naomba ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania habari za mda huo jamani naomba ushauri

    Habari zenu wana jamii forums mimi ni kijana kutoka zanzibar naomba ushauri wenu juu ya biashara ya nyanya kutoa daa kuleta zanzibar na conection maana zanzibar tunapigwa sana
  2. Grau

    JamiiForums Tanzania Nimepata kisonono kizembe sana naomba ushauri

    Ni wiki 3 sasa tangu nimekutana na mwanamke na hii ni baada ya kupima nae kabla na kukuta hana maambukizi, baada ya siku kadhaa nilikutana nae baada ya kumuamini na ndipo nilipo ona usaa kwenye uume wangu, nilienda hospital nikaanzishiwa Ceftriaxone na tabs Ciproflaxin pamoja na Dox. Nimetibiwa...
  3. the big fish

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa water pump ambayo ni bora

    Wanajamvi habari za majukumu. Nataka kuanzisha mradi wa kilimo cha umwagiliaji wa mazao mbali mbali sasa nipo katika kufanya utafiti wa kutafuta pampu nzuri na bora kwaajili ya kazi twaja hapo juu Nmekuja kwenu wana JF ili mnipe ushauri wa pampu ipi bora Kwa vigezo hivi Iwe inchi 4 Iwe ya...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa Kampuni inayotoa huduma ya mortgage hapa nchini

    Naomba kujua huduma ya mortgage hapa nchini Hali ikoje,ni wapi watoa huduma wazuri kwa mtu mwenye uzoefu. Najua JF ni kisima cha Taarifa. Nawasilisha!
  5. John kirua

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri ndg zangu

    Habari ndg zangu samahan naomba ushauri nilikuwa kazin shift ya usiku nimeamka asubui nimeona uvimbe kwenye shingo yangu itakuwa ni nn maana leo siku 4 uvimbe unakuja na kupotea baada ya dk unarudi tena?
  6. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Habari wakuu wa kaya Naomba Ushauri juu ya uchimbaji wa Dhahabu

    Wakuu wa kaya NAOMBA USHAURI JUU YA UCHIMBAJI WA DHAHABU Kuna eneo nyeti Lina dhahabu nahitaji niwekeze Anae jua process za UCHIMBAJI anipe info mbili tatu
  7. kingphisher

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya kozi za udemy

    Wakuu wana JF, hope mpo salama. Ni graduate mwenye uchu wa kujua programming na mambo ya system security(cyber) kwa udani, nimejaribu kupitia youtube tutorials ila bado sijaridhika, nimetumia resources mbali mbali lakini katika harakati za kutafuta more resources, nikapata Wazo la UDEMY...
  8. Kubwa la Maadui

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wenu wana JF katika hili

    Naomba kuuliza hili WAKUU Mimi ni mwalimu wa sayansi masomo biology na geography, kwasasa nataka kuomba kufanya postgraduate diploma ya procurements and logistics management pale TIA, sasa kitu ambacho sielewi ni kuwa kwamfano kwenye maombi ya kazi utumishi naweza kuomba kazi ambazo vigezo ni...
  9. cold water

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri

    Niko na familia ambayo tunahitaji kucheza vikoba online tufanyeje jamani? Mana tupo mikoa tofauti tofauti !!! Vipi tukifungua account tutatofautishaje fedha ya Kila mmoja mana Kila mtu aki deposit haitaeleweka ipi ni ipi na viongozi wawe wangapi au tuifanye kama Ile m koba lakini lengo letu ni...
  10. Mbwichichi

    JamiiForums Tanzania Nafikiria kuanza ujenzi, naomba ushauri

    Nina kipato cha shilingi milioni moja na nusu kwa mwezi (1,500,000/=) na ninafirikia kuanza ujenzi wa nyumba ya kuishi. Naomba ushauri wa namna gani naweza kufanya ili ujenzi uende pamoja na maisha mengine. Nina familia ya mke na mtoto mmoja anayesoma darasa la nne, ada ya shule ni 1.5m kwa...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri mwenzangu amekataa kabisa kushave maeneno nyeti adai it's against the tradition ,

    Wadau hamjamboni nyote? She has refused to shave her private areas,it's against her tradition. I don't like it at all This is so serious kindly advise
  12. J

    JamiiForums Tanzania Jamani nimeyakoroga naomba ushauri

    Habari zenu wanajamii forums. Naomba ushauri kwenye hili. Nimekuwa kwenye ndowa miaka kumi na moja. Mimi nilichelewa kuowa sasa nina Miika 45 . Huyu mke wangu kusema kweli hakuwahi kunivitia kisura wala kimaumbile,. Ila kipindi naamuwa kuowa nilimuona ni mtu mpole asiye penda makuu. Na...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri ndugu zangu

    Mimi ni Binti ambae nikiwa chuo mwaka wa mwisho nilidate na kijana mmoja anaeishi ktk mkoa ambako nilikosomea.. Nilikuwa namchukulia kawaida sana wakati huo hadi nikahitimu na mawasiliano yakapungua kadili siku zilivoenda na Mimi sijauona tatizo hata mawasiliano yalipoisha sikuumizwa wala...
  14. Hot27

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya online business

    Habari wakuu wa JF nyote. Nipe mbele yenu nahitaji ushauri, mawazo na hata connection juu ya masuala ya online business. Mimi ni kijana na nilipo nina access ya internet (kuanzia saa tatu asubuh hadi saambili usiku) hivyo naona kutumia fursa hii kuangalia tu video tiktok na kuzunguka mitandaoni...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa sina kazi ila nina milion 40 sasa ni jenge au nifungue biashara? Naombeni ushauri wenu

    Habari zenu wakuu! Nimekuja hapa mwa ajili ya kuomba ushauri kwa sababu wapo watu waliopitia hali kama hii yangu Nilikuwa nafanya kaz kwenye mradi mmoja Usaid sasa baada ya pilika za trump kazi ikawa imeisha rasmi mwez wa 4 ! Nina mke na watoto wawili ambao wao walikiwa kwenye shirika...
  16. nbayoungboy never broken

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu biashara yangu

    Nilijitafuta nikapata mtaji wangu wa takriban milioni 3, nikaona si vibaya nikitumia kukuanzishia biashara. Nilianza kwa kutafuta fremu, nikaipata, lakini mwenye fremu aliniambia nilipie kodi ya mwaka mzima kwa kuwa eneo lilikuwa katikati ya shughuli. Nikalipa shilingi laki saba kwa mwaka...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Nataka kiwanja cha hati lakini gharama za kufanya transfer naskia ni kubwa naomba ushauri

    Naomba ushauri kuna kiwanja nimekipenda kununua kina hati miliki lakini naskia gharama za kufanya transfer ni kubwa je nifanyeje ili kupunguza gharama au nitafute ambacho hakina hati militias nipime nitafute hati miliki
  18. bab-D

    JamiiForums Tanzania Bachelor degree in project planning and management (BDPPM) na Bachelor degree in environmental planning and management (BPM)

    Wakuu naomba tumshauri ndugu mmoja ni mwajiriwa (KILIMO) ila anataka kuhama kada na anapendelea kusoma kozi hizi? Swali baada ya kusoma anaweza hamia kada zipi Kwa kozi hizi? BACHELOR DEGREE IN PROJECT PLANNING AND MANAGEMENT (BDPPM) na BACHELOR DEGREE IN ENVIRONMENTAL PLANNING AND MANAGEMENT...
  19. Now and then

    JamiiForums Tanzania Wakuu hizi mvua zinaleta ongezeko la Mbu naomba ushauri hasa sisi wenye watoto!

    Nataka mdada mmoja mjamzito niende nae clinic watupe net Mbu zitaniuwa walahi wakuu
  20. Amba Samedi

    JamiiForums Tanzania Fursa Hii Hapa: Naomba Ushauri Wenu

    Habari wanaJF, Natumaini mnaendelea vizuri. Nimerudi tena (na kasi yangu imenipa zawadi ya "can't stop" ya JF). Asante sana Maxcence and the team. Juzi kati nilipigiwa simu na mdau mmoja. Akaniambia kuwa anataka nimsaidie mfumo wa SMS wa kumsapoti wakati wa harusi yake. Request nyepesi lakini...
Back
Top Bottom