabla sijaenda kutazama eneo? 

Nasikia ukisharidhia, huwa wanataka 10% commission...
  6. aliyetegwa

    JamiiForums Tanzania Natamani kununua Toyota Rush naomba ushauri wenu

    Wakuu Mimi huvutiwa sana na muundo wa gari hii, inaurefu Fulani ata sisi tunaoishi mabonde Kwinama inaonekana kama inafaa hivi. Sina utaalamu sana wa magari ila najiuliza kwanini gari hii sio nyingi sana barabarani wakati inaonekana kua gari nzuri kwa Mimi nisiyekua na ujuzi wa kutosha juu ya...
  7. nipo online

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, ninunue pikipiki au nifungue library ya kuingiza movie katika flash? (nina Tsh. milioni 1. 2)

    Wana Jukwaa, Ubungo au Keko kuna pikipiki used aina ya Boxer au TVS. Lakini pia nina wazo la kufungua maktaba (library). Je, kati ya biashara hizo mbili, ipi itanipa kipato cha uhakika kwa mtaji wa takribani milioni 1.2? Asanteni.
  8. majoto

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Dada wa kazi ameathirika na anatumia dawa za kufubaza UKIMWI. Je, ni hatari kuwa naye?

    Wandugu, nimepata msichana wa kunisaidia kazi za nyumbani. Ameathirika na anatumia Dawa za Ukimwi. Je, ni hatari kuwa nae? Taabu gani zinaweza jitokeza? Niendelee kuwa naye au nimrudishe kwao? Ni familia ya watu wazima.
  9. Gidabed

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri

    Wakuu habari za wakati huu,natumaini mpo salama. Mtanisamehe,mimi sio mwandishi nzuri. Wakuu nina changamoto ambao nimeshindwa kulitatua hivyo nahitaji msaada wenu. Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa Kilimanjaro,nimekuwa nikipitia vipindi vigumu sana kiuchumi,ni mengi ninayapitia...
  10. kitoto wa vitoto

    JamiiForums Tanzania Habari za usiku ndugu zangu naomba ushauri

    Nina mtoto wa kike ana MWAKA na mwezi 1 alizaliwa akiwa na changamoto ya kulia sana Tulimuona Dr mara kadhaa Dr wengi hawakuona ugonjwa Ila baadae tuligundua ana TB ya mapafu alipata matibabu Ila bado afya yake bado imedhoofika sana tumempa kila aina ya lishe Ila bado uzito wake ni ule ule pia...
  11. tamu 3

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri

    Kuna binti nilikutana nae kimwili 30/6/2024 amejifungua Jana 13/2/2025 Nina wasiwasi kama ni mtoto wangu, eti alitakiwa ajifungue tarehe gani na mwezi upi?
  12. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wanangu juu ya maneno ya Yesu Eloi Eloi alipokuwa akilia sijui Mungu kweli analia na kumlilia mungu mwingine!!1

    Eloi Eloi Lama sabakhtani " Mungu wangu. Mungu wangu mbona waniacha." Je alipokuwa mimba ina maana dunia haikuwa na Mungu? Je Mungu hakuwa na namna ya 'kuwakomboa' hao waliopotezwa na shetani aliyemtengeneza? Je Mungu asingemtengeza shetani, hawa watu wetu wangepotoshwa na nani? Je alimtoa kwa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kisheria kuhusu bima ya maisha

    Husika na kichwa happy juu, naomba kujua kuhusu bima ya mkopo hasa mkopaji mwenza anapofariki kwa maana mkopo unabima ya maisha lakini wakopaji ni wa wawili, mke na mme, afu afariki mke, maana tumezoea kuona mume anafariki lakin hapa mke kafariki na katika mkopo anahusika kama wakopaji wote...
  14. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: ukifiwa, unavukaje maumivu na kusonga mbele na maisha?

    Rafiki yangu amefiwa na mama mzazi na mdogo wake siku moja kwenye ajali. Anaumia sana, imepita wiki sasa, ila bado analia kila siku na kuongea peke yake mpaka tunaogopa. Kama umeshawahi kufiwa na mtu wa karibu, nini kilikusaidia kutuliza maumivu na kuweza kusonga mbele?
  15. Knock life

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri namna sahihi au njia sahihi ya kumsaidia ndugu yangu huyu

    Wakuu kwanza Nawatakia sabato njema upendo na Mwanga ukatawale katika maisha yenu. Nina ndugu yangu Ana umri wa miaka 33 kazaliwa 1992 Elimu yake darasa la saba. Ndugu hana Kazi ya kudumu , hana baishara iliyosimama . Achievement yake kubwa Ana familia mke na mtoto mmoja. Mimi binafsi huwa...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya kupambana na mke wangu anayeninyanyasa kwa sababu anataka kutumia sheria kunifilisi

    Wadau, nina mke niliyeanza naue mapenzi mwaka 2010 baadaye akaenda kusoma certificate na akamaliza Diploma mwaka 2015. Wakati huo aliniomba nimusaidie karo na matumizi shuleni na wakati walikizo alikjwa anakuja kwako anakaa kiasi na kuondoka. Mnamo mwaka 2016 alipata mtoto akaka kwa shemeji...
  17. Jipatie Siagi ya karanga

    JamiiForums Tanzania Nimefanikiwa kupata mil 15 naomba ushauri maana hii ndo risasi yangu ya mwisho katika bunduki

    Wakuu. Nipo DSM nimeuza Nyumba ya urithi na kupata mgao wa mil 15 . Naomba ushauri nifanye Biashara gani yenye low risk . Niliwaza hizi Biashara Money transactions Duka la vipodozi ambalo litakuwa na cheap products . Duka matumizi ya Nyumbani . Biashara zote hizi nimezitengea mtaji mil...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kisheria hapa.

    Kuna sehemu nilipata kazi private sector sasa yapata mwezi mmoja umepita,mkataba nilisaini sehemu yangu ile ya employee ila employer hakua amesaini,nikamkabidhi HR wa kampuni na taratibu nyingine za kuwa on borded zikafuatwa.sasa mpaka Leo hr hajanipa copy ya mkataba wangu ambayo imesainiwa na...
  19. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Wajasiriamali wenzangu naomba ushauri kwenye hili

    Hapa dukani kwetu tuna binti mmoja ambaye mwaka jana alipata ujauzito. Ulipofika muda wa kujifungua tulimpa likizo ya miezi 3 ambapo pia tuliendelea kumlipa. Mwezi huu wa kwanza tarehe 1 alirudi tena kazini ila akiwa na mtoto wake. Binafsi nilidhani baada ya miezi 3 angeweza kurudi na kuchapa...
  20. John kirua

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri

    Polen na majukumu naomba ushauri nasumbuliwa na mbaa matangotango ni dawa gan nzuri kat ya sindano na vidonge nipate matokeo ya haraka
Back
Top Bottom