nani

Luís Carlos Almeida da Cunha ComM (born 17 November 1986), commonly known as Nani (Portuguese pronunciation: [naˈni]), is a Portuguese professional footballer who plays as a winger and captain for Major League Soccer side Orlando City SC. He represented Portugal in international football, and has played over 100 times for the senior national team.
Nani was born in Amadora, Portugal, and is of Cape Verdean descent. He began his football career playing for local side Real Massamá. At the age of nine, he began training with Sporting CP and S.L. Benfica on alternate days, eventually joining Sporting's youth squad after they offered him pre-season training.Nani made his professional debut with the club in 2005 and won the Taça de Portugal during his second season with them. Nani was named the SJPF Young Player of the Month for May 2007 and his performances with Sporting culminated into a move to English club Manchester United in July 2007 for a fee of €25 million.Nani won the Community Shield on his competitive debut at Manchester United and added a number of trophies, including the Premier League and Champions League during his debut season at the club. He established himself as first-choice winger at United and won a further three Premier League titles, the Football League Cup, one FIFA Club World Cup, and three Community Shield titles. Individually, Nani was included in the Professional Footballers' Association (PFA) Premier League Team of the Year on one occasion and was a nominee for the PFA Young Player of the Year in 2011. Following a loan back to Sporting, in which he won the Taça de Portugal, he was signed for £4.25 million by Fenerbahçe in July 2015, and a year later he signed for Valencia. He rejoined Sporting CP in July 2018.
Nani is also a Portugal international. After first playing at under-21 level, he made his debut for the senior Portugal team in September 2006 in a friendly match against Denmark and scored his first goal during the 4–2 defeat in Copenhagen. Nani has represented his country at four major tournaments, including three European Championships: he took part at the 2008, 2012 and 2016 European Championships, reaching the semi-finals of Euro 2012, and winning Euro 2016; he also participated at the 2014 FIFA World Cup with Portugal. Since his debut, he has made over 100 international appearances and scored 24 goals.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini mitume na manabii wanawachezea sinema waumini wao? Enyi waumini msiokuwa na akili ni nani aliwaloga?

    Hebu fikilia m hungaji kama mwamposa anwaambiaga waumini kwamba kunywa pombe ni dhambi na Wala wasiguse kabisa waumini lakini yeye ana hoteli ya kitalii mahala flani (sipataji) na mle ndani anauza pombe, whisk, konyagi, K-Vant, Vodka, Pushkin, nk na wataleja ni wengi sana. Sasa mbona tunauziana...
  2. JamiiForums Tanzania Kati ya Mkapa na Magufuli nani anapaswa kufanyiwa kumbukizi?

    Kwa Bahati wengine mpaka sasa kwa sehemu tumebahatika kuona Marais wote baada ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kung'atuka madarakani. Wengine tumepata bahati kufanya uchaguzi kuanzia enzi Mwinyi akiwa Madarakani. Kati ya Marais walioingia madarakani baada ya Mwalimu Kung'atuka yaani Ally...
  3. JamiiForums Tanzania Ni nani analazimishwa kwenda kwenye mikutano ya CHADEMA?

    Naona kimeibuka kikundi cha watu wanaolalamika kuwa mikutano ya CHADEMA inawapotezea watu muda wa kufanya kazi. Wapo wengine wanasema hiyo mikutano haina tija na ni upotevu wa hela za wananchi. Lakini kuna mtu analazimishwa kwenda kwenye mikutano ya CHADEMA bila ya hiyari yake?
  4. JamiiForums Tanzania 5G technology: Vodacom Vs Tigo; Tupeane mrejesho nani katisha sana kwenye 'Superspeed' kati ya mitandao hii

    Vodacom na Tigo mitandao yote hii inajisifu kwa kuongoza kuwa na kasi kubwa ya internet 5G. Kwa baadhi ya maeneo nchini na baadhi ya watu wamekwisha jaribu kuona Je! Yaliyomo yamo? Tupe ripoti yako tafadhali.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nani anamlinda Zitto Kabwe? Kwanini hakamatwi na kushitakiwa pamoja na kueneza uongo na uchochezi?

    Aliwahi kutamka hadharani kuwa shamba lake la korosho na nyumba yake vilichomwa na serikali chini ya hayati JPM. Aliwahi kusema kuwa serikali imenunua ndege Mbovu na moja tu ndio inafanya kazi. Aliwahi kusema kuwa serikali ina njama za kumuua. Juzi katamka wazi kuwa serikali iliua viongozi wa...
  6. JamiiForums Tanzania Msakila Kabende - CDM inayokataa BODABODA NA WANAWAKE inajivunia nini?

    WanaJf, Salaam! Haya ni maneno ya viongozi wa juu wa Chama cha Chadema:- (a). Tundu Lissu - Tanzania ni nchi pekee duniani yenye watu waoga na wajinga. Aliongeza kuwa "nilitegemea kuona vijana na wanawake wakidai haki zao". Kwa mukitadha huu vijana na wanawake kutodai haki zao kwa mjibu wa CDM...
  7. JamiiForums Tanzania Nikifa miradi hii nani ataiendeleza: Hayupo, na nchi inasonga na miradi kedekede

    Nimekumbushia kauli hii tukielekea kwenye maadhimisho. Ni kauli inayoweza kutolewa na mtu ambaye haamini taasisi, aliamini yeye ni zaidi ya taasisi na zaidi ya Kila mtu, Mungu alivyo fundi, miradi inaendelea, tena anayeendeleza mwanamama.
  8. JamiiForums Tanzania Sizipendi mbichi hizi! CCM 'asili' ni ipi? Ya akina nani? Je, ni CCM hiyohiyo inayotabiriwa kupasuka kama katuni ya Kipanya?

    Kiukweli sipendi kulishwa maneno, sipendi kulishwa taarifa, na sipendi Kukashifu. Sipendi kauli mbichi [Generalities] kwani huwa zinapotosha au kupotosha maana halisi iliyomo kwenye maudhui. Nimekutana na mijadala mitatu tofauti, ikimaanisha maudhui matatu tofauti, lakini kwa kauli na misemo ya...
  9. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maneno haya ya Rais Samia Siku ya Wanawake Duniani aliwalenga nani EAC?

    Hotuba ya Mama jana ikiangaliwa na wengi isingeweza kupita bure. Akijinadi kuwa wenzetu wako vibaya zaidi kiuchumi kuliko sisi, ingepokelewa vipi na majirani zetu? Kwamba mama alikuwa kawalenga nani hohe hahe hao ambao bila sisi wafwa? Imekaaje hii kidiplomasia? Hakuna ulimi ulioteleza...
  10. JamiiForums Tanzania Mwenendo wa siasa za CHADEMA na Rais samia kupitia CCM. Nani anapoteza nani anapata kati ya CDM na CCM?

    Simple sana. Anayepatia ni CDM, anayepoteza ni machawa wa CCM wala sio CCM. Hii ni kama kusema mwenendo wa siasa hizi ni CDM vs Machawa wa CCM. Kuna uzi humu nimeandika kwamba, adui mkubwa wa CDM ni Polisi na wala sio CCM. Polisi kwa namna nyingine tunaweza kuwaita ni machawa wa CCM...
  11. JamiiForums Tanzania Godbless Lema wewe ni nani mpaka useme utashughulika na Geordavie?

    Hapo vip! Binafsi huwa simuelewagi Lema, namuona kama kiongozi tapeli anaetumia siasa kutengeneza maisha yake. Na mimi niwasihi watu wa Arusha wafikiri nje ya box, wampuze huyu tapeli asiyekuwa na uchungu na changamoto za watu wa Arusha. Huyu mtu amekuwa mbunge zaidi ya miaka kumi na tano...
  12. JamiiForums Tanzania Nani kamdanganya Bhoke wa EATV anapendeza akipepesa macho yake kama kaingiwa na mchanga

    Huyu msichana wa zamani ajuza wa sasa aliyeigiza soft porn enzi za Big Brother ana pozi lake la kupepesa macho mfululizo kama vile kaingiwa na mchanga machoni. Nahisi kuna aliemdanganya anapendeza japo kiuhalisia anakuwa kama mchawi. Sredi tayari
  13. JamiiForums Tanzania Rafiki ni nani?

    Nipende kuwakaribisha wadau wote kwa maswali yangu haya mafupi yenye kuhitaji majawabu, maelezo na mifano halisia toka kwenu. MASWALI: 1. Rafiki ni mtu gani au nini maana ya rafiki? 2. Kivipi unaweza kumtambua huyu mtu kuwa ni rafiki? KARIBUNI
  14. JamiiForums Tanzania Nani kanimiss?

    Wajameni huu Uzi nikwa wale watu ambao wamewamiss wapendwa wao hii siku ya Leo. Nani unatamani hapo ulipo uwe naye karibu au uwe unachart naye saii. Mie sijammiss mtu labda hela
  15. R

    JamiiForums Tanzania Watanzania kwa sasa hawajali Rais anamteua nani mwenye nini kama atasimamia Haki, amani na Maendeleo ya Taifa

    Kwanza nimpongeze Mh Rais Samia Suluhu Hassan na Mwenyezi Mungu azidi kumpa nguvu na hekima ktk utendaji wake. Kwamba ameteua Mpagani, Mwislam, mkristo au Myahudi hiyo sio issue wala kesi. Cha muhimu ni kuwa huyo anayeteuliwa anaamini katika misingi ya Utu, Haki, umoja na utamaduni wa kukataa...
  16. JamiiForums Tanzania Skendo za upangaji matokeo kwenye ndondi nani awajibishwe? TPBC, Mapromota au wadamini

    Ngumi kwa sasa zimekuwa dili na ajira nzuri kwa mabondia. Katika michezo ya kimataifa skendo za Match fixing ni mbaya sana kwa nchi yetu. Mpaka ABU wameamua kutokukubaliana na maamuzi ya majaji walioko huku Tanzania, basi tufahamu ya kuwa tayari bomba linavuja na dunia imeanza kufahamu kuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Ni nani mmiliki wa viwanja vya Gymkhana Dar es salaam? Ufisadi wa kutisha unaandaliwa

    Swali ni nani mmiliki wa viwanja vya Ghymkhana Dar es Salaam? Tuanze kunywa mtori nyama ziko chini, naomba kumjua mmiliki na muendeshaji wa viwanja vile. Updates: Well, kinachoendelea sasa ni kuiua Gymkhana kwa ustadi wa hali ya juu, moja ya mbinu inayotumika ni tozo ya kutumia facility kwa...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Anayefahamu mzigo huu unaishia wapi na matumizi yake ni nini?

    Mabibi na mabwana, nazungumzia mzigo huu hapa! Pia naomba nijue kama huyu mwenye mzigo anaona au kujua anakoelekea. Ahsanteni.
  19. JamiiForums Tanzania Nani aliyemshauri Rais Samia jambo hili ambalo limeleta mateso na aibu kubwa mitaani na mitandaoni?

    Habari zenu wana JF wenzangu. Leo sina mengi zaidi ya kutafuta jibu la swali langu hapo juu. Maana ukiliangalia suala hili kupitia baadhi ya waathirika wenyewe unaweza kuliona dogo, lakini kiuhalisia ni kubwa na lina madhara mabaya ya kimwili na kiakili. Fikiria watu walikuwa wanapiga kelele...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Ulinzi wa viongozi nani alitudanganya?

    Ipo tofauti kati ya ulinzi, usalama na maonyesho ya ulinzi. Kiongozi mtaani kwenye uwanja wa vita. Kiongozi mtaani nchini kwake. Kwamba hatuna ya kujifunza ila labda wajifunze kwetu? Siyo siri kuna mahali tuna kwama. Kwa hakika baada ya CCM yapo mengi ya kuwekwa sawa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…