naomba ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Acehood

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu mafunzo ya uhudumu afya ngazi ya jamii (mchanganuo wa gharama za mafunzo)

    Huku Mbeya wilaya ya BUSOKELO nimeona mchanganuo wa gharama za mafunzo kwa miezi 6 kwa kila mmoja ni 2,359,940 Tshs. Hapo ni gharama za ada ya mafunzo vifaa, bima ya afya, malazi na chakula. *Malazi 50,000 kwa mwezi. *Chakula 6000 kwa siku. Kusema ukweli nilitegemea kwamba kutakuwa na kiasi...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu kununua laptops hizi.

  3. D

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu tablets zenye keyboard na mouse.

    Je, ni ipi Ni imara na inafaa kwa kazi ndogondogo za Ofisi, kama typing na internet? Ikiwezekana na bei zikoje? Asante.
  4. Clas Ohlson

    JamiiForums Tanzania Naomba mnipe ushauri wa sehemu gani nzuri na affordable ya kuweza kupata eneo zuri la kujenga makazi kwa ajili ya kuishi

    Ndugu zangu hongereni kwa majukumu ya kujenga uchumi wenu kwa manufaa ya familia zenu bora. Mimi naomba mnipe USHAURI wa sehemu gani nzuri na affordable ya kweza kupata eneo zuri la kujenga makazi kwa ajili ya kuishi mimi na familia yangu ambayo Mungu atanibariki hapo baadae. KUSUDIO: Ni...
  5. Vien

    JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri: Nataka kununua Google pixel 8 pro

    Habari Wakuu, Nimeshawishika sana kuichukua Google pixel 8 pro mpya kutokana na features zake, na Shughuli zangu nnazozifanya naona itanifaa sana, Nahofia kitu kimoja, mwaka jana nlinunua Google pixel 5a pale china plaza, iliku ni hizi refubished ,Ile simu nlikaa nayo miezi miwili tuu ghafla...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wakulungwa. Toto kiburi nataka kumpeleka Kizuka shule ya TPDF

    Kuna mtoto wa ndugu yangu ninamsomesha. Huyu dogo kafaulu Kidato cha 4. Kapangiwa college, kwa akili za huyu mtoto naona bado hawezi kusoma college. Ni kijana wa kiume, mvivu, bonge, hana adabu, jeuri. Kwa ujumla alilelewa kishenzi. Mimi niko mbali na anakoishi. Nimewaza aende Form 5 shule za...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba ushauri: Hii laki nane niliyonayo mfukoni nifanye biashara gani ili niweze kuizalisha?

    Nina Tsh. 800,000 kama akiba imekaa tu, kodi ya pango ninapoishi nimelipa, chakula ndani nimenunua sasa wakuu nimebaki na hii Tsh. 800,000 nahitaji kuizalisha nifanye nini kwa hiki kidogo nilicho nacho? Location Dodoma: Nasoma comments naheshimu sana ushauri wenu wakuu.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Wakuu Naombeni ushauri kuhusu matumizi ya mouth spray

    Haribani wana jf naombeni ushauri juu ya matumizi ya mouth spray. Na niipi nzuri Kwa matumizi 🙏
  9. D

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu kozi ya Electrical and Biomedical Engineering

    Wakuu nilikuwa naomba kujua kiundani juu ya kozi hii ya electrical and biomedical engineering. Je, unaposoma cozi hiyo utajishughulisha na ufundi wa vifaa vya tiba au na umeme kwa ujumla. Ahsanteni
  10. tpaul

    JamiiForums Tanzania Mama mkwe anamhimiza mke wangu anichune; naomba ushauri

    Naingia kwenye mada moja kwa moja. Ndugu zangu naomba ushauri! Mimi ni mwanaume wa miaka 35 nimeoa mwaka huu mwezi wa pili na mwanamke niliyemuoa nimekuwa naye kwenye mahusiano kwa miaka mitatu, ningeshamuoa tangu zamani ila kuna vikwazo vilikuwa vinazuia tusioane ikiwemo masomo na kupangilia...
  11. fundi bishoo

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Michirizi inamsumbua mama watoto, afanye nini iache kumuwasha?

    Habari zenyu kwema? Bwana mwaka huu mama watoto wangu ametokwa na michirizi baada ya kutumia losheni ambayo alikua hatumii mwanzo, inaitwa sitii sijui baada ya kutumia hajamaliza hata wiki 2. Wiki moja haijapita zikamtoa michirizi kidogo akaacha kabisa kupaka, sasa ajabu inakua inamuwasha na...
Back
Top Bottom